The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Wanawake hawajui wanachokitaka.
Period.
Period.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pita nahukuCheki link pm
Pesa si anazipata kwa mme wake na mshahara wake.Mkuu, maelezo ya huyo manzi yanaweza kuwa kweli kwa kiasi fulani tu, ila siyo ukweli wote.
Attention bila pesa ni kelele, usumbufu, kero..
Yaani ni kama supu ya pweza bila pilipili, utaishia kutapika tu
How come mwanaume mmoja aweze kufanya vyote hivyo, btw return ya mwanamke baada ya hayo yote ni nini hasa kwa mwanaume.Pesa si anazipata kwa mme wake na mshahara wake.
Kiasili kila mwanamke anahitaji vitu 4 kwa wakati mmoja. Akikosa hata kimoja, atakitafuta nje.
Sababu moja wapo kati ya hizi, mwanamke anaweza kuchepuka:-
1. Financial support (Mpe Pesa na matunzo)
2. Good sex (mtombe vizuri na alidhike)
3. Attention (mfano:- simu za mara kwa mara kumjulia hari, msifie, mpe zawadi kama pipi, mchombeze e.t.c)
4. Quality time (mtoe out, fanya naye kazi za nyumbani, kaa naye na msikilize, yaani mpe muda)
Ukiweza kumpa hivi vitu 4 mwanamke kwa wakati mmoja, akichepuka lazima ajilaumu sana na ni ngumu mno kutoka.
Assumption ya huyo manzi ni kwamba wanawake ambao mwamba kawala wana 1, 2 na 4 ila wamekosa 3.
Na hiyo namba 3 ndiyo inayo wasubua wanawake ambao wako stable financially kama mashangazi, wake wa vigogo, watoto wa kishua e.t.c.
Huyo manzi yuko sahihi.
Ndiyo mkuu! Hadi sasa jamaa katemeshwa kibarua, nadhani kifuatacho anaweza kupelekwa kusiko julikanaHivi ni kweli hii ishu?
How come mwanaume mmoja aweze kufanya vyote hivyo, btw return ya mwanamke baada ya hayo yote ni nini hasa kwa mwanaume.
Sema na yeye ni mtu wa system, sio rahisi kuruka naeHuyo Batazali ni mfu atembeaye. Lazima wataliban waruke nae.
Yaani inasikitisha sana, na hao ni wale alio wa record, ukiweka idadi ya wale ambao hakuwa record anaweza kufikisha idadi sawa na ya mfalme Suleman.Huyu jamaa kwa idadi hiyo ni sawa na kusema hiyo ndiyo ilikuwa kazi yake tu. Tena anawarekodi. Huo muda aliutoa wapi ? Na kazi alifanya saa ngapi ?
Mkuu kwani lengo la uwepo wetu hapa duniani ni kumridhisha mwanamke pekee, kwasababu mambo ni mengi na kibinadamu hauwezi kuwa fit kwenye categories zote hizo.Hiyo ndo principle, akikosa kimojawapo ni lazima akitafute nje.
mfano:- unampa 1. hela ya kutosha, 2. unamgonga vizuri, 3. una mpa attention ila wewe ni boss na mtu wa vikao na unasafiri sana.
Kwa kukosa muda, mkeo atagongwa na dereva wake ambaye anamuona kila muda au atagongwa na shamba boy ambaye anakaa naye muda mwingi au atagongwa na mfanya kazi mwenziye ambaye toka asubuhi mpaka jioni wako pamoja.
kati ya hivyo 4 unadhani ni kipi unaweza kumpa na kipi umtoshelezi?
Hahshahah ndio maana alilewa ngono maana alishangaa jinsi anavyowapata kirahisiMi na njaa kali zang hizi naweza kumla demu yoyote yule iweje kwa kwamba mweny stutas kma ya mshua balta inakuwaje
Hawa raia ni wapes sana sema wengn unaweza kuwaona wagum kwa kuwa tu hukutan nao kweny mazngra yao ila mwanamke yoyote yule narudia tena mwanamke yoyote yule anapenda kuliwaHahshahah ndio maana alilewa ngono maana alishangaa jinsi anavyowapata kirahisi
Dai hai haki sawa MkuuMkuu kwani lengo la uwepo wetu hapa duniani ni kumridhisha mwanamke pekee, kwasababu mambo ni mengi na kibinadamu hauwezi kuwa fit kwenye categories zote hizo.
Kuna sehemu lazima utapwaya tu kadri muda unanyo kwenda.
Pia nimeuliza mwanaume ufanye mambo yote hayo kwa mwanamke harafu return ya mwanamke ni ipi kwa mwanaume? Yaani mwanaume unapata faida gani baada ya hayo yote.
Sawa, hatupo kwa ajili ya kumlidhisha mwanamke. Mimi nimeelezea sababu za hawa viumbe kutoka nje.Mkuu kwani lengo la uwepo wetu hapa duniani ni kumridhisha mwanamke pekee, kwasababu mambo ni mengi na kibinadamu hauwezi kuwa fit kwenye categories zote hizo.
Kuna sehemu lazima utapwaya tu kadri muda unanyo kwenda.
Pia nimeuliza mwanaume ufanye mambo yote hayo kwa mwanamke harafu return ya mwanamke ni ipi kwa mwanaume? Yaani mwanaume unapata faida gani baada ya hayo yote.
Ndo maghayo aka The Mongolian SavageNdiye! Sijui yuko wapi siku hizi.
Hiyo safi, huwezi wapa kila kitu wakatosheka.mkushite Binafsi nitafanya yaliyo ndani ya uwezo wangu na nje ya hapo afanye chochote sita mlaumu kwasababu she needs more than I can provide.
HahahaNdo maghayo aka The Mongolian Savage
Wanawake wanajali kupigwa miti tu..Sawa, hatupo kwa ajili ya kumlidhisha mwanamke. Mimi nimeelezea sababu za hawa viumbe kutoka nje.
Return ya hayo yote kwa mwanamke ni kuwa na mahusiano yenye afya.