Wanawake nao wana matamanio yao kama wanaume tu tulivyo.Sijazitazama hizo video na wala sizitafuti BUT nimesoma story ya huyu bazazi na hao wanawake aliowala. Sikubaliani na mleta uzi kwamba eti mwanamke anapenda mwanaume mwenye cheo au na mwanaume mwenye pesa; kwa muktadha wa tukio hili, wanawake almost wote aliowala waume zao wana status kubwa kuliko yeye, and I assume hata pesa wanazo nyingi kuliko jamaa. Kapiga mke wa IGP wa kule, amekula mke wa AG wa kule, amekula mkuu wa walinzi wa rais (kwa hapa kwetu we could say, kamla mke wa mkurugenzi wa TISS) amekula wake wa mawaziri wengi tu, kapita na dada wa Rais; hao wote wanatoka kwenye familia bora bro, huwezi kusema walifata pesa zake, na usikute hakuna kati yao hata 1 aliyepewa pesa za huduma; labda yule mke wa mjomba wake, cousin wake labda hao ndio hatujui status za waume/baba zao BUT again, huyu jamaa inasemekana ni mtoto wa Rais mstaafu wa nchi yake so again I'm assuming hata hao ndugu zake aliowala nao ni familia bora, mboga saba mezani always. Anyway, mtazamo wangu. Kuna kitu zaidi ya pesa na umaarufu pale, either jamaa zao hawapigi machine vizuri or zile matrix za dunia zimehusika
Fahari unayoipata kupita na pisi kali za kutosha inawezekana ikawa sawa kabisa na fahari wanayoipata wao kupitiwa na high status guys.
Kwahiyo ni kweli inawezekana shekel haikua sababu bt they enjoyed the thrill of getting laid by another high status dude.