DOKEZO Habari hii ikufikie Waziri wa Afya, ubabe wa Hospitali ya Muhimbili utaniua

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mawazo anaweza kuwasilisha, lakini yeye sio final sayer. Watoa maamuzi ya mwisho bado wata-prioritize mapato
Kuna namna ya kupata mapato.. kuna wazo nilitoa kwa watu wa sekretariet ya ajira.. kwamba ile website yao inatembelewa zaidi kuliko website yoyote serikalini.. nikasema waweke feature ya ads na watapata hela nyingi kila mwezi hela ambazo zitaongeza ufanisi wa shughuli zao. Sijui kama walisikia au la.

ICT inaweza kukupa hela kwa nyanja nyingi zaidi bila kuwakera watumiaji.
 
Mkuu nakuelewa na nimekuelewa kabisa ila Taaluma ya Udaktari haifanyi hivyo kazi....

Ntakupa mfano mmoja mdogo tu (Japo upo nje ya hapa)
Angalia: Mgonjwa amekuja akapima HIV katika kitengo cha upimaji na nasaha hospitali ya Bushungwa akapewa rufaa kwenda kitengo CTC (huduma ya Matunzo na matibabu) hapo hapo Hospitali ya Bushungwa..
Unafikiri ni kwanini kabla ya kuwa registered Lazma apimwe tena,,,,Tena n mtu mwingine tofauti na wa mwanzo..?
Unafikiri kwakuwa ni hospitali moja kwanini kupima mara mbili ?
Jibu ni dogo Refferal System hutumia majibu ya zehemu aliyotoka mgonjwa kama rejea tu na sio implementation hata kama unamjua aliyefanya na ni bora kuliko wewe...
Kwahiyo xray na ct-scan utatakiwa upime mara mbili mfululizo! Damu hata mara sita unaweza ukapima ndani ya siku moja.
 
Kuna namna ya kupata mapato.. kuna wazo nilitoa kwa watu wa sekretariet ya ajira.. kwamba ile website yao inatembelewa zaidi kuliko website yoyote serikalini.. nikasema waweke feature ya ads na watapata hela nyingi kila mwezi hela ambazo zitaongeza ufanisi wa shughuli zao. Sijui kama walisikia au la.

ICT inaweza kukupa hela kwa nyanja nyingi zaidi bila kuwakera watumiaji.
Nadhani halijafanyiwa kazi. Sioni ads zozote pale na nimepita hata leo.
 
Case hapo ni ndogo na sasa umeeleweka. Kikubwa ni kwamba gharama hapo Mhimbili hazikwepeki. Maaana unaanza matibabu si kwamba unaendeleza. Kwa kila tukio team la madaktari bingwa hukaa kikao na kuelezana kinachoendelea. Hasa ikitokea kifo cha mgonjwa. Labda kama atakuwepo daktari chizi,anayeweza kusimamia kutibu mgonjwa kupitia taarifa za doctor mwingine. Na amemurefer kwa sababu uwezo wa kumtibu hana.
 
Sasa kwanini taarifa za Temeke hosp hazioani na taarifa za Muhimbili?
Hahaa Mkuu mpaka sasa tunatumia mifumo Tofauti kuna wanaotumia GoT-Homis na wengine wana mifumo yao hapo awali kulikuwa na sera ya mifumo sijui iliishia wapi..
Maana hata wanaotumia GoT homis nao wamegawanyika kuna wanaotumia online version na kuna offline versiom...
Ukiuliz utaambiwa uhaba wa maafisa Tehama wakati ma IT kibao wako mtaani Anywei tuendelee kuvuta subira tutafika...
Tatizo siasa ikiingilia proffesionalism haya ndo hutokea
 
Case hapo ni ndogo na sasa umeeleweka. Kikubwa ni kwamba gharama hapo Mhimbili hazikwepeki. Maaana unaanza matibabu si kwamba unaendeleza. Kwa kila tukio team la madaktari bingwa hukaa kikao na kuelezana kinachoendelea. Hasa ikitokea kifo cha mgonjwa. Labda kama atakuwepo daktari chizi,anayeweza kusimamia kutibu mgonjwa kupitia taarifa za doctor mwingine. Na amemurefer kwa sababu uwezo wa kumtibu hana.
Hapa nimecheka eti "Daktari chizi " 🤣🤣

Kiufupi huyu Jamaa anazungushwa ila Lengo ni akapime tena CT-SCAN ni kwamba muhimbili hawawezi kuamini Hospitali ya mkoa Bora ingekuwa ya Kanda afadhali kidogo.....Kwa muhimbili akiwa kiburi anaweza akaenda kwa IT akamwambia Arudi kitengo cha RAdiation akafika kule wakamwambia apige tena 🤣🤣

NB: HALAFU NINA SWALI MKUU CT ULIPIGIA KIBAHA

Cc: Hismastersvoice
 
Uhakiki huu unahusu nilichopeleka kilikuwa kinanihusu mimi na picha iliyokuwemo kwenye DVD ilinihusu mimi, na hiyo gharama si ya matibabu ni ya ICT tu. Unapofanya CT-scan picha nayo inakuwa inachomwa na ukimaliza unakabidhiwa kila kitu hapo hapo kabla ya kumuanza mtu mwingine.
Unalolisema ni kweli. Issue hapo iwe mfumo huo,tena utalipa na zaidi. Hata ukilipia,wataziupload,japo nahisi ulielewa vibaya. Hizo picha kuwa uploaded,zinachukuliwa vipandevipande,kwenye machine husika,vinachukuliwa na kupelekwa kwenye mfumo wa CD unayopewa wewe. Sasa, hiyo ni wazi ingekuwa janja janja, kama mlitaka mfumo wa Mhimbili usome data za Hospitali uliyotokea. Na kwanza kwa zile machine zilivyo,haiwezekani kukopi CD na kuyiweka kisa ina hizo data. Hakika ulichoambiwa ni kulipia CT-Scan na hamkuelewana. Hapo tatizo si kutopata tiba,bali ki gharana kubwa
 
