GSM: Kila bao atakalolifunga Yanga dhidi ya Mamelodi Sundowns nitalinunia kwa Tsh. 100M

Kwa yanga hii hata mtu ambae hana senti 1 anaweza kuahidi kila goli atatoa million 500 maana ni uhakika hawawezi kupata goli lolote, yani timu ilikua nyumbani ikapigiwa possession 76 kwa 24 je huko ugenini?
 
Yanga ushindi ni lazima afe Kipa afe Beki Sundowns lazima afe msako wa porikwapori mputamputa mpaka watu wakatike misuli ya mapaja
Umenikumbusha mwalimu wangu wa Biology nikiwa High school pale Tosamaganga. Alikua anaitwa Mputa
Na juz nachek uzinduzi wa mbio za mwenge namuona class mate tuliekua nae pale uboizini ndio kiongoz wa mbio za mwenge kitaifa
 
Dah!... Tajiri kaongea....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…