Habari za Kiuchunguzi kuhusu Maelfu ya Askari wa Rwanda waliouawa katika mapigano ya DRC

Historia yao ipo na inaeleweka na kuna upande ambao tuwekane sawa kwamba kuna historia ambayo inakuwa imezidiwa na tamaduni mlizozikuta sehemu na kujikuta mmeingia kwenye tamaduni hiyo ni sawa na Waafrika waliopo Marekani ya kusini leo waanze kujinasibu kwa makabila ya Afrika ambayo hata tamaduni zake hawaziishi huko waliko wala lugha au kabila hawajui na suala la WaTutsi ni wenyeji wa Ethiopia na wanavinasaba vya huko lakini hata lugha na mila na desturi za Ethiopia hawazijui ila waliambiwa tu na Wanahistoria wa mambo ya kale enzi za ukoloni, Ndipo hapo walipoanza kujitathimini baada ya kupandikizwa historia ya chuki na pia kuwekwa kama watu wa daraja la kwanza zidi ya Wahutu naWatwa.
 
Waethiopia ni cushite, wahutu ni bantu na watutsi ni nilotic. Ni jamii tofauti.
 
Waethiopia ni cushite, wahutu ni bantu na watutsi ni nilotic. Ni jamii tofauti.
Naomba unifafanulie vigezo vinavyotumika kuwatofautisha. Na pia kwa mfano Wasukuma, Wangoni,Wanyamwezi naomba pia uwagroup. Lakini naomba tofauti za Hutu na Tutsi.
 

..unachosema ni kweli.

..Na ndio maana siamini dhana kwamba DRC inatishia usalama wa Rwanda.

..pia DRC mara kadhaa imewapa ruhusa Rwanda kuwauwa Interahamwe waliokimbilia DRC.
 
You asking same question wamekosa haki gani and you want me to take you serious, na sijatukana, imagine telling masai to go back to Kenya, tuanzie hapo labda utaelewa
Hoja yako ya Wamasai haielezi jambo kwa kina, ngoja nikupe mfano.
Kigoma tuna Watusi na Wahutu katika jamii zetu. Hakuna mtu anayewaambia Warudi Rwanda au Burundi.

Wakati wa JK ilipotokea Wakimbizi wa Rwanda wanaleta vurugu za wizi wa ng'ombe na kuwahujumu Watanzania, JK alisema wakimbizi hao warudishwe. JK hakusema Wahutu au Watusi Raia wa Tanzania wanaoisihi Kigoma bali wale wasiotaka kuishi kwa amani.

Kinachotokea kwa Banyamulenge ambao ni Watusi ni kutaka kushirikishwa katika serikali na jeshi tena wakitoa asilimia. Katika mazingira hayo 'reaction' ya Wacongoman ni moja, ikiwa mnajiona ni tofauti na Raia wengine rudini Rwanda. Ikiwa ninyi ni Raia kama wengine wekeni silaha chini tujenge nchi

Hoja ya Banyamulenge ni kwamba wananyimwa Haki siyo kwamba wanataka kurudishwa.

Swali, ni haki gani wanazonyimwa tofauti na Raia wengine wa DRC?
 
..unachosema ni kweli.

..Na ndio maana siamini dhana kwamba DRC inatishia usalama wa Rwanda.

..pia DRC mara kadhaa imewapa ruhusa Rwanda kuwauwa Interahamwe waliokimbilia DRC.
Unajua hawa Banyamulenge hawana hoja. Kila siku wanakuja na mpya
Umemsikia huyu wa JF akisema wanafukuzwa, wengine wanasema hawana haki, wengine wanataka 40% ya jeshi, wengine wanataka Uwaziri n.k.

Hakuna anayeweza kujibu ni haki gani wamenyimwa wakiwa ndani ya ardhi ya DRC!

Zitto Kabwe, Mbunge na Mwenyeji wa Kigoma ni mtu niliyetegemea sana atupe ufahamu wa mzozo
Aliulizwa mara 3 katika mjadala akiwa kama mtoa mada, hakuweza kujibu ni haki gani wananyimwa

Tukiendelea ku entertain hawa Banyamulenge, ipo siku wale wa Kigoma watapata somo kwamba unaweza kubeba silaha ukapewa. Nao watabeba silaha kwa madai ya kunyimwa haki Kigoma
Tutawaona wakipigana kuelekea Dodoma wakitaka asilimia za jeshi na Uongozi.
 
