Guinea: Baltazar na Watumishi wa Umma walioshiriki naye Ngono ofisini kufukuzwa kazi

Aisee kumbe
Ila sidhani kama watamuacha salama
Hii ni kashfa kubwa sana na yeye anasema eti sio kweli bali wanamchafua kwa kutumia technology ya Artificial Intelligence ila sidhani

Sasa kuwa na maisha mazuri ndio wafanye uchafu wote huo na kwanini wake za wakubwa wote, halafu wote wakubali kulala nae
Ni maajabu ila ukweli utatoka na nini nyuma ya haya

Nasikia mwanamke mmoja amejiuwa kwa kashfa hii
 
Huyu jamaa ni mvuto? Pesa? Urijali? Nyota? Uganga? Au? Nifah?
Mpaka sasa hivi nimeshindwa kuelewa ndugu yangu.

Lakini, pengine tunayachukulia poa haya mambo huenda yanafanyika zaidi ya haya huko maofisini, ni kwa vile jamaa aliweka ushahidi wa video pekee ndio maana imekuja kwa mshtuko huu mkubwa!

Kiukweli nimeshangazwa mno, nimeangalia video kadhaa nimekosa majibu! Hadi nimetafakari utimamu wa akili wa jamaa kama uko sawa.
 
Itoshe tu kusema ni mgonjwa. That's totally abnormal for a human being.
 
Namfikiria mke wake sana, ni kwamba hakuwahi kuhisi chochote? Au alikuwa anafahamu lakini akachagua kuvumilia?
Ww ukifahamu mumeo anakucheat utafanya nini!!??
Si ajabu anakucheat na hujui
 
Eti “Ebang Engonga”

Ni bang bang/kugonga gonga kwa sana.

Jina limeendana na ufedhuli wake. Huko alipo anahitaji ulinzi mkubwa sana.😀
 
Wanawake wanapenda people za namna hiyo. Wewe tanguliza Useminari wako sijui ustaarabu uone kama Mademu watakupa papuchi.

Wanawake wanapenda Bata wachafu kama huyo jamaa, wanapenda rough riders,crooks na washenzi wengine.

Ni rahisi kwa Kijana mwenye mademu 5 kupata demu wa 6.Ila ni vigumu kwa Kijana mstaarabu asiye na demu kupata demu.
 
Ebang ambaye ni Baba wa Familia ya Watoto sita, tayari amekamatwa kwa kosa la kujirekodi akiwa anafanya mapenzi na Wanawake hao ambao wengine ni Wake za Watu Mdogo Mke wa Kaka yake, Binadamu yake, Dada wa Rais wa Nchi hiyo, Mke wa Mkuu wa Ulinzi wa Rais wa Nchi hiyo, Mke wa Mwanasheria Mkuu wa Nchi hiyo na Mtoto wa Mkuu wa Jeshi la Polisi la Nchi hiyo.🥺
 
Jaman connection mhm, mi sjaona hata video moja, naona mastori tu mtandaoni
 
Kwema wakuu
Je kama kila mtu angekuwa anarecord mademu anaogonga huyu jamaa si angeonekana hamna kitu. Kuna watu washafanya hayo mambo mpaka wamechoka. Na sio mpaka nimgomge mke wa Attorney General, demu ni demu tu hata awe mama ntilie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…