TANZIA Grivas Mwangoka afariki dunia kwa ajali ya Gari

Kwenye impact ndogo gari ya kijapani utaikataa. Hili hata mimi nimeprove, Kuna Jeep grand cherokee inagongana na Toyota noah sr40, Ile jeep ilivunjika tu taa ya mbele upande wa dereva na mikwaruzo kidunchu.

Kilichotokea kwenye noah ni disaster. Iliminywa almost half of the engine compartment.
 
Ford ranger ni Ford America, hizo Ford ranger ni franchise ya Ford uko South Africa. Quality yake siyo sawa na Ford ranger ya USA
Dunia ya sasa imejaa watu wavuvu sana hata simple research in case haijui jambo. Yani Kuna majamaa wanakuambia hiyo Ford Ranger ya UK, mwingine anasema ya Marekani as if Ranger ya Marekani inafanana na hizi makaratasi, mwingine anasema Japan 😃😃😃😃 full ujuaji ingali hawajataka hata kujisumbua kidogo japo kutafuta facts kwenye Google yao iliyowarahisishia mambo.

Kizazi hiki aisee. Anyway RIP mjasiriamali, naonea huruma waliobaki, familia, ndugu, majirani, marafiki, wafanyakazi and business partners.
 
Ana undugu wowote na marehemu mzee Enos Mwangoka wa Majengo Mbeya (mmoja wa anzilishi wa TANU kwa Mbeya)?
 
Madhara ya gari,angalia ilivyoisha.
Japo bado tunasubiria uchunguzi zaidi,ila lazima mwamba alikuwa anamimika hasa

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
... na hasa ukute walikuwa na ligi barabarani; hakuna anayetaka kushindwa; kuoneshana umwamba. Nina Ranger utanipitaje na "matako ya nyani"; ukikutana na obstacle however small it is, hayo ndio majibu yake sawia - huchomoki! Tunalaumu sana tochi ila sometimes zinasadia ku--save life; tycoon huyu angekuwa ameokoa maisha yake na wote wanaomtegemena - familia, wafanyakazi, etc.
 
Sasa hiyo Ford sio mjapani na imeisha hivyo, jaribu kuvuta picha alikuwa anamwagikaje?
R.IP.


Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Barabarani kuna ligi kali sana,hapa muda huu saizi kuna "Wamba" wanaumana huko.


Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hongera sn mkuu
 
poleni sana ndugu , jamaa na marafiki, Mke wa marehemu nampa pole maalum.
 
Htr sn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…