Wakuvelumba
JF-Expert Member
- Feb 22, 2024
- 279
- 488
We ni mzima kweli!?Thubutu.
Taifa teule lifutwe? Alishindwa farao wa misri? Walishindwa wanefili !Alishindwa nebukadneza ! Alishindwa hitler!
Israel taifa teule ubarikiwe,watabarikiwa wanao kubariki ,watalaaniwa wanao kulaani. Wewe ni mteule maana kwako tumepata masihi mwenye uwezo wa kifalme mabegani mwake Mungu mwenye nguvu.
Ubarikiwe ewe Israel ,vibarikiwe vizazi vyako ,wabarikiwe wanao kubariki.
Amen.
See how dunderhead you are.Hakuna taifa bila watu.
Watu ndio taifa.
Huwezi kuwafuta wana wa Israel (Jews).
Walishindwa wafalme na wafalme utaweza wewe.
Mtawapiga vita sana ila mwisho wake wanageuka washindi kwa sababu ni wateule.
Ngoja lipigwe Satan ballistic missiles uone kama kuna kenge atabaki juu ya uso wa Israel.Hizi ndoto za kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia HAZIWEZI KUTIMIA NA WALA HAZITAKUJA KUTIMIA KAMWE. Haijalishi, hata kama itatokea dunia nzima wakawa kinyume na Taifa la Israel. Wanachoweza kufanya ni kuichakaza tu na hilo litafanyika endapo Mungu akiruhusu na SIO KUIFUTA kwenye ramani ya dunia. Majaribio ya kuwafuta Waisrael yalishafanyika mara kadhaa huko nyuma, na yote yalishindwa. Maadui zao huwa wanafanikiwa kuwachakaza tu. Taifa la ISRAEL NI MPANGO WA MUNGU. LIPO PALE LILIPO KWA MPANGO WA