Hahaa Mkuu mpaka sasa tunatumia mifumo Tofauti kuna wanaotumia GoT-Homis na wengine wana mifumo yao hapo awali kulikuwa na sera ya mifumo sijui iliishia wapi..
Maana hata wanaotumia GoT homis nao wamegawanyika kuna wanaotumia online version na kuna offline versiom...
Ukiuliz utaambiwa uhaba wa maafisa Tehama wakati ma IT kibao wako mtaani Anywei tuendelee kuvuta subira tutafika...
Tatizo siasa ikiingilia proffesionalism haya ndo hutokea
Mtu wa ICT akishaweka /Simika mfumo hana chake tena sana sana atakuw anafanya monitoring and assistance ndogo ndogo sana.. haina haja ya kuajiri watu wengi wa ICT.

Shida inakuja unakuta Daktari mzima hata kuwasha computer hajui.
 
Hapa nimecheka eti "Daktari chizi " 🤣🤣

Kiufupi huyu Jamaa anazungushwa ila Lengo ni akapime tena CT-SCAN ni kwamba muhimbili hawawezi kuamini Hospitali ya mkoa Bora ingekuwa ya Kanda afadhali kidogo.....Kwa muhimbili akiwa kiburi anaweza akaenda kwa IT akamwambia Arudi kitengo cha RAdiation akafika kule wakamwambia apige tena 🤣🤣

Cc: Hismastersvoice
Sasa,kwa hali ya kawaida. Uliwahi ona mahakama inayopitisha kesi bila kujilidisha? Kwani huko mwanzo si upelelezi unakua umeshafanyika?

Uzuri umempa mfano wa vipimo vya HIV. Na ni Hospitali moja. Sembuse hili la hospitali mbili tofauti,daktari wawili tofauti,af ulazimishe wa pili,tena ngazji ya juu,aidhinishe kuwa unaumwa.

Mkuu,kama we ni daktari,mnapokuwa na kesi ya mgonjwa kupelekwa nje,si vikao visivyoisha? Sasa wewe imagine mgonjwa ulomtibu kafa,na inaonekana ulifanya uzembe?
 
Mtu wa ICT akishaweka /Simika mfumo hana chake tena sana sana atakuw anafanya monitoring and assistance ndogo ndogo sana.. haina haja ya kuajiri watu wengi wa ICT.

Shida inakuja unakuta Daktari mzima hata kuwasha computer hajui.
Wapo kibao unakuta mgonjwa kaingia anchukua saa kutoka...anatype herufi moja moja anasababisha que kubwa...
Na wengi ni sisi wazee wa Zamani tuliopitwa na wakati 🤣🤣
 
Case hapo ni ndogo na sasa umeeleweka. Kikubwa ni kwamba gharama hapo Mhimbili hazikwepeki. Maaana unaanza matibabu si kwamba unaendeleza. Kwa kila tukio team la madaktari bingwa hukaa kikao na kuelezana kinachoendelea. Hasa ikitokea kifo cha mgonjwa. Labda kama atakuwepo daktari chizi,anayeweza kusimamia kutibu mgonjwa kupitia taarifa za doctor mwingine. Na amemurefer kwa sababu uwezo wa kumtibu hana.
Swala la gharama za matibabu zinaanzia kwa dakitari, hizo hazikuwa tatizo kwangu kwani ukipokelewa tu unaanza kulipa. Nataka kujua uhalali wa hiyo sh 86,000/= bila jasho ni pesa nyingi sana kwa kukopi tu!
 
Hapa nimecheka eti "Daktari chizi " 🤣🤣

Kiufupi huyu Jamaa anazungushwa ila Lengo ni akapime tena CT-SCAN ni kwamba muhimbili hawawezi kuamini Hospitali ya mkoa Bora ingekuwa ya Kanda afadhali kidogo.....Kwa muhimbili akiwa kiburi anaweza akaenda kwa IT akamwambia Arudi kitengo cha RAdiation akafika kule wakamwambia apige tena 🤣🤣

NB: HALAFU NINA SWALI MKUU CT ULIPIGIA KIBAHA

Cc: Hismastersvoice
Hata ma IT wanaonewa. Mi ni mtaaram wa tiba,lakini hata ukisema kuna IT alifanya ntashangaa. Na ma IT pamoja na kazi yake lakini kuna red line. Yaani kitengo cha radiology,na wataaramu wake,wewe ulete taarifa za nje uingize kwenye mfumo wao? Wagundue? Utapona?
-Hiyo CD si bongo movie ya kucopy unavyotaka.
-Radiology huupload data kutoka kwenye data zilizochukuliwa na machine.
Ila kwa hili kwa asieelewa utendajikazi wa hizi mashine mpaka CD inapatikana na taarifa zinahifadhiwa,utakesha kumuelewesha.

Hapa haki imetendeka,sema tu mgonjwa analazimisha atibiwe anavyofikilia yeye,kitu ambacho hakipo.
 
Back
Top Bottom