Khanji kapoor
JF-Expert Member
- Oct 19, 2024
- 3,861
- 9,909
Natembea sana nikipata mudaJitahidi kufanya mazoezi ya hapa na pale si lazila gym. Hata kutembea mwendo mrefu. Itakusaidia mbeleni.
Mwanaume akiwa Hb akifanya na mazoezi anavutia sana..!! πNjoo mazoezin
Mabwakuuu hivi coca yupo wapiKuna siku alianza eti kunipiga nyama za tumbo, ghafla akahamia kwenye traco ananipiga nikamwambia βAcha ucengeβ πΉπΉ
Ila gym kuna upuuzi sana.
Kuna mkaka yeye mcheza mpira basi akiniona nimefika anataka ajifanye trainer anaforce anifanyishe mazoezi anamuomba trainer kabisa..!! Nikaona hapa sasa jau πΉπΉ
Sema yule kaka mzuri bana π
Ila wacheza mpira wengi vicheche sana..!!
Hata sio π€£π€£We sio wa KINYEREZI?
Kuna siku nitakujoin Sunrise beach afu najikausha kama sio mimi πΉπΉSUnrise beach, south beach , kipepeo beach... yale ndio maeneo yangu,
Aliekwambia tako lazima liwe kubwa ndio livutie nani.. kuna vindimu vingine laini, ukikishika kimeshikika, sio tako gumu kama NYANYA NTOLE.π€£
Mie mtaani kwangu sina kiwanja maalum, sababu ya UKORONGWA kiwanja chochote naingia na nacheza, nikijiskia kwenda hiki naenda nabonda, niona leo huku, naenda nakiwasha...Mwanaume akiwa Hb akifanya na mazoezi anavutia sana..!! π
Mazoezi kiwanja kipi nije?
Weeeh tukionjesha onjesha hovyo si kitaisha jamani..!! πΉπΉπΉ
Basi hapo swali la hyperbolic nime intergrate by parts ππ€£Hata sio π€£π€£
Kiishe kwani imekuwa sukari guru hiyo?Weeeh tukionjesha onjesha hovyo si kitaisha jamani..!! πΉπΉπΉ
Udugu kafungiwa na baba tamu. Hapo mpaka kurudi na mate anaanza kutema..!! πΉ
Kwahiyo na mimi niwe navamia kiwanja chochote nifanye mazoezi? πΉπΉπΉMie mtaani kwangu sina kiwanja maalum, sababu ya UKORONGWA kiwanja chochote naingia na nacheza, nikijiskia kwenda hiki naenda nabonda, niona leo huku, naenda nakiwasha...
Si ndio zile nyanya chungu!! ππ€£Kuna siku nitakujoin Sunrise beach afu najikausha kama sio mimi πΉπΉ
Umeanza maneno yako πΉπΉπΉ
Vindimu was necessary?
Nyanya ntole ndo kinini tena?
Nipeee mimi ni muonje nina hali mbaya naweza kula chochote hata nyasiπ π π π πWeeeh tukionjesha onjesha hovyo si kitaisha jamani..!! πΉπΉπΉ
Udugu kafungiwa na baba tamu. Hapo mpaka kurudi na mate anaanza kutema..!! πΉ
Basi kitachakaa πΉπΉKiishe kwani imekuwa sukari guru hiyo?
Wewe ukivamia utakula za uso..Kwahiyo na mimi niwe navamia kiwanja chochote nifanye mazoezi? πΉπΉπΉ
Maka hauko serious, em sema kiwanja ambacho wewe ni mkulungwa hapo..!
πΉπΉπΉ Unanitisha sasa.Si ndio zile nyanya chungu!! ππ€£
Karibu utanikuta tu napsha moto shahawa zangu..
Ukipumzisha itaota kutu, mali inahitaji kugrisiwa mara kwa mara.Basi kitachakaa πΉπΉ
Aiii, umekuwa zuchu, acha zako njooπΉπΉπΉ Unanitisha sasa.
Basi siji
Mpe Tonn πΉπΉNipeee mimi ni muonje nina hali mbaya naweza kula chochote hata nyasiπ π π π π
Ila coca ndio hata asionekane