Utayari wa taasis za serikali kukubali mabadiliko ndio tatizo. Watu hawataki mifumo ya uwazi sabab ya njaa.Na kuna watu wana graduate kila siku wataalam wa health systems alafu hakuna wanalofanya malofa kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utayari wa taasis za serikali kukubali mabadiliko ndio tatizo. Watu hawataki mifumo ya uwazi sabab ya njaa.Na kuna watu wana graduate kila siku wataalam wa health systems alafu hakuna wanalofanya malofa kabisa.
Kuna namna ya kupata mapato.. kuna wazo nilitoa kwa watu wa sekretariet ya ajira.. kwamba ile website yao inatembelewa zaidi kuliko website yoyote serikalini.. nikasema waweke feature ya ads na watapata hela nyingi kila mwezi hela ambazo zitaongeza ufanisi wa shughuli zao. Sijui kama walisikia au la.Mawazo anaweza kuwasilisha, lakini yeye sio final sayer. Watoa maamuzi ya mwisho bado wata-prioritize mapato
Hakuna kazi, tuna viongozi wajinga na wabinafsi tupu. Yamejaa majangili tupu kwenye ofisi za umma.Tuna kazi sana.
Sasa kwanini taarifa za Temeke hosp hazioani na taarifa za Muhimbili?Sasa huo mfumo si ndo uliopo sasa Sema anayejaza ni Daktari na sio mteja
Mamlaka zipo na bahati mbaya hawana habari kwa kuwa wao wanatibiwa India.Utayari wa taasis za serikali kukubali mabadiliko ndio tatizo. Watu hawataki mifumo ya uwazi sabab ya njaa.
Kwahiyo xray na ct-scan utatakiwa upime mara mbili mfululizo! Damu hata mara sita unaweza ukapima ndani ya siku moja.Mkuu nakuelewa na nimekuelewa kabisa ila Taaluma ya Udaktari haifanyi hivyo kazi....
Ntakupa mfano mmoja mdogo tu (Japo upo nje ya hapa)
Angalia: Mgonjwa amekuja akapima HIV katika kitengo cha upimaji na nasaha hospitali ya Bushungwa akapewa rufaa kwenda kitengo CTC (huduma ya Matunzo na matibabu) hapo hapo Hospitali ya Bushungwa..
Unafikiri ni kwanini kabla ya kuwa registered Lazma apimwe tena,,,,Tena n mtu mwingine tofauti na wa mwanzo..?
Unafikiri kwakuwa ni hospitali moja kwanini kupima mara mbili ?
Jibu ni dogo Refferal System hutumia majibu ya zehemu aliyotoka mgonjwa kama rejea tu na sio implementation hata kama unamjua aliyefanya na ni bora kuliko wewe...
Nadhani halijafanyiwa kazi. Sioni ads zozote pale na nimepita hata leo.Kuna namna ya kupata mapato.. kuna wazo nilitoa kwa watu wa sekretariet ya ajira.. kwamba ile website yao inatembelewa zaidi kuliko website yoyote serikalini.. nikasema waweke feature ya ads na watapata hela nyingi kila mwezi hela ambazo zitaongeza ufanisi wa shughuli zao. Sijui kama walisikia au la.
ICT inaweza kukupa hela kwa nyanja nyingi zaidi bila kuwakera watumiaji.
Hahaa Mkuu mpaka sasa tunatumia mifumo Tofauti kuna wanaotumia GoT-Homis na wengine wana mifumo yao hapo awali kulikuwa na sera ya mifumo sijui iliishia wapi..Sasa kwanini taarifa za Temeke hosp hazioani na taarifa za Muhimbili?
Hapa nimecheka eti "Daktari chizi " 🤣🤣Case hapo ni ndogo na sasa umeeleweka. Kikubwa ni kwamba gharama hapo Mhimbili hazikwepeki. Maaana unaanza matibabu si kwamba unaendeleza. Kwa kila tukio team la madaktari bingwa hukaa kikao na kuelezana kinachoendelea. Hasa ikitokea kifo cha mgonjwa. Labda kama atakuwepo daktari chizi,anayeweza kusimamia kutibu mgonjwa kupitia taarifa za doctor mwingine. Na amemurefer kwa sababu uwezo wa kumtibu hana.
Unalolisema ni kweli. Issue hapo iwe mfumo huo,tena utalipa na zaidi. Hata ukilipia,wataziupload,japo nahisi ulielewa vibaya. Hizo picha kuwa uploaded,zinachukuliwa vipandevipande,kwenye machine husika,vinachukuliwa na kupelekwa kwenye mfumo wa CD unayopewa wewe. Sasa, hiyo ni wazi ingekuwa janja janja, kama mlitaka mfumo wa Mhimbili usome data za Hospitali uliyotokea. Na kwanza kwa zile machine zilivyo,haiwezekani kukopi CD na kuyiweka kisa ina hizo data. Hakika ulichoambiwa ni kulipia CT-Scan na hamkuelewana. Hapo tatizo si kutopata tiba,bali ki gharana kubwaUhakiki huu unahusu nilichopeleka kilikuwa kinanihusu mimi na picha iliyokuwemo kwenye DVD ilinihusu mimi, na hiyo gharama si ya matibabu ni ya ICT tu. Unapofanya CT-scan picha nayo inakuwa inachomwa na ukimaliza unakabidhiwa kila kitu hapo hapo kabla ya kumuanza mtu mwingine.
