Gwajima anapaswa kupigwa vita na vyama vyote

Binafsi namuunga mkono Gwajima. Jamaa ana convincing power ya ajabu. Na atashinda. Hayo mengine kwani anawabaka? Si wanakubali wenyewe ? Kuhusu uchungaji hiyo ni fursa tu. Kwa Tanzania ukifa masikini basi uliamua mwenyewe tu.
Duuh
 
Kawe tunamsubiri kwa hamu. Nadhani, Kawe ndipo mahali CCM itaonyeshwa kwa uwazi kwamba ujanja na ulaghai hauwezi kufua dafu kwa wanaojitambua. Gwajima anaenda kuabishwa, na CCM inaenda kuaibishwa kupitia huyu msanii anayemkata vipande vipande Yesu na kwenda kuviuza!
 
Nionyeshe kanisa la Mchungaji Msigwa haalfu tuanze upyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
Nani sio mzinzi humu
Tuache maneno ana haki ya kufombea ni mtanzania kama ilivyo kwa halima mdee, mbona tuhuma za usagaji za halima hamzisemi humu au ndio maadili hayo
 
Kwahiyo kwako kumtoa Mdee ndo muhimu
Kuliko kuona huyu mhalifu tapeli anaingia bungeni?
I don't even care. Kuliko kupambana na Gwajima bora kupambana kuondoa ujinga kwa wananchi. Kwa sababu Gwajima anareflect wananchi walivyo. Ila Mdee nae hakuna cha maana alichofanya Kawe. Bora hata Gwajima anaweza kutuletea wafadhili kutoka Japani. Imagine kiwanda cha Nissan cha kuassemble magari kinajengwa Kawe .Ajira nyingi sana...
 
Yani gwajima alete wafadhili hixo ndoto pevu kweli na kikiletwa experts watakuwa wachache Sana, yeye akiukwaa ubunge atanenepa shavu liwe dodo. Mimi ubunge kwa nchi hii huwa sioni umuhimu wao
 
Akili za meko na gwaji boy zote zipo sawa.
 
Kwanza amuombe radhi bashite kwa kumdhalilisha kumbe ilkuwa uongo
 
Matapeli wote wapo CCM hivyo anajihami
 
 
Wamama wa church kwake huwaambii kitu, sijui anawafanyaga nini, tena wengi ni madada
 
Huyu ana laana ya kumtukana Cardinal Pengo
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…