Guinea: Kigogo Baltasar Ebang Engonga anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati

Status
Not open for further replies.
Mkuu, maelezo ya huyo manzi yanaweza kuwa kweli kwa kiasi fulani tu, ila siyo ukweli wote.

Attention bila pesa ni kelele, usumbufu, kero..
Yaani ni kama supu ya pweza bila pilipili, utaishia kutapika tu
Pesa si anazipata kwa mme wake na mshahara wake.

Kiasili kila mwanamke anahitaji vitu 4 kwa wakati mmoja. Akikosa hata kimoja, atakitafuta nje.

Sababu moja wapo kati ya hizi, mwanamke anaweza kuchepuka:-

1. Financial support (Mpe Pesa na matunzo)
2. Good sex (mtombe vizuri na alidhike)
3. Attention (mfano:- simu za mara kwa mara kumjulia hari, msifie, mpe zawadi kama pipi, mchombeze e.t.c)
4. Quality time (mtoe out, fanya naye kazi za nyumbani, kaa naye na msikilize, yaani mpe muda)

Ukiweza kumpa hivi vitu 4 mwanamke kwa wakati mmoja, akichepuka lazima ajilaumu sana na ni ngumu mno kutoka.

Assumption ya huyo manzi ni kwamba wanawake ambao mwamba kawala wana 1, 2 na 4 ila wamekosa 3.

Na hiyo namba 3 ndiyo inayo wasubua wanawake ambao wako stable financially kama mashangazi, wake wa vigogo, watoto wa kishua e.t.c.

Huyo manzi yuko sahihi.
 
How come mwanaume mmoja aweze kufanya vyote hivyo, btw return ya mwanamke baada ya hayo yote ni nini hasa kwa mwanaume.
 
Hiyo ndo principle, akikosa kimojawapo ni lazima akitafute nje.

mfano:- unampa 1. hela ya kutosha, 2. unamgonga vizuri, 3. una mpa attention ila wewe ni boss na mtu wa vikao na unasafiri sana.

Kwa kukosa muda, mkeo atagongwa na dereva wake ambaye anamuona kila muda au atagongwa na shamba boy ambaye anakaa naye muda mwingi au atagongwa na mfanya kazi mwenziye ambaye toka asubuhi mpaka jioni wako pamoja.

kati ya hivyo 4 unadhani ni kipi unaweza kumpa na kipi umtoshelezi?
 
Huyu jamaa kwa idadi hiyo ni sawa na kusema hiyo ndiyo ilikuwa kazi yake tu. Tena anawarekodi. Huo muda aliutoa wapi ? Na kazi alifanya saa ngapi ?
Yaani inasikitisha sana, na hao ni wale alio wa record, ukiweka idadi ya wale ambao hakuwa record anaweza kufikisha idadi sawa na ya mfalme Suleman.
NB: Me nadhani bwana Baltazar ni sawa na popo bawa.
 
Hiyo ndo principle, akikosa kimojawapo ni lazima akitafute nje.

mfano:- unampa 1. hela ya kutosha, 2. unamgonga vizuri, 3. una mpa attention ila wewe ni boss na mtu wa vikao na unasafiri sana.

Kwa kukosa muda, mkeo atagongwa na dereva wake ambaye anamuona kila muda au atagongwa na shamba boy ambaye anakaa naye muda mwingi au atagongwa na mfanya kazi mwenziye ambaye toka asubuhi mpaka jioni wako pamoja.

kati ya hivyo 4 unadhani ni kipi unaweza kumpa na kipi umtoshelezi?
Mkuu kwani lengo la uwepo wetu hapa duniani ni kumridhisha mwanamke pekee, kwasababu mambo ni mengi na kibinadamu hauwezi kuwa fit kwenye categories zote hizo.

Kuna sehemu lazima utapwaya tu kadri muda unanyo kwenda.

Pia nimeuliza mwanaume ufanye mambo yote hayo kwa mwanamke harafu return ya mwanamke ni ipi kwa mwanaume? Yaani mwanaume unapata faida gani baada ya hayo yote.
 
mkushite Binafsi nitafanya yaliyo ndani ya uwezo wangu na nje ya hapo afanye chochote sita mlaumu kwasababu she needs more than I can provide.
 
Mkuu kwani lengo la uwepo wetu hapa duniani ni kumridhisha mwanamke pekee, kwasababu mambo ni mengi na kibinadamu hauwezi kuwa fit kwenye categories zote hizo.

Kuna sehemu lazima utapwaya tu kadri muda unanyo kwenda.

Pia nimeuliza mwanaume ufanye mambo yote hayo kwa mwanamke harafu return ya mwanamke ni ipi kwa mwanaume? Yaani mwanaume unapata faida gani baada ya hayo yote.
Dai hai haki sawa Mkuu
Paza sauti😂
 
Sawa, hatupo kwa ajili ya kumlidhisha mwanamke. Mimi nimeelezea sababu za hawa viumbe kutoka nje.

Return ya hayo yote kwa mwanamke ni kuwa na mahusiano yenye afya.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom