Habari zimevuja, Israel ilikua na mpango wa kuishambulia Iran hivi karibuni

Ni suala la muda tu hawa waajemi watafumuliwa vilivyo kwa kihere here chao cha kufadhiki magaidi mashariki ya kati.
 
Taifa la Mungu, Tumsifu Yesu Kristu!
Najua kama mkristu uliwahi kukutana na hii salam! Sina hakika kama umewahi kuilewa mzee huwa ina maana gani.
 
Ni mchezo tu unachezwa. Muda ukifika yatatua kama kawaida.
Hilo ndo jibu kamili. Ile drone iliyorushwa juzi nayo ni danganya toto. Ili vita iwe na mashiko kaa Waisraeli lazima vitu kama hivyo viwepo. Uliona mchezo wa Gaza mwanzoni, sasa Gaza na rockets hazisikiki tena. USA ilitoa tamko kwa Israel kusitisha Beirut bombing. Wakatulia siku nne, ya tano ikarushwa drone toka Lebanon kuelekezwa makazi ya Neta. Was it real from Lebanese Hezebolah? So, Israel ikapata sababu za kuresume bombing, umeona hizi siku mbili kinachotokea
 
Taifa la Mungu, Tumsifu Yesu Kristu!
Najua kama mkristu uliwahi kukutana na hii salam! Sina hakika kama umewahi kuilewa mzee huwa ina maana gani.
Milele Amina.
Maana yake ni kumpa sifa kristo YESU kwa mamlaka yake na ukuu wake.
Maana kwake tumepata ukombozi.
Yeye ni masihi ,simba wa yuda , jiwe kuu la pembeni ,mfalme wa wafalme, Mungu mwenye nguvu.

Amina.
 
Siyo ilikuwa na mpango - sema mpango upo palepale ila ni suala la muda tu.

Hiyo mambo haitazuia chochote, kisago kipo njiani.
 
kwamba Israel yenye huruma sana kwa raia wasio na hatia ikae kimya baada ya shambulio baya namna ile la Iran?

uzuri ni kwamba eliminations na newtrolizaitions za Israel huwalenga zaidi commanders wa uhalifu dhidi yao pekee na hivyo khamenei pamoja na mkuu wa nchi ndiyo hasa wanalengwa 🐒
 
[10/20, 7:14 PM] +27 73 499 4191: BREAKING: The Al Qassam Brigades confirm assassinating the leader of the 401st Brigade of the IDF in Gaza!

Colonel Ihsan Daqsa! The highest ranking military officer killed since Oct 7th!

A number of his military assistants were also critically injured!

The Colonel was on his way to receive Intel information and plan operations in Jabalia!

Al Quran - "˹So˺ fight them and Allah will punish them at your hands, put them to shame, help you overcome them, and soothe the hearts of the believers"

Al Muqawamah Al Islamiyah 🇿🇦
[10/20, 7:35 PM] +27 73 499 4191: Update: It has been officially confirmed by the Zionist army not by Al Qassam.

The eliminated IDF Colonel Ihsan Daqsa was honored with many medals in 2006 in the battle with Hezbollah in Aita Shab.

This is a very very high ranking Zionist officer eliminated!

Al Muqawamah Al Islamiyah 🇿🇦
 
Nakuuliza wewe si unasema hakuna aliyewafuta ndio nakuuliza kawa hawakufutwa kabila la Dani liko wapi? Hata kwenye ufunuo halitajwi kuexist tena...... unajua kwanini?

Hujui maandiko unaongea pumba tu
Mkuu hayo makabila yaliangamizwa? au yapo lakini hayajulikani yalipo
 
Kama una watoto basi hao watoto wamepata hasara kubwa sana
 
Israel hii hii yenye waislam mara 7 ya wakristo ni taifa teule?
Taifa teule hili hili lenye waislam mara 7 ya wakristo?,😃😃
Je wewe ni mjinga au mpumbavu?
 

Attachments

  • images (5).png
    11.5 KB · Views: 2
Hakuna taifa teule lililo jaa na kutetea watu kufirana na kusagana kijana
 
Ulokole kazi kweli kweli hehe
 
Juzi tu siku ya kutumia mwaka toka uvamizi wa hamas kwa israhell ufanyike hamas walirusha rocket mpaka Haifa au Unadhani peke ako ndio unafatilia haya mambo
 
Kwa sasa israel hawezi kufanya chochote hadi thaad defence system itakapofika kutoka marekani, maana sasa hivi akichokoza mtu atamalizwa yupo uchi defence system zake zote iran keshaIjulia jinsi ya kuzi by pass ndio maana kwa sasa hana ujanja wa kulipiza kisasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…