Loeb S Mpalasinge
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 1,792
- 1,749
Hili Jambo alizingatie Sana.Na wale WA mfano WA the late mama lwakatare wasikimbilie vitu maalum Tu ya kaisari yabaki kuwa ya kaisari na ya MUNGU yabaki kuwa ya MUNGU..Watumishi wabaki na kofia moja Tu inawatosha., kama anataka kuingia kwenye siasa basi hana budi kujivua Uchungaji ili asichanganye mahubiri ya kanisa
Hawakutegemea kuna mtu yoyote wa ndani anaweza kusema kwa ukali kama alivyosema Gwajima, tena akimnyoshea vidole mtawala.Na labda, ukweli unaposemwa na mtu wa ndani, huuma zaidi….
Mimi ninachojua Mwenyekiti kasema tuyakatae Magwajima kisha likafuata hilo kufutiwa usajiri na jana tu katuma salamu kuhusu dini za ushetaniNa. M. M. Mwanakijiji
Sielewi kwanini suala la Askofu Gwajima limefanywa kubwa mno kivile. Hakuna jambo lolote ambalo alilisema kwenye kile kikao chake na waandishi wa habari tunaloweza kusema lilikuwa ni kubwa mno kiasi cha kuonekana "kuchochea" wananchi dhidi ya serikali. Suala la matukio ya utekaji yamekuwepo Tanzania kwenye mazingira ya kisiasa na kiuhalifu tu. Kwamba, kuna mtu serikalini amekereka sana inashangaza!
Yaani, kweli kabisa serikali imepata taarifa toka kwa Gwajima kuwa kuna watu zaidi ya 80 wametoweka kwenye mazingira ya kutatanisha? Kwamba, baadhi ya waliotoweka au kuuawa ni watu wenye mirengo ya kisasa za upinzani? Kweli kabisa, Jeshi la Polisi, TISS na vyombo vingine vya usalama havijui uwepo wa matukio haya?
Hivi, kulikuwa na ugumu gani wa kumuita Gwajima kama walivyofanya kwa wanasiasa wengine na kutaka awape ushirikiano? Mbona haya yamekuwa yakifanyika mara kwa mara? Naamini Gwajima amefanya kosa moja kubwa ambalo linanifanya nisimuonee huruma moja kwa moja; afanye analotakiwa kufanya nalo ni kujiuzulu Ubunge na UCCM lakini pia, kama anataka kuingia kwenye siasa basi hana budi kujivua Uchungaji ili asichanganye mahubiri ya kanisa na malalamiko ya kisiasa...
Zaidi...
View: https://www.youtube.com/watch?v=i1W5Qcmlibw&lc=UgxBxMwrQwEzDpB8uCl4AaABAg
OkaySielewi kwanini suala la Askofu Gwajima limefanywa kubwa mno kivile. Hakuna jambo lolote ambalo alilisema kwenye kile kikao chake na waandishi wa habari tunaloweza kusema lilikuwa ni kubwa mno kiasi cha kuonekana "kuchochea" wananchi dhidi ya serikali. Suala la matukio ya utekaji yamekuwepo Tanzania kwenye mazingira ya kisiasa na kiuhalifu tu. Kwamba, kuna mtu serikalini amekereka sana inashangaza!
Nadhani hujamwelewa sanaJamaa huyu mwanzisha thread tangu uchaguzi wa 2015 uishe akili hazijamkaa sawa. Ni wale watu wanafurahi kuona mtu ambaye alitofautiana naye kimawazo, anaishi maisha ya tabu na dhiki hata kama hana kosa. Ni diktekta mmoja uchwara wa hatari sana. Hivi kweli mauaji yanayoendelea ni kitu cha kawaida?
