Habari nyeti na nasaha zangu kuhusu vijana watakaofanya kazi na DP World

Utumwani wapi???we pumbafu kabisaa!fanya kazi acha uvivuuvivu!nimewasema watu wavivuwavivu kama nyie!acheni uvivu fanyeni kazi!mmekalia majungumajungu tuu!PUMBAF kabisaa!mjaa laana wewe
Toka pepo🫣🫣
 


Kampuni yoyote kubwa ya kimataifa inapokuja kufanya kazi Africa tena Africa hii ya huku kwetu lazima kuwe na hayo unayoyasema

Ila yanakuwa kwenye makaratasi na mikataba Tu

I think Jambo kubwa tunalotakiwa kufanya ni kuwaomba viongozi wetu waone hayo mambo yanafanyika Kwa vitendo

Hao jamaa wako inchi nyingi za Africa but utoaji wa Ajira Kwa sehemu hizo ni tofaut total na huko Dubai

Ndio maana nimesema afrika hii ya upande wetu
 
Hizo ulizoanisha ni sifa kwa mwajiliwa wa kampuni yoyote yenye kulenga tija kwenye biashara zake. Si Jambo maalumu au la kipekee kwa DP World..
Baada ya hayo nifafanue haya... DP world akipewa mkataba, ataondoa kazi nyingi za kampuni za clearing and forwarding.. Kazi ya kuondoa mizigo ataifanya yeye, ili kupunguza msururu wa kampuni bandarini...Kama ulikuwa kampuni 1000 za clearing, zitakazo survive itakuwa ladda maximum theluthi..... Kampuni za kubeba mankotena zitakuwa zake au atakaowachagua ..... ICD vile vile wajiangalie , katika mkataba amepewa kuendeleza Kwala ICD.


Ajira za ndani ya terminal , zitapungua kwa vile atafanya automation zaidi na mifumo..... Ukisikia watu wanasema eti ajira zitalindwa , zitalindwa vipi wakati , ili alete ufanisi lazima apunguze man power ?? Serikali inaweza pata mapato zaidi, lakini ajira za watanzania walio wengi itapungua na ndiyo ukweli mchungu, ambao hauwezi semwa kwa sasa
 
Hoja sio ajira
 
Hata mkataba wa gas ya mtwara sifa za fursa tuliambiwa zitakuwa kama hizi hizi. Leo hii tunaambiwa gas sio yetu! Tuliambiwa bomba la gas likifika Dar, mgao wa umeme utakuwa ni historia. Hivi leo tunalia kilio cha mbwa mdomo juu. Ogopa matapeli.
Hili siyobtsngazo la kazi, tangazo la fursa zilizopo.
 

Jaribu kutupa na nyeti pia, athari tutakazopata kama Taifa.
 
sawa mama Samia, tunaaply wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…