Wanakosa hela kijinga sana.. wana uwezo wa kuingiza zaidi ya mil 20+ kila mwezi.Nadhani halijafanyiwa kazi. Sioni ads zozote pale na nimepita hata leo.
dah umeongea point nzito sana hiiKiukweli hii nchi kama wewe ni masikini ombea tu Mungu akutunze asiugue
😅😅 Mkuu we wasikilize wanachotaka vingenevyo Muhimbiri Utazunguka kama tiara hapo 🤣🤣Kwahiyo xray na ct-scan utatakiwa upime mara mbili mfululizo! Damu hata mara sita unaweza ukapima ndani ya siku moja.
Mtu wa ICT akishaweka /Simika mfumo hana chake tena sana sana atakuw anafanya monitoring and assistance ndogo ndogo sana.. haina haja ya kuajiri watu wengi wa ICT.Hahaa Mkuu mpaka sasa tunatumia mifumo Tofauti kuna wanaotumia GoT-Homis na wengine wana mifumo yao hapo awali kulikuwa na sera ya mifumo sijui iliishia wapi..
Maana hata wanaotumia GoT homis nao wamegawanyika kuna wanaotumia online version na kuna offline versiom...
Ukiuliz utaambiwa uhaba wa maafisa Tehama wakati ma IT kibao wako mtaani Anywei tuendelee kuvuta subira tutafika...
Tatizo siasa ikiingilia proffesionalism haya ndo hutokea
Sasa,kwa hali ya kawaida. Uliwahi ona mahakama inayopitisha kesi bila kujilidisha? Kwani huko mwanzo si upelelezi unakua umeshafanyika?Hapa nimecheka eti "Daktari chizi " 🤣🤣
Kiufupi huyu Jamaa anazungushwa ila Lengo ni akapime tena CT-SCAN ni kwamba muhimbili hawawezi kuamini Hospitali ya mkoa Bora ingekuwa ya Kanda afadhali kidogo.....Kwa muhimbili akiwa kiburi anaweza akaenda kwa IT akamwambia Arudi kitengo cha RAdiation akafika kule wakamwambia apige tena 🤣🤣
Cc: Hismastersvoice
Wapo kibao unakuta mgonjwa kaingia anchukua saa kutoka...anatype herufi moja moja anasababisha que kubwa...Mtu wa ICT akishaweka /Simika mfumo hana chake tena sana sana atakuw anafanya monitoring and assistance ndogo ndogo sana.. haina haja ya kuajiri watu wengi wa ICT.
Shida inakuja unakuta Daktari mzima hata kuwasha computer hajui.
Swala la gharama za matibabu zinaanzia kwa dakitari, hizo hazikuwa tatizo kwangu kwani ukipokelewa tu unaanza kulipa. Nataka kujua uhalali wa hiyo sh 86,000/= bila jasho ni pesa nyingi sana kwa kukopi tu!Case hapo ni ndogo na sasa umeeleweka. Kikubwa ni kwamba gharama hapo Mhimbili hazikwepeki. Maaana unaanza matibabu si kwamba unaendeleza. Kwa kila tukio team la madaktari bingwa hukaa kikao na kuelezana kinachoendelea. Hasa ikitokea kifo cha mgonjwa. Labda kama atakuwepo daktari chizi,anayeweza kusimamia kutibu mgonjwa kupitia taarifa za doctor mwingine. Na amemurefer kwa sababu uwezo wa kumtibu hana.
Ukiambiwa uvirudie tena na tena utapiga! Haujipendi na unahela za mchezo.😅😅 Mkuu we wasikilize wanachotaka vingenevyo Muhimbiri Utazunguka kama tiara hapo 🤣🤣
Hata ma IT wanaonewa. Mi ni mtaaram wa tiba,lakini hata ukisema kuna IT alifanya ntashangaa. Na ma IT pamoja na kazi yake lakini kuna red line. Yaani kitengo cha radiology,na wataaramu wake,wewe ulete taarifa za nje uingize kwenye mfumo wao? Wagundue? Utapona?Hapa nimecheka eti "Daktari chizi " 🤣🤣
Kiufupi huyu Jamaa anazungushwa ila Lengo ni akapime tena CT-SCAN ni kwamba muhimbili hawawezi kuamini Hospitali ya mkoa Bora ingekuwa ya Kanda afadhali kidogo.....Kwa muhimbili akiwa kiburi anaweza akaenda kwa IT akamwambia Arudi kitengo cha RAdiation akafika kule wakamwambia apige tena 🤣🤣
NB: HALAFU NINA SWALI MKUU CT ULIPIGIA KIBAHA
Cc: Hismastersvoice