Una maana gani mkuu?Safi sana kilichobaki sasa ni kumkamata Kagame mwenyewe na his people close to him, possibly his family na kuwashughuikia ipasavyo before killing them.
Kundi la wanga huwa wanajaribiana kujua je na wewe mwanga kweli au unazuga tu?..EAC ndio kichwa cha mwendawazimu kabisa.
..inawezekana vipi mwanachama mmoja akamvamia kijeshi mwanachama mwingine?
..au mwanachama mmoja akawa anafuga makundi ya waasi / magaidi dhidi ya mwanachama mwingine?
..kabla ya kuwa mwanachama wa EAC nchi husika ilipaswa kuwa na vigezo fulani ikiwemo utawala wa sheria, stability, etc
Afrika inataka kupewa kiti UN Baraza la Usalama ikiwa na kura yenye nguvu.Afrika bara la ajabu sana, Angalia AU/OAU wako kimya hawahusiki, EAC-SADC wanahangaika hata sijui wananguvu kiasi gani.
Kosa lilikuwa ''rapid expansion'' ya EAC na kuwashirikisha Congo, Rwanda and Burundi.Kuna majeshi ya SADC mashariki mwa Kongo, lakini M23 na DRC wanaendelea kupigana na wao wanapigwa vikumbo hadi kuuwawa, wapo wapo tu.
Vita huwa inaleta heshima, lakini sijaelewa hasa hawa M23 wanadai nini DRC zaidi ya kutaka kujimegea eneo na kujitenga, na pia sielewi inakuwaje taifa lkubwa lenye resources za kutosha wanakubali kipigo kutoka kwa M23.Afrika inataka kupewa kiti UN Baraza la Usalama ikiwa na kura yenye nguvu.
Ninapinga sana AU kupewa kiti hata cha kusikiliza, hawana kitu wanachoweza
Hawawezi mgogoro wa M23 wanataka kura ya kuamua ugomvi wa Russia, India, China , USA au Europe
Kosa lilikuwa ''rapid expansion'' ya EAC na kuwashirikisha Congo, Rwanda and Burundi.
Hawa wangekuwa nje ya EAC kungekuwa na mandate ya kuwaamuru lakini sasa ni ''miongoni'
M23 ni Rwanda wanaotaka kupanua eneo lao kwa ksingizio cha Congo.
Juzi kulikuwa na mjadala JF, Mh Zitto alialikwa kama mto mada.
Swali aliloulizwa mara 3 ni, M23 wanakosa haki gani ndani ya Congo kiasi cha kuchukua silaha.
Zitto Kabwe hakuweza kujibu alizunguka zunguka licha ya kwamba ndiye alisema M23 washirikishwe serikali ya Kinshasa.
Kwa hoja za Zitto Ruyagwa, kwa mtazamo wangu ipo siku Watu wa Kigoma wenye ''elements'' za huu mgogoro watabeba silaha wakitaka Serikali ya Tanzania iwashirikishe. Jambo la hatari sana
Suluhishio ni SADC-EAC kuwapa kipigo M23 kisha kutengeneza Buffer Zone katika mpaka wa Rwanda.
Au wawafurushe hadi Rwanda ndani kabisa ili Rwanda wapate joto la vita
Wanajeshi au Wapiganaji kufa vitani ni jambo la kawaida, isipokuwa Hoja ya msingi inabaki kuwa: Je, kulikuwa na ULAZIMA wa kupigana Vita hiyo?..
..maiti wamekuwa wengi mno, askari wa vyeo vya chini wanazikwa katika mass graves huko DRC.
..miili ya maofisa inayorudishwa Rwanda ina hali mbaya ya kutisha, familia zinalazimishwa kuzika bila kuonyeshwa wapendwa wao.
..Mzee Kagame amekiri "kiaina" katika moja ya hotuba zake alipogusia kwamba mchango wa askari waliopoteza maisha hautasahaulika.
..kupata taarifa nzima soma hapa chini.
Rwandan troops ‘dying in large numbers in DRC’, despite official denials of role
Exclusive: Sources say thousands of RDF killed supporting M23 rebels in eastern Congo, intensifying pressure on Kigaliwww.theguardian.com
1. Suala hili la Mgogoro wa huko DRC (Zaire) ni Complex sana. Lina historia ndefu Sana.Afrika inataka kupewa kiti UN Baraza la Usalama ikiwa na kura yenye nguvu.
Ninapinga sana AU kupewa kiti hata cha kusikiliza, hawana kitu wanachoweza
Hawawezi mgogoro wa M23 wanataka kura ya kuamua ugomvi wa Russia, India, China , USA au Europe
Kosa lilikuwa ''rapid expansion'' ya EAC na kuwashirikisha Congo, Rwanda and Burundi.
Hawa wangekuwa nje ya EAC kungekuwa na mandate ya kuwaamuru lakini sasa ni ''miongoni'
M23 ni Rwanda wanaotaka kupanua eneo lao kwa ksingizio cha Congo.
Juzi kulikuwa na mjadala JF, Mh Zitto alialikwa kama mto mada.
