Gwajima anapaswa kupigwa vita na vyama vyote

Issue ya kuchanganya siasa na dini, tulikuwa tunakemea hapa kila siku lakini kwakua kuna baadhi ya viongozi wa dini kauli zao ziliwapendeza wafuasi wa upinzani tukaambiwa tuwaache kwakuwa viongozi wa dini wana wajibu wa kutoa mausia hata ya kisiasa. Hivyo muache afanye yake.
 
Yaani wew unakiri kwamba unamuelewa yule tapeli wa kidini kuliko wote, duuh kweli binadamu tumetofautiana
Tumetofautian, mitazamo, unaangalia na kulenga mabaya, ila kuna codes yupo vizuri, yule mwamba..
 
Sio kweli! Gwajima lile kania ni mali yake.....nionyeshe kanisa la Msigwa tuanze upyaaaaaaaaaaaaaaaa
Kifupi ni kuwa Gwajima hana Kanisa, kile ni kijiwe chake cha kupigia pesa kama ilivyokuwa kwa Mzee Mwasapile kule Samunge.
 
Wee ni mfuasi wa Halima Mdee. Usitufanye na sisi tutor matatizo ya Halima..
 
Hao kina Gwajiboy ndio hazina ya ccM unategemea nini mkuu
 
Alishtakiwa wapi
 
Tulika kaka tuchart sisi tunataka maendeleo na siyo porojo zako. Mambo binafsi yanatuhusu nini sisi watanzania? enzi zake na mzee wa manvi alihahidi kununua kama siyo ndege basi treni. Sisi watanzania tunasubili mambo makubwa zaidi ya hayo
Ulichoandika hapa umepigia mstari paragraph ya mwisho ya mleta mada
 
[emoji41]
 
Sio kweli! Gwajima lile kania ni mali yake.....nionyeshe kanisa la Msigwa tuanze upyaaaaaaaaaaaaaaaa
Umesoma vzr nilichokiandika? Nikuonyeshe vipi kanisa la MSIGWA wakati nimekwambia wachungaji huwa HAWANA Makanisa yao binafsi?
 
Yote haya ni baada ya kusema anataka kugombea ubunge?
 
Inadaiwa Gwajiboy ndo anakaimu nafasi ya mwenyekiti George Floyd huko pornhub.

Ila si ajabu sisiem wakamteua, na wakifanya hivyo Basi jiwe atakuwa ameamkia video ya gwaji hiyo siku
 
Gwajima boy mtoto wa mjini, alimwingiza Mbowe king ingawa eti Mbowe naye ni mtoto wa mjini alimuzia bonge la zigo Lowassa na hapo ndio ukawa mwisho ndoto wa Chama kilicho kuwa kinajigamba kuwa kinapambana na ufisadi, sasahivi wanapanbana wenyewe Kwa wenyewe,. Hezi hizo Gwajima boy anaitwa mshenga kuna watu walikuwa wanampamba sana kisa anamnanga Dk Slaa, waliona akili tukaa pembeni tukisoma mchezo, sasahivi mshenga kaisha chukua chake kawachia manyoya watu wanaanza makelele, Gwajima boy ni mtoto wa shamba aliyekulia mjini, Chadema amumuwezi yeye kaisha maliza kazi yake anaenda kulipwa fadhira.
 
Na nyingine undumilakuwili, hivi najiulizaga Gwajima anaongozwaga na Roho mtakatifu???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…