Guinea: Kigogo Baltasar Ebang Engonga anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati

Guinea: Kigogo Baltasar Ebang Engonga anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati

Status
Not open for further replies.
Ndiyo maana inashauriwa kabla hujaanza mambo yenu, vyema kuzima ama kuweka silent simu zenu kisha kuziweka mbali.

Niliwahi kudate mtu mmoja wa Usalama, kabla hatujaanza mambo yetu alikuwa anakagua sehemu zote za Chumba cha hotel yetu kuona kama Kuna vinasa sauti ama hidden cameras.

Mbona tendo linakuwa tamu vile vile pasipo kuchukuana picha Wala video.

Binafsi naona ni ushamba kurekodiana ya sirini
Ujiangalia kwa umakini jamaa alikuwa anajirekodi mwenyewe
 
Itakuwa kuna Mwanameke kamfuma kati yao. Akaamua kuvujisha kama mbwai iwe mbwai.

Si unajia akili za wanawake.

Jamaa ameonekana ana dharau anakula watu wa familia moja tena familia Bora?
Yeyote aliyefanya amekosea sana, Hajafikiria vizuri ndio maana naona labda ina kisasi cha kisiasa.

Au wamemblackmail dau kubwa aneshindwa kulifikia?

Shida ya uzinzi huenda chini na wengi. Imagine waume za hao wanawake wanajisikiaje, Mke wa huyu jamaa na watoto je? (cheki walivyo wazuri kwenye picha) Ndugu jamaa na marafiki 😀 Kwa ujumla mji umetikisika, Watu majumbani hakukaliki hakulaliki 😂

Niko hapa naover-think! Unajua … Ni kitu kimoja kufumwa, ni kitu kingine kufumwa na mwanaume mayala (anayetembea na kila mtu) Maana yake haukuwa na akili za kutosha kuchagua mwanaume mstaarabu, ona sasa! (Maneno ya wanaume wahanga kwa wake zao)

Chaos😂
 
Huwa sikisii.

Rudi juu kasome vizuri ulipoliona hilo neno, na mleta mada kaweka tafsiri wala huna haja ya kuniuliza mimi tafsiri, ukipata jibu urudi kuungama ulichokielewa.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Angalia tena uandishi katika paragrah ya kingereza lilipotumika neno 'cousin'.

Panctuation mark comma(,) ilivyotumika baada ya neno 'cousin' kisha kufuatiwa na neno 'and' inamuondoa kwenye ubinamu wa mke wa Rais na kubaki kuwa ni binamu wa mzinzi.

Kwa hiyo sikubaliani na fasiri ya kiswahili ya mtoa mada.
Ukiendeleza ubishi nitakusakizia wanajamvi watuamue.
 
Yeyote aliyefanya amekosea sana, Hajafikiria vizuri ndio maana naona labda ina kisasi cha kisiasa.

Au wamemblackmail dau kubwa aneshindwa kulifikia?

Shida ya uzinzi huenda chini na wengi. Imagine waume za hao wanawake wanajisikiaje, Mke wa huyu jamaa na watoto je? (cheki walivyo wazuri kwenye picha) Ndugu jamaa na marafiki 😀 Kwa ujumla mji umetikisika, Watu majumbani hakukaliki hakulaliki 😂

Niko hapa naover-think! Unajua … Ni kitu kimoja kufumwa, ni kitu kingine kufumwa na mwanaume mayala (anayetembea na kila mtu) Maana yake haukuwa na akili za kutosha kuchagua mwanaume mstaarabu, ona sasa! (Maneno ya wanaume wahanga kwa wake zao)

Chaos😂
Hao wanatapanya pesa za umma. Mungu amewaadhibu.
 
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kitaifa la Uchunguzi wa Fedha (ANIF) la Guinea ya Ikweta, Baltasar Ebang Engonga, amenaswa kwenye kashfa nzito na kubwa zaidi ya ngono nchini humo. Inayohusisha zaidi ya video 400 za ngono.

Wanawake waliomo kwenye video hizo ni pamoja na wake za viongozi wengi mashuhuri, mke wa kaka yake, binamu na dada wa Rais wa Equatorial Guinea, ambao walikuwa na mahusiano ya kingono bila kutumia kinga.

Mwanasheria Mkuu amesema mfanyabiashara huyo atafanyiwa vipimo ili kubaini kama ana magonjwa ya zinaa.

=========

The serving Director General of the National Financial Investigation Agency (ANIF) of Equatorial Guinea, Baltasar Ebang Engonga, has been caught in one of the country’s largest sex scandals.

Baltasar was caught on tape engaging in sexual intercourse with his brother’s wife, cousin, and a sister of the President of Equatorial Guinea.

He is currently embroiled in the largest scandal in Equatorial Guinea.

During an investigation by the country’s security authorities for alleged fraud, over 300 tapes of Baltasar with various women, including married women, were recovered, and they are currently circulating online.

These encounters took place in his office, hotels, and toilets, with all scenes being recorded with the participants’ consent.

He was initially arrested on corruption charges, but during the investigation, authorities discovered the tapes on his computer and leaked them to the public.

Popular social critic Martins Ortse, also known as VeryDarkMan, disclosed videos of this via his Instagram page.

Source: Ahora EG
Koneksheni GB 8 hadi raha.....

Unatenga weekend ya kucheki lipilau.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom