Goli la Mama: Rais Samia kununua kila goli Tsh. Milioni 5 mechi za Simba, Yanga CAF

Goli la Mama: Rais Samia kununua kila goli Tsh. Milioni 5 mechi za Simba, Yanga CAF

That's motivation brother.. Don't be so negative.. Milion 5 ni kitu gani kwa rais? Kumbuka ana mfuko wa entertainment kisheria na hili ni kwa maslahi ya nchi
Mkuu sikatai ila kwa uchumi wa taifa hili huu unaitwa ufujaji wa pesa za wakulima je atatumia mshahara wake nani ana hakiki hilo .

USSR
 
That's motivation brother.. Don't be so negative.. Milion 5 ni kitu gani kwa rais? Kumbuka ana mfuko wa entertainment kisheria na hili ni kwa maslahi ya nchi
Mbowe na Halima Mdee ni Viongozi pale Utopolo SC lakini wabahiri Sana kila kitu wanamtegemea Dr Mwigullu PhD
 
Angenunua kwanza Crane ile la Makamba huenda sasa hivi tusingeangalia hii game tukiwa gizani....
 
Hizo pesa Rais angetafuta vituo vya watoto yatima akawapatie walezi zao, hao Simba na Yanga wanajua ushindi ni jukumu lao, na mbele ya safari kuna pesa nyingi watapata wakijitahidi kufika..

Labda kwa timu ya taifa ndio angefanya hivyo.
Kwani Kuna tatizo gani akiwapa pesa..
Kwanza hakuna bao litakalopatikana..
 
Hongera mama, umehamasisha vizuri Kama mtanzania mzalendo.[emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]
 
Kwa nini wamechagua mechi za wekend ijayo?

Mama Samia mjanja anajua pesa yake haitapotea

Maana hakuna ujanja wa Simba kumfunga Raja Casablanca saa moja usiku Dar

Na wala hakuna ujanja wa yanga kumfunga Tp Mazembe
 
Hamna jema kongole Sana mh rais hamasa inaongeza ladha na kukuza ushindani.
 
Hizo pesa Rais angetafuta vituo vya watoto yatima akawapatie walezi zao, hao Simba na Yanga wanajua ushindi ni jukumu lao, na mbele ya safari kuna pesa nyingi watapata wakijitahidi kufika..

Labda kwa timu ya taifa ndio angefanya hivyo.
Hela ana maamuzi nazo yeye halafu unataka kumpangia matumizi? Nenda wewe ukatoa msaada kwenye hivyo vituo,yeye hua anatoa tayari,

Punguza ujuaji wa kijinga.
 
Kwa nini wamechagua mechi za wekend ijayo?

Mama Samia mjanja anajua pesa yake haitapotea

Maana hakuna ujanja wa Simba kumfunga Raja Casablanca saa moja usiku Dar

Na wala hakuna ujanja wa yanga kumfunga Tp Mazembe
Mkuu,na wewe tumia huo ujanja,
Weka ahadi yako pia.
 
Safi sana mama, hiyo kwa sisi walimu twaita motivation, Thumb up!!
 
Raisi Samia Suluhu Hassan amesema michezo ya marudio itakayochezwa weekend hii kwa timu ya simba na yanga yeye kila goli litakalo fungwa atatoa milioni tano

Anachezea pesa zetu tu huyu hao wachezaji wanamishahara mikubwa sana huku mtaani wafu hata pesa ya mlo mmoja hawana

Haya ni matumizi ya hovyo ya pesa za walalahoi hizo timu zote pesa wanazo hii ni anasa,je atatumia mshahara wake nani ana hakiki hilo.

Kuna wachezaji pale wanalamba hadi milioni 25 kwa mwezi zaidi ya mishahara ya mawaziri kuna watu hata pesa ya kupanda madaraja hajalipa kuna wazee pensheni hadi leo hakuna kuna hospitali hazina dawa juzi kuna watoto tumeona wanakaa chini shuleni ni matusi na makodi na misururu ya magari kwenye misafara na kutia saini ni malipo ya kila anayehudhuria ,

USSR View attachment 2517115
Yaani wa-tz wengine Hamna jema Kila kitu ni kulalamika na kulaumu tu ,hiyo yote sababu ya kuwa na Negative attitude.Je hiyo million 30(assuming timu zote mbili zikifumga goli 6 in aggregate) ndo ita- solve matatizo yote uliyoorodhesha?Mie namuunga Mkono Her Excellency SSH kuwa offer hiyo itahamasisha fans kuhudhuria Kwa wingi na kutoa hamasa ya ushindi Kwa timu zetu
 
Back
Top Bottom