Guinea: Kigogo Baltasar Ebang Engonga anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati

Status
Not open for further replies.
Ujiangalia kwa umakini jamaa alikuwa anajirekodi mwenyewe
 
Itakuwa kuna Mwanameke kamfuma kati yao. Akaamua kuvujisha kama mbwai iwe mbwai.

Si unajia akili za wanawake.

Jamaa ameonekana ana dharau anakula watu wa familia moja tena familia Bora?
Yeyote aliyefanya amekosea sana, Hajafikiria vizuri ndio maana naona labda ina kisasi cha kisiasa.

Au wamemblackmail dau kubwa aneshindwa kulifikia?

Shida ya uzinzi huenda chini na wengi. Imagine waume za hao wanawake wanajisikiaje, Mke wa huyu jamaa na watoto je? (cheki walivyo wazuri kwenye picha) Ndugu jamaa na marafiki 😀 Kwa ujumla mji umetikisika, Watu majumbani hakukaliki hakulaliki 😂

Niko hapa naover-think! Unajua … Ni kitu kimoja kufumwa, ni kitu kingine kufumwa na mwanaume mayala (anayetembea na kila mtu) Maana yake haukuwa na akili za kutosha kuchagua mwanaume mstaarabu, ona sasa! (Maneno ya wanaume wahanga kwa wake zao)

Chaos😂
 
Huwa sikisii.

Rudi juu kasome vizuri ulipoliona hilo neno, na mleta mada kaweka tafsiri wala huna haja ya kuniuliza mimi tafsiri, ukipata jibu urudi kuungama ulichokielewa.


Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Angalia tena uandishi katika paragrah ya kingereza lilipotumika neno 'cousin'.

Panctuation mark comma(,) ilivyotumika baada ya neno 'cousin' kisha kufuatiwa na neno 'and' inamuondoa kwenye ubinamu wa mke wa Rais na kubaki kuwa ni binamu wa mzinzi.

Kwa hiyo sikubaliani na fasiri ya kiswahili ya mtoa mada.
Ukiendeleza ubishi nitakusakizia wanajamvi watuamue.
 
Hao wanatapanya pesa za umma. Mungu amewaadhibu.
 
Koneksheni GB 8 hadi raha.....

Unatenga weekend ya kucheki lipilau.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…