Group D Yanga ndio kibonde kuliko wote, Hatoboi

Kwa jinsi alivyonyanyaswa juzi na Ihefu sidhani kama Yanga itapata hata sare kwenye group stage
Mwaka kafungwa mechi mbil akawa bingwa na kufika fainal CAF ww unaweza?
 
Kwa jinsi alivyonyanyaswa juzi na Ihefu sidhani kama Yanga itapata hata sare kwenye group stage
Hahahha huo ulikuwa ulozi mkuu ina maana Ihefu ni wazuri kuliko Almerk
 
Aahaaaaaaaaa,
Wanatamani kusema kuwa Al Ahyl ni kibonde kuliko msimu uliopita,ila wakikumbuka kuwa wanaye hapa bongo tarehe 20/10/2023 nguvu za kukosoa wanakosa

Wamebakiza kubwatuka Ihefu Ihefu ahaaa
Kabisa
 
Aahaaaaaa,wanashindwa wasemeje makolo

Wakimuita Al Ahyl kibonde wanakumbuka na wao wanaye hapa bongo tarehe 20

Wakisema ni timu kibonde ,wanaogopa wanaweza chapwa nje ndani na Yanga akamchapanja nje ndani Al Ahyl

Aaahaaaa,

Hawajui washike lipi
[emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…