Swali aliloulizwa mara 3 ni, M23 wanakosa haki gani ndani ya Congo kiasi cha kuchukua silaha.
Zitto Kabwe hakuweza kujibu alizunguka zunguka licha ya kwamba ndiye alisema M23 washirikishwe serikali ya Kinshasa.
Kwa hoja za Zitto Ruyagwa, kwa mtazamo wangu ipo siku Watu wa Kigoma wenye ''elements'' za huu mgogoro watabeba silaha wakitaka Serikali ya Tanzania iwashirikishe. Jambo la hatari sana
Suluhishio ni SADC-EAC kuwapa kipigo M23 kisha kutengeneza Buffer Zone katika mpaka wa Rwanda.
Au wawafurushe hadi Rwanda ndani kabisa ili Rwanda wapate joto la vita
Wanajeshi au Wapiganaji kufa vitani ni jambo la kawaida, isipokuwa Hoja ya msingi inabaki kuwa: Je, kulikuwa na ULAZIMA wa kupigana Vita hiyo?
Endapo kama swali hili jibu lake ni Ndiyo, Basi Wanajeshi hao watakuwa wamekufa kishujaa.
Kuna tatizo kubwa sana katika tawala za Nchi nyingi za Afrika kuhusiana na suala la Tume Cha Uchaguzi kwenye nchi zao...vijana wanatumiwa vibaya na viongozi wao.
..Naanga alishiriki kuharibu uchaguzi, leo anawatoa vijana kafara kujaribu kurekebisha uhuni alioshiriki.
..mtu aliyekuwa mpaka Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi anadai mamlaka za Kinshasa zinamtenga, hazimtambui kama Mcongomani.
Hii ni hatari na ni dhahiri kwamba Rwanda na M23 wamedhamiria, maana kama wamepoteza vyote hivyo na hawakururudi nyuma, waliendelea mbele kuteka maeneo huku wakifa kwa maelfu, wameamua kujitoa mhanga, bloodbath na kupigana na vichaa kama hao inabidi na wewe uwe kichaa, uwe tayari kufa sana tu.
Yaani wamekua kama wale magaidi wa waislamu.
Nangaa ni mbinafsi anayestahili kunyongwa...vijana wanatumiwa vibaya na viongozi wao.
..Naanga alishiriki kuharibu uchaguzi, leo anawatoa vijana kafara kujaribu kurekebisha uhuni alioshiriki.
..mtu aliyekuwa mpaka Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi anadai mamlaka za Kinshasa zinamtenga, hazimtambui kama Mcongomani.
His days are numbered, anachokitaka atakipata, risasi ya utosiniPK huwa anadharau vikao vya usuluhishi, leo katua Dar nadhani ni kutokana na vipigo.
Zitto Kabwe Ruyagwa aliulizwa na hakuweza kujibu. Ikiwa ni Raia wa DRC ni kitu gani wanadhani hawatendewi haki, hakuna mahali wanaeleza. Ndiyo maana naogopa sana huu mzozo kwasababu M23 wakifanikiwa ipo siku wale wa Kigoma wenye asili za huko DRC na Rwanda wataanza madai kama hayoVita huwa inaleta heshima, sijaelewa hasa hawa M23 wanadai nini DRC zaidi ya kutaka kujimegea eneo na kujitenga
DRC wana tatizo la utawala kutokana na kuwakaribishwa ''Rwanda' wakati wa kumuondoa Mobutu.sielewi inakuwaje taifa lkubwa lenye resources za kutosha wanakubali kipigo kutoka kwa M23.
Wanashindwa au hawana vifaa, au hwana ujuzi wa kupigana, au tatizo la DRC ni nini hasa?
Na kama ni kujitenga eneo hilo wanalodai ni lao kweli au ndio kutafuta ardhi kibabe tu?
Na ikiwa hiyo ndiyo nia yao eneo wanalolihitaji ni kiasi gani, maana huwa nasikia vita KIVU na Goma tu, lina watosha DRC wakiamua kuwaachia? Au watarudi kutaka zaidi?
nchi kama rwanda, burundi, congo, sudan na somalia hazikupaswa kuruhusiwa kujiunga EAC mpaka hali ya usalama wa mataifa hayo iridhishe. Ni tamaa tu ya kupanua jumuiya ndio ilifanya hizo nchi ziruhusiwe. Sijui kama zinatoa michango yao vema kwenye hiyo jumuiya..EAC ndio kichwa cha mwendawazimu kabisa.
..inawezekana vipi mwanachama mmoja akamvamia kijeshi mwanachama mwingine?
..au mwanachama mmoja akawa anafuga makundi ya waasi / magaidi dhidi ya mwanachama mwingine?
