Guinea: Kigogo Baltasar Ebang Engonga anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati

Status
Not open for further replies.
Wanawake nao wana matamanio yao kama wanaume tu tulivyo.

Fahari unayoipata kupita na pisi kali za kutosha inawezekana ikawa sawa kabisa na fahari wanayoipata wao kupitiwa na high status guys.

Kwahiyo ni kweli inawezekana shekel haikua sababu bt they enjoyed the thrill of getting laid by another high status dude.
 
Mkuu, maelezo ya huyo manzi yanaweza kuwa kweli kwa kiasi fulani tu, ila siyo ukweli wote.

Attention bila pesa ni kelele, usumbufu, kero..
Yaani ni kama supu ya pweza bila pilipili, utaishia kutapika tu
Muda umefika sisi wanaume, tuwape nafasi wanawake waseme wanachotaka 🤣
 
Sahihi sana, nilikua najaribu kua kinyume na mtazamo wa mleta uzi kwamba mapenzi yale yalikua yamehamasishwa na pesa or cheo; % kubwa ya wale wanawake wanaotajwa waume zao wanazo pesa za kutosha na wana vyeo as well. Kuna mmoja ka katisha ziara yake from Dubai, mkewe kamnunulia gari 2, means the guy is not a poor man. Well, ila kuna watu hawaogopi aise, imagine unapita na mke wa IGP, AG na mkurugenzi wa usalama wa taifa plus mchungaji wake, hu ujasiri sio wa kawaida
 
Huyo mwanamke inabidi apewe platform nzuri ili afunguke zaidi.
 
Media za Bongo kwa kujadili ujinga na udaku hazijambo. Haya ni mambo ya kupuuzwa kabisa hata watoto wetu wasiyasikie.
 
Wanawake ni viumbe wenye unafiki wa hali ya juu. Kila siku kwenye mitandao ya kijamii wanasifia wanaume weusi, warefu, na wenye mvuto (‘black, tall, and handsome’), huku wakiwakosoa wanaume wenye ngozi nyeupe kwa kila aina ya kashfa.

Lakini sasa ona yaliyotokea huko Guinea: yule jamaa Baltazar ni white na handsome, na amefanikiwa kutembea na wanawake wengi wenye hadhi – na hilo bila kutumia nguvu au mbinu yoyote ya kulazimisha nauhakika moja ya sababu iliyokuwa inawavutia wanawake hao ni white wake na handsome wake.

Nahakika kabisa kama angekuwa mweusi, asilimia 50 ya wanawake aliowapiga nao wangemkataa.

Sitakaa tena kuwa na imani na hivi viumbe wanawake wa Kiafrika. Kwa sababu wao ndio hao hao wapo bize wanaotumia vipodozi na mbinu zote kutafuta weupe, huku wakitupigia sifa wanaume ‘black, tall, and handsome.’
 
Uko sahihi mkuu ila pale unapokuwa na mafanikio makubwa ndiopo ongezeko la probability la kupata wanawake wengi linakuwa kubwa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…