Naomba unifafanulie vigezo vinavyotumika kuwatofautisha. Na pia kwa mfano Wasukuma, Wangoni,Wanyamwezi naomba pia uwagroup. Lakini naomba tofauti za Hutu na Tutsi.
Wewe unaweza kufafanua tofauti yako na mwarabu au msomali?
 
huko mashariki ya DRC kumetoa viongoz wakubwa wengi na ndo kuna majiji makubwa mengi kuliko ukanda mwingine wowote wa DRC , je wanatengwaje au wanabaguliwaje , iwapo wametoa kuanzia Rais hadi mkuu wa majeshi hado mawaziri pia
Watutsi wanaeneza propaganda na nyiny mnazibeba kama zilivyo , Bukavu , Goma ni miji mizur na mikubwa kuliko krb 90% ya miji yetu yote ipo ukanda mmoja , ukanda wa Mashariki ya DRC umeendelea kulikl ukanda wowote wa DRC , Tuache kubeba taarifa za watutsI

KWENYE MIJI 25 MIKUBWA NA MIZUR NDANI YA DRC bas EASTERN DRC inatoa miji 6 wanaonewaje hapo
 
haki gan ? washaingizwa hadi jeshini ,bungeni kila idara wapo , kama huwajui watutsi huez eleaa , hawa watu wanatamaa sana ya kutaka zaid , solution ni kuwawai mapema kabla hawajateka DRC maana wakiteka DRC bas Afrika ijiandae asee
 
Kagame kwa mwez huu january na February 2025 ameua wakongo 3000 , tupe takwimu za Mobutu
 
Yes, ni kuachana kabisa na masuala haya ya huko DRC.

Kwa wale Watu ambao wanaona inafaa jambo hili lijadiliwe, basi wajulishwe kwenda huko Goma DRC ili waende wakalijadili suala hili huko uwandani kwenye eneo la Mgogoro.
watutsi hawataishia DRC , walianzia Uganda , wakaenda Rwanda kisha Drc ss hv wanamalizia DRC wanaingia Tz wanaunga mpk Kenya , tuwe makini sana
 
Mnasingizia asiyehusika na shida zenu, acheni ukabila na kuchukua haki za wengine and everything will be fine, mnaishi legacy ya Mobutu wapuuzi wakubwa nyie, hope mtashindwa vita
sidhani kama Uganda ni wakabila mpk Watutsi walivizia na kuipindua serikali halali , vp kuhusu Rwanda ambapo kila mtu aliishi kwa amani mpk Watutsi walipolipua ndege ya rais mwenye asili ya kihutu , pia Burundi wanaish kwa amani ila hao watutsi wanajiita red tabara kwann wanaamsha harakati za kikabila ? vp kuhusu DRC waliish kwa amani mpk Watutsi walipoivamia DRC mwaka 1997 , yaan afrika mashariki wote ni wakabila tunawabagua watutsi tu , kwa kipi hasa walichonacho hao watutsi ?
 
Hawa inabidi kizazi chao kiteketezwe!
 
..kuna nchi inawasaidia m23.

..haiwezekani kundi la waasi wakawa wanapiga pamba za nguvu / bei mbaya kiasi kile.
Na silaha nyingi na za kisasa ....

Hawa M23 ni jeshi kamili 'conventional army ' sio kama waasi wengine kama Maimai, FDLR waliopo huko msituni.
 
huu uongo umeutoa wap , Rais Habyamara aliuliwa na Kagame akiwa katokea Tanzania Arusha na alikubali matakwa yote ya waasi ikiwemo kushare madarakab na kuwaunganisha watutsi jeshini ila watutsi hawakutaka kushare madaraka wao walitaka kuchukua madaraka wao na wengine wawe chini yao , na ndo hv hv wamefanya DRC , mwaka 2009 serikali ya DRC ilikubali matakwa yote ya watutsi ila watutsi walipoona amani itapatikana wao wakiwa kama raia wa kawaida bas watutsi wachache wakarud msituni kuendeleza mapambano , watutsi hawatak amani , wala hawajanyimwa fursa maana kila nyadhfa ndan ya DRC wamepewa ila waoa wanataka watawale nchi wao tu , kama hujaish na watutsi huez elewa , ni jamii moja ina ish kikabila sana kweny kila nyanja iwe kisiasa , kiuchumi au kijamii
 
Propaganda and zero facts, and FYI Kinachoendelea ni legacy ya Mobutu na wajinga wenzake, unauliza M23 wanadai haki gani and at the same time unawaita sio raia wa Congo na kuwafanyia genocide, very unserious guy 👎
wangekuwa raia wa DRC wasingekuww loyal kwa taifa adui wa DRC ( ambayo wanadai ni nchi yao )
 
Kagame kwa mwez huu january na February 2025 ameua wakongo 3000 , tupe takwimu za Mobutu
Nenda katika Kijiji Cha Gbadolite nyumbani kwake Marehemu Rais Mobutu Sese Seko ili ukahesabie mafuvu ya mifupa ya Watu aliowaua na kuzikwa huko ili ujue idadi ya Watu aliowaua.
Aidha, pia nenda kawaone wale waliokuwa Wanajeshi wa Kikosi Maalumu Cha Kumlinda Rais Mobutu Sese Seko ili ukachukue takwimu sahihi za idadi ya Watu waliouawa na Mobutu na kisha maiti zao ziliunguzwa au kuyeyushwa kwenye Chemikali (tindikali). Nafikiri mwishowe utaweza kupata idadi kamili ya Watu waliouawa na Mobutu Sese Seko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…