GPA ya 5 - Anazurura mtaani; we are not serious!

Kupata A no kawaida ndugu,, hata Mimi nilipata pia. Lakini GPA ya 5? Do you know what it means?

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Yes, upate A kwenye masomo yako yote, na sio kama haiwezekani sema hutokea kwa baadhi kuyumba kwenye baadhi ya masomo na ndio inapelekea mtu kupata B+ kadhaa anajikuta ana 4.8
 
Mtoa mada buana!mtaani na maofisin hatuishi kwa GPA,Mimi Nina GPA ya 2.1 lakini pengo langu hakuna wa kuliziba ofisini kwetu ingawa wapo wenye hizo GPA za 4s.
Duh, hahahaha kama naziona karai zilivyopamba cheti chako hahahaha

Ilikua kidogo ulingane na JK [emoji12]
 
Kwenye hivyo vyuo vya hovyo tu. Niliwahi ona tangazo la kazi likisema wote wenye sifa wanaweza kuomba kazi hiyo isipokuwa wahitimu wa UDOM!

Nilitafakari sana

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Unaweza kutuwekea tangazo ili nasi tukajifunze kitu na wakati mwingine itusaidie kwenye kuchagua vyuo ambavyo ni bora,otherwise utakuwa ni uchochezi either ulidisco kwenye hiko chuo ama ulikosa kazi
 
Yes, upate A kwenye masomo yako yote, na sio kama haiwezekani sema hutokea kwa baadhi kuyumba kwenye baadhi ya masomo na ndio inapelekea mtu kupata B+ kadhaa anajikuta ana 4.8

Hata ukipata A zote hupati Gpa ya 5. Maana A zinapishana maksi. A ya 81 sio sawa na A ya 90 ama A ya 100 kwenye gpa
 
Tatizo Kuna misemo ya kumotivate watu Ujinga kule kwenye mtandao wa majiniaz

Sent from my VTR-L29 using JamiiForums mobile app
 
GPA na kuyamudu maisha kitaa ni vitu viwili tofauti,Std seven anayamudu maisha,anakula vizuri,analala pazuri na hana GPA,maisha hayana formula
Uhusiano upo. Chukua Std Seven wa sasa na Graduate wa sasa
 
Yupo Chuo gani??.
 
Upo sahihi Mkuu
 
Mchango ule ulisema "sua ni marks tu". Hivi kwenye matokeo na transcript wanatoa marks? Naamini wanatoa grade. Kwenye Gpa calculatiòn ndio wanatumia formular ambayo inaendana
na grade yako. Hivyo mwenýe A na mwenye B wana formular tofauti. Marks ndio zinakuwa fed kwenye formular husika
Sasa kama degree inakuwa unclassified, wataangalia merits zipi mtu akitaka kwenda elimu ya juu?
Kwa SUA wanatumia vitu viwili your average score raw marks and your grade in the course or courses unayotaka kusoma.
 
Una roho mbaya mno. Samehe!
 
Hao wote walisoma kozi gani? Law? Nina maana kubwa, nijibu nakusihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…