Gwajima alijuaje kuwa Lissu angepigwa risasi? Je, ni unabii wa kweli?

Gwajima alijuaje kuwa Lissu angepigwa risasi? Je, ni unabii wa kweli?

Wasiofahamu kitu wanafikiri gwajima ni mchungaji Tu. Huyu jamaa anajua Siri nyingi za nchi hii.
Kipindi kile anaitwa kuhojiwa na kamati ya nidhamu ya CCM alikataa kutumia vipaza sauti na alitumia kiti chake kutoka nyumbani kwake
Asante sana mkuu lwa kutufumbua macho
 
Usimchukulie poa huyo jamaa, kichwani yupo smart! Ana PhD ya kusoma na sio ya kupewa na ana noti hizi mabilioni kawaida..

1. Noti ni kutoka kwa wajinga ambao hata kitabu chao hawakisomi kabisa .

2. Phd za kusomea mbona watu wengi wanazo?
 
Back
Top Bottom