Ndio huko sawa, sasa mimi nausika vipi na hizo lawama zakoHata Mzee Kibao masikini mmemuuwa kwa kumdhalilisha sana haipendezi kabisa
Hii tabia ya kuwadhalilisha binadamu wenzio na baadaye kuwauwa Mungu atajibu soon
Diamond katafuta pesa kwa jasho na kujitoa kwa hali ya juu, inakera na kusikitisha kuona akili za kiunaharakati zikimuhusisha na upuuzi wa siasa zetu. Ni mtanzania kama mimi na wewe na anao uhuru wa kuwa na mienendo anayoona inamfaa yeye na wote wanaomzunguka.Yes anapiga kimya as if hao wanaopotea si kitu ....
Kuna level ya hali ya juu ya serikali kutokujali raia, kuna dereva mmoja anashikiliwa South Sudan (alipe faini). Serikali kimya. Pesa za vitu vya hovyo hovyo za kina Diamond zipo ila rare situation ya raia kawekwa bond is up to family.
Inasikitisha sanaHata Mzee Kibao masikini mmemuuwa kwa kumdhalilisha sana haipendezi kabisa
Hii tabia ya kuwadhalilisha binadamu wenzio na baadaye kuwauwa Mungu atajibu soon
Ndiyo sielewi..mbona alilosema Gwajima si la kushtua kivile....angetaja wahusika basi lingeshtuaMimi ninachojua Mwenyekiti kasema tuyakatae Magwajima kisha likafuata hilo kufutiwa usajiri na jana tu katuma salamu kuhusu dini za ushetani
Na wala hakusema jambo jipya ambalo halijasemwa kablaNdiyo sielewi..mbona alilosema Gwajima si la kushtua kivile....angetaja wahusika basi lingeshtua
Kama lengo ndio hilo basi wamekosea sanaaa, maana no reform no election na hii hoja zinaendana vinaya mno, na wanazid kuwapa cdm platformserikali ilikuwa inatafuta mbinu ya kuzika Ajenda ya no reforms no election na swala la Lissu
hakika wamefanikiwa
Lakini si kamsema Samia Suluhu Hassan, ambaye ndiye Mwenyekiti wa CCM, na Rais wa nchi; ambaye serikali iliyopo iko chini yake?Gwajima mbona hajaituhumiu serikali?
Lakini si kamsema Samia Suluhu Hassan, ambaye ndiye Mwenyekiti wa CCM, na Rais wa nchi; ambaye serikali iliyopo iko chini yake?
Samia ndiye anayeteua na kutengua hao wakuu wa vitengo aliowazungumzia Gwajima.
Sasa utasemaje kuwa Gwajima "hajaituhumu serikali"?
Kwani uko bungeni kaingia kwa kofia ya uaskofu? Si mwanasiasa pia?Naamini Gwajima amefanya kosa moja kubwa ambalo linanifanya nisimuonee huruma moja kwa moja; afanye analotakiwa kufanya nalo ni kujiuzulu Ubunge na UCCM lakini pia, kama anataka kuingia kwenye siasa basi hana budi kujivua Uchungaji ili asichanganye mahubiri ya kanisa na malalamiko ya kisiasa...
Ni lazima niseme wazi.Hilo wanajifanya hawajaliona...
Gwajima moja kwa moja kaituhumu serikali na kuihusisha na utekaji.
Mbaya zaidi mashambulizi hayo anayafanyia kanisani,anaachwa VIPI?
Hivi.. umesahau kabisa watu walisema "mama hatufokei"?Jamaa huyu mwanzisha thread tangu uchaguzi wa 2015 uishe akili hazijamkaa sawa. Ni wale watu wanafurahi kuona mtu ambaye alitofautiana naye kimawazo, anaishi maisha ya tabu na dhiki hata kama hana kosa. Ni diktekta mmoja uchwara wa hatari sana. Hivi kweli mauaji yanayoendelea ni kitu cha kawaida?
Aliwasema nje ya kanisa....angehubiri yale majina 23 na mapendekezo yake kanisani au angezungumza Bungeni ambako ana kinga..Kwanini mtu wa dini akihoji ionekane siasa lakini akisifia inakua sio siasa? Bado kosa la Gwajima halijawekwa bayana