Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Hapo ndo ujue mambo ya ndoa na uaminifu ni usanii tu.
Supposedly, jamaa ana mke na watoto. Kwa hiyo kakosa uaminifu kwa mkewe [labda kama mkewe aliridhia jamaa atoke nje].
Hao wake za watu nao wana miji yao. Lakini wamechepuka [labda kama walipewa ruhusa na wenza wao].
Si ajabu wote [jamaa na hao wazinifu wenzie] wote walikuwa wakirudi majumbani mwao na kujifanya wanawapenda sana wenza wao 🤣.
Ni usanii tu kwa kwenda mbele. Na uaminifu ni siri ya mtu moyoni mwake.
Siwezi kusema watu wote si waaminifu. Ila kwa kiasi kikubwa sana binadamu karibu wote hatuko waaminifu kikamilifu.
Ni suala la fursa tu. Endapo mtu atapata fursa ya kuchepuka na kuamini kwamba itabaki kuwa siri, naweza kusema hakuna atakayekuwa mwaminifu kivile.
Halafu kwa nini ajirekodi mavideo yote hayo? Au ni mcheza ngono asiyelipwa [amateur porn star]?
Poleni mlio kwenye ndoa 🤣.
The whole thing looks like a hot steaming mess.