Gwajima: Kutakuwa na Ugeni wa mzee kutoka kijiji cha KOROMIJE

Acheni aendelee kushuka ili ukweli ubainike
 
Hata hivyo ni lazima tumpongeze Makondona alifanya makosa wakati wa kufanya mazuri. Kosa lake ni kutaja hadharani na kuwalaza mahabusu watu bila ya kufanya utafiti wa kina. Je, kosa hili linafuta (outweigh) nia yake ya kuyaondoa madawa ya kulevya Dar es Salaam? Tusijekuwa tunawasaidia na kuwafurahisha wauza madawa wazidi kushamiri tunapomshambulia Makonda.
 


Mbona unakimbilia kutukana makanisa yoyote kwa ajili ya mjadala wa vyeti tuu?

Kama kutambulika ni kunyamazia ufojaji wa nyaraka za serikali au kutokukemea uovu, hakuna faida yoyote na hata mbinguni hawatapata thawabu kwa kuwa walitambuliwa na serikali, ila kwa matendo yao yasiyo ya kinafiki.
 
Ninachoshindwa kuelewa tatizo ni kuwa gwajima ni mchungaji hatakiwi kujihusisha na mambo ya kijamii,au kosa ni yy kama kiongozi wa kijamii kujitokeza hadharani na kusema anachoamini ni ukweli na kutaka kuuthibitishia umma kuwa ni kweli,au kosa ni kumuongelea mtu aliyesababisha kukamatwa kwake kwa kosa ambalo hajakutwa nalo na kosa ambalo limeharibu image yake na jina lake katika jamii na kosa ambalo linaonekana ni labda chuki za huyo aliyemtuhumu au kutafuta umaarufu au kukurupuka au ni kosa halali na anajihusisha ila ameshindwa kuthibitisha. Nadhani kila mtanzania ana uhuru wa kutoa maoni na kuongea atakacho ili mradi asivunje sheria bila kujali shughuli yake,kabila,dini,umri......tumuache gwajima azungumze ili mradi asivunje sheria
 
Hao waumini wake wakapimwe akili maana sio bure, mtu unakua unalipa nauli kwenda kufuata umbea na sio neno la kukujenga kiroho? sasa vyeti vya Mkuu wa mkoa ndio vitawapeleka Mbinguni? Kwa hizi akili maendeleo yatachelewa sana kuja!
Ww umepimwa akili?
 
Hao viongozi wanaokalia kimya uovu na upendeleo wa Bashite ni wanafiki sana, maana ni wao hao hao ndio waliokua wakikemea kuto Keisha kwa uhakiki na Leo hii mwana almasi wa mfalme amekwiba wanajitia kufunga midomo, vitabu vya dini havisemi "udanganyifu ufichwe" vinasema "udanganyifu usemwe ikibidi ukemewe popote"
 
Upo right
 
Jamani hii siyo sin. It is a crime. Ya Mungu mpeni Mungu na ya Kaizari mpeni Kaizari.

Jukumu la kufichua maovu katika nchi isiachiwe watu wawili au wachache, ni jukumu la watanzania wote!
 
His behavior has been very unseemly.

A man of the cloth comporting himself like a drama queen.

Shame shame shame.
Sijaelewa hapa, mnasema yaishe au kwamba Gwajima asishughulikie?

Msema ukweli si ndio mpenzi wa Mungu. Au inategemea Nani anayesema huo ukweli, kuhusu nani na ni ukweli gani?

Au kuna ukweli mtakatifu na ule unholy.

Tunaomba mwongozo
 
Fair or not, that doesn't justify him to act the way he is acting if at all that which is being reported is true.

He can't stay above the fray?
Let us be the judge of that. Cha msingi tupate evidence yote.
 
Hii inaitwa @vuta nkuvute,ukichimama nchale,ukikaa nchale,ukikimbia chale,ukilala nchale,ukichuchumaa nchale,ili yaishe,weka vyeti mezani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Jf siku hizi kuna Maada za ajabu Sana mimaada ya kijingajingaaaa!
 
Sijaelewa hapa, mnasema yaishe au kwamba Gwajima asishughulikie?

No.

That's not what I'm saying.

I just don't see the need for him to be histrionical and sink that low.

Msema ukweli si ndio mpenzi wa Mungu. Au inategemea Nani anayesema huo ukweli, kuhusu nani na ni ukweli gani?

Au kuna ukweli mtakatifu na ule unholy.

Tunaomba mwongozo

Kama anasema ukweli basi sioni kabisa sababu ya yeye kuleta drama.

Drama za nini sasa? Huo ukweli hauwezi kusimama wenyewe bila drama?

Yaani watu hili suala limewafanya muwe wapuumbavu kabisa.
 
Kuna stages za ubaguzi na dhambi ya ubaguzi haiishii sehemu moja.
 
Hapo naona kuna team inafanya kazi usiku na mchana na inajipanga kuja kumsafisha bashite. H

FBI ya bongo hapana chezea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…