Gwajima: Eti nilikamatwa na mrembo, kwani warembo wana ubaya gani?

Anawahamisha kwenye issue ya tozo na kesi ya Mbowe mpuuzeni anatumika huyo
 
Kanisa la Gwajima ni kama vile stand up comedy ya bure. Ningekuwa Bongo ningehudhuria kila week. Unatoka hapo na furaha kwa kiburudisho cha bure.
 
Huyu bado kidogo watamnyang'anya kibali cha kanisa
Tumewaza pamoja hili, na utasikia pale pana mradi unapitishwa basi kwisha habari yake laa sivyo awasikilize wakubwa wake mara moja.
 
Tuangalie na kutafakari mantiki ya swali;

1. Kwanza tukumbuke kuwa swali hili anaulizwa shemeji mtu Dr Dorothy Gwajima, kuwa let's assume that "nilikamatwa" na mrembo, so what....?

2. And again, anaulizwa shemeji mtu Dr. Dorothy Gwajima kuwa, let's assume that, "nilikamatwa" na mrembo, je hiyo inajibu hoja za wanaotumia "hiari yao" kukataa chanjo hii na hivyo kuamua kutochanjwa...?

Kifupi sana, hili ni swali lenye kejeli ndani yake kwa sababu waziri Dr. Dorothy Gwajima anatumia uongo wa kingono za kutengenezwa kwa kutumia computer technology kumchafua Rev. Bishop Josephat Gwajima ili kujenga hoja za watetezi waliotumia "hiari ya kuchanja" kwa wao wenyewe kuamua kuchanjwa...

SASA, anamuuliza Dr Dorothy Gwajima, iweje unatumia kashfa za uongo za kutengeneza dhidi ya kiongozi mkuu wa movement ya "HAKUNA KUCHANJWA?" Bishop Rev. Dr. Josephat Gwajima..? Je ni kwa sababu anavuruga maslahi yao kwa kuhamasisha watu kukataa chanjo kwa sababu za kisayansi na kiroho...?

Kuna siri gani iliyo nyuma ya chanjo hii ya UVIKO 19 kwa viongozi wa serikali hii ya Samia kiasi cha kutumia uongo na hadaa kutaka watu wachanjwe tu...??
 
Ndo nilivoolewa pia
 
Drama za kina Gwajima hakika zimefanikiwa na zinafanikiwa zaidi kuwahamisha wabongo kwenye jambo fulani. Kwa wale tunaofuga Mbwa nadhani mnajua namna ya kumuhamisha Mbwa anayekubwekea.

Hakika ...... Imefanikiwa sana
 
Ni dawa ipi inayotumika hospitali ambayo tumeifanyia utafiti
 
Ugomvi wa family. Wamesahau mambo ya uviko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…