Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Aisee kumbeNchi iliyokuwa na UTAJIRI MKUBWA WA MAFUTA hadi (2014) nadhani imetawaliwa na Spain wao Bata juu ya Bata.... kisha wapo wachache saaana... (2M)Uchumi wake Ulipanda (GDP) Elimu bure mpaka University na ukipasua unakuwa Sponsored na Gvt. NEPOTISM ndio imekithiri hata huyu MWAMBA ni Ndugu na Rais, Makamu,Uongozi wowote ni Familia yao.
Ila sidhani kama watamuacha salama
Hii ni kashfa kubwa sana na yeye anasema eti sio kweli bali wanamchafua kwa kutumia technology ya Artificial Intelligence ila sidhani
Sasa kuwa na maisha mazuri ndio wafanye uchafu wote huo na kwanini wake za wakubwa wote, halafu wote wakubali kulala nae
Ni maajabu ila ukweli utatoka na nini nyuma ya haya
Nasikia mwanamke mmoja amejiuwa kwa kashfa hii