..kabla ya kuwa mwanachama wa EAC nchi husika ilipaswa kuwa na vigezo fulani ikiwemo utawala wa sheria, stability, etc
1. Suala hili la Mgogoro wa huko DRC (Zaire) ni Complex sana. Lina historia ndefu Sana.
Isipokuwa kuna Ukweli mchungu Sana kwamba Watu/Raia wengi wa DRC wa kutoka kwenye maeneo hayo ya pembezoni mwa nchi hiyo ikiwamo na Majimbo ya Kivu na Katanga huwa wanahesabika Kama Raia wa Daraja Pili au raia wa Daraja la mwisho kabisa kwenye nchi hiyo. Hii ni kutokana na Mfumo au Sera ya Siasa mbaya sana za Kuwagawa Watu ili Watawala wa nchi hiyo ya DRC waweze kutawala kiurahisi. Kuna tatizo la Siasa za Ubaguzi kwa Watu wa maeneo hayo ya Mashariki mwa nchi hiyo ya DRC na kuwapendelea zaidi Watu wengine wa kutoka katika maeneo mengine ya nchi hiyo. Watu wengi wa Mashariki mwa DRC kwa kiasi kikubwa Sana wanahesabika Kama siyo WaCongoman, hiki ndio chanzo kikubwa Sana Cha kuwepo kwa huo Mgogoro usiokoma, ukiachana na vyanzo vingine kama vile kuwepo kwa rasilimali nyingi sana za madini ya vito, udhaifu wa Jeshi la DRC, Udhaifu wa Utawala wa nchi hiyo ya DRC, n.k..
2. Siyo rahisi hata kidogo kulipiga na kulifurusha Jeshi la M23 kwa sababu nyingi sana. Mathalani, Watu/Wananchi wengi Sana waishio kwenye maeneo hayo ya Kivu wanawaunga mkono Wapinzani wa Utawala wa nchi hiyo ya DRC, M23 wanaungwa mkono na Wananchi. Aidha, Utawala wa nchi hiyo ya DRC ni dhaifu Sana kupita kiasi. Bad enough, hata Jeshi la nchi hiyo nalo pia ni dhaifu Sana, na pia kuna Mawakala wengi Sana wa M23 ndani ya Serikali na ndani ya Jeshi la Serikali ya DRC. Kuna vitendo vingi Sana vya Uasi wa chini chini ndani ya Jeshi la Serikali ya DRC.
3. Kwa bahati mbaya sana, hata hapa nchini Tanzania, Watu wengi wa kutoka katika mikoa ya pembezoni mwa nchi kama vile Mkoa wa Kigoma, pia wamekuwa wakichukuliwa kama ni 'Wakimbizi.' Tatizo hili lipo sana katika nchi hii, Mimi binafsi nimewahi kushuhudia mara nyingi sana mambo ya namna hii. Kuna ' bad sentiment' miongoni mwa Watu kuwaona Watu wa kutoka Kigoma kuwa ni Wakimbizi kutoka katika nchi za jirani, tatizo hili lipo katika Jamii zetu za Tanzania.
Katika ule mkutano wa jana DSM sijaona azimio la kuunda kikosi Kwa ajiri ya kuwaondoa M23 maeneo hayoNi rahisi kupigana na jeshi moja kama vita ya Kagera ila ni vigumu sana waasi na nchi yao kupigana na nchi nyingi zenye technology tofauti ya vita , m23 hawataweza kupigana na kushinda majeshi ya Drc ambao ni kwao, Tz, Kenya, SA, Burundi na nchi zinginezo, ni suala la muda tu tutasikia kuko kimya business as usual!!
Kinachotakiwa ni azimio tu la nchi za SADC kuwa waasi waondolewe kwisha kazi, m23 watauwawa sana na haitaoneshwa ili propaganda kuwa wanashinda ziendelee kumbe wanamalizwa na watakwisha wasipokimbia, hebu fikiria vifaa vya kijeshi vya South ambao eti kale kanchi kamewatunishia misuli
Sawa sawa ,mnaitisha mkutano wa aman then Mjumbe mmoja anasema hakuna wa kuninyamazishaUsalama wa Mashariki ya DRC, unahitaji Rwanda apigwe. Na hizi diplomatic solutions hazina maana kwenye mgogoro huo. Kinachotakiwa ni military intervention. Over
Mifumo ya utawala ya Kongo ndo dhaifu, haiwezi ku exercise mamlaka ya dola mpaka ngazi za chini kabisa.Kuna tatizo kubwa sana katika tawala za Nchi nyingi za Afrika kuhusiana na suala la Tume Cha Uchaguzi kwenye nchi zao.
Cornel Nangaa wakati fulani aliwahi kusema kwamba alikuwa kwenye shinikizo kubwa sana ' under gun point' kuhusiana na suala hilo la kutangaza kwa matokeo ya Uchaguzi wa Rais huko DRC. Unaweza kuona kwamba ni namna gani hasa Utawala wa nchi hiyo ya DRC inahusika moja kwa moja kwenye Mgogoro huu. Kimsingi, Utawala wa DRC uliopo huko kwa kiasi kikubwa hauna ridhaa ya umma, Wananchi wengi Sana wanaonekana hawaungi mkono Utawala wa nchi hiyo. That's why unaona kwamba DR Congo kuna Utawala dhaifu Sana kupita kiasi, hata Majeshi yake nayo ni dhaifu Sana kupita kiasi.
Itakuwa bora, mmoja afe mamilioni waishi.His days are numbered, anachokitaka atakipata, risasi ya utosini