Guys nisameheni, Naombeni mawazo yenu nirekebike

😹😹😹 Inauma lakini utazoea..!!
Fuata ushauri wangu dogo, wasukuma mnasifika kwa kulima na kazi nzito..
Katafute shamba Katavi uanze kuandaa msimu sasa hivi unaanza..!!
 
😹😹😹 Inauma lakini utazoea..!!
Fuata ushauri wangu dogo, wasukuma mnasifika kwa kulima na kazi nzito..
Katafute shamba Katavi uanze kuandaa msimu sasa hivi unaanza..!!
Kwendraa zako kilomolomo!
Mnaporojoporojo nyingi kumbe mawaki tu wala mirungi nyie... Jicho Nyanya alaf mfukoni empty set..

Pika huko ule ulaze makeboo🤣 unabweka wee kutoa hutoi
 
Unaumwa halafu hujui
"Being true is crazy in a world full of lies"
Kanye west,

na min -me kasema ukweli kabisa nothing is wrong, soo I don't give a fvck about anyone including you
 
Kwendraa zako kilomolomo!
Mnaporojoporojo nyingi kumbe mawaki tu wala mirungi nyie... Jicho Nyanya alaf mfukoni empty set..

Pika huko ule ulaze makeboo🤣 unabweka wee kutoa hutoi
Fanyia kazi ushauri wangu hii kupiga domo haikusaidii ngosha..!! 😹
 
Fanyia kazi ushauri wangu hii kupiga domo haikusaidii ngosha..!! 😹
Ebu laza makebo mchuga hohehahe wewe, na kwambia kila siku Njoo ule mema ya nchi unakaa kujichekesha tuu
 
"Being true is crazy in a world full of lies"
Kanye west,

na min -me kasema ukweli kabisa nothing is wrong, soo I don't give a fvck about anyone including you
Ungekua hujali usingeleta bandiko la kulialia
Kama Anonymous tunakusumbua je hao wa ntaani kwako wanakufanyaje.
Tokea nijue jf watu wengi hawapo serious basi nina amani sanaa hivyo na wewe nataka nikuwahi upone.

Aya shusha suruali nikuchome sindano ya tako upone..!
 
Hii kitaalamu kabisa
 
Nia ya post yangu ni kujua nakosea wapi kwenye kufanya mijadala yangu iwe smooth kwa faida yangu binafsi na sio kulia lia

Wewe ni moja ya watu wasio ona mada kwa mapana yake unafwata mkumbo tuu

Sometimes huwa nachukulia easy, ila Kuna muda unaongea shit makusudi na mimi huwa sina hiyana, na kugawa dozi unayo jua kabisa unaitaka

Mambo ya kutokuwa serious ni ya kike kike tu, wambea na wapenda kulala nyumbani wakisubiri bills zilipwe

Kama nimegusa pabaya tena nisamehe tu
 
Mind your business
Hakuna anaye jali kuhusu wewe
 
Wewe kama wewe hauna tatizo , don’t ever doubt yourself. Tatizo ni namna sio mtu, na hapa ni dogo tu , huwa unafanya U-Jecha, unakuja na matokeo yako mfukoni.

Pia jifunze kanuni za mjadala, na soma kiasi kuhusu mantiki, Kuna kanuni za mjadala ukizivunja hazina madhara sana, ila zingine ukizivunja unavuruga inakuwa hakuna sababu ya kuendelea kujadili na mtu husika, wakukuelekeza watakuelekeza, wengine watakuignore tu sababu wataconclude mambo fulani fulani.

ukishazifahamu kanuni za mjadala ongeza kuifahamu content yako (Kama wewe ndiye mleta mada) Kama wewe ni mchangiaji sio lazima ufahamu sana content iliyopo mezani unaweza kuwa critic kwa njia ya maswali, again hata ukiuliza lazima uulize kwa mantiki.

Unamuona mtu kama Natafuta ajira, zamani tulikuwa tunampinga sana akileta mada, unafahamu kwanini? Alikuwa bado yuko shallow kwa mada zake, kuna makosa ya wazi alikuwa anafanya au alikuwa anayafanya makusudi (manipulative) Lakini siku hizi weeeee! Akiandika bandiko hapa utatafuta pakupinga utapakosa, unafahamu nini kimebadilika? Amesoma, amepitia maandiko mengi au amekuwa more observant kwa area yake ya specialization (mi naiita sayansi ya mahusiano, au sayansi ya tabia) Hili ndilo hapo juu nimeliita kuifahamu content yako.

Kingine, ukileta data lazima uwe unazifahamu kanuni za data, ukileta rejea lazima ujue hiyo rejea imepingwa na wangapi huko ilipofanyika, it’s whole a lot of a sport kwahiyo kuwa mjanja, lete mjadala huru halafu rejea watu wakazisome huko duniani ili mtu mwenyewe akapambane na maandiko elfu huko yanayozungumzia kitu kimoja kama anajali(Kuna mahali Denno alinibana nilete data, nilikataa nilikuwa nafahamu exactly ninachokifanya, lakini hapo hapo kwenye huo mjadala Kuna mtu simkumbuki alileta data/rejea, baadae Binti wa zamani akaja akaandika kuna mtu ana trigger a researcher in her, nilimuelewa sana anachomaanisha, alimaanisha hiyo rejea iliyoletwa ilishapingwa au kukataliwa na watafiti wa mbele😅😅)


Kingine; lazima uwe na lengo la kujiingange kwenye mjadala, Kama ni kujifunza kama ulivyosema lazima uzingatie hayo hapo juu, ila kama ni kuchangamsha genge, kukera watu, kugaslit watu you can argue anyhow utakuwa umekosea lakini si kitu JF sio sehemu serious ki vile it’s just an online platform and we use fake IDs…

Humu kuna watu ni wajinga na mi nawapenda, unajua kwanini? Mtu anakuwa sio mjinga per se, inakuwa sio lazima watu muda wote wawe na akili wajadili kama wapo TLS.

Ngoja nikutie moyo, Ukiacha watu waliosoma filosofia kama somo , basi watu wengi tumejifunza kujadili humu, Kiranga watu wengi hawampendi wanamuona ni mbishi 😅 Lakini amini nakwambia huwa anafuata kanuni zote za mjadala na mantiki….. Na kuna mtu mwingine nimemuona hapa simtaji atajikuta sana 🤣 Nimemtaja Kiranga sababu anakumbukika kwa urahisi na watu wengine wengi wa zamani wanajua sana.

La mwisho si kwa umuhimu, wana sayansi wengi hawajui kujadili, someone tell me why…na hii haimaanishi hawana akili, wana akili sana ndio maana ni wana sayansi , some of them are geniuses. We can’t reduce them to this, Kwahiyo sometimes mi sioni kama ni issue kubwa mtu akiwa hajui kujadili, Tbh.

No one is perfect, tunajifunza na shule haiishi. ukiona mtu anasoma na kulike tu either anajifunza au anaburudika na maandishi ya humu.
 

Actually, Itoshe kusema binti kiziwi unipe tu location weekend hii nikutoe out..

Sio kwa hii love, nakuonaga mkimya kumbe you're quite well equipped just like my friend with benefits msukuma mwenzangu Binti wa zamani you guys mnavitu ila u keep them to you like you'll die with them...

Actually umenifungua mengi and am gonna do some researching work on kanuni za data and argument orientation...

Thanks for the kind heart and looking forward to my taking you out request

With regards,
Gunner😏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…