Nimeandika uhalisia.Sasa hapo unakuwa umeandika nini?
Kinana jifunze kuweka mifano sawia , weka mfano unao onyesha hiyo simu haionyeshi ya kuwa haina mtu aliye itengeneza. Hii ndiyo self evident truth.Nakuambia hii simu uliyonunua ni replica kwasababu imekosa features hii na hii na kweli ukiangalia features hizo hazipo, still unakuja kusema hapana hujaonesha uwezekano wa kinyume chake
Sasa mfano wako haufanyi kazi hapa yaani ni mfano mfu tena butu.
Dunia imejitengeneza au imetokea pasi na chochote ? Hapa ndiyo ilipo self evident truth sasa msiruke ruke.
Kisha baada ya hapo hoja yako iko wapi ? Kwamba nimeandika uongo ? Kama ni uongo uko wapi ?"Elezea chanzo cha ulimwengu bila kuonyesha muanzilishi wake"
this is what we call "KISS approach" (Keep it simple stupid)
Kijana kuna mambo hayana kinyume na hayawezekani, ndiyo maana mnapata tabu sana kwenye hoja hii.
Sasa si ndiy uelezee chanzo cha ulimwengu ? Au unataka utuambie ni Big Bang ? Utakuwa kichaa kijana.
Kitu gani hicho ambacho ni complex ? Kijana jibu hoja yangu acha kuruka ruka.sVitu complex unataka kuvi articulate kwa hoja nyepesi
Sasa si ndiyo uelezee kisha utuonyeshe ya kuwa sifa ya kisichokuwa na chanzo ni zipi ? Hili jambo rahisi sana nashangaa mnavyolikimbia.Namna unavyoweza kumuelezea Mungu bila chanzo ndiyo namna hiyo hiyo naeza kuelezea ulimwengu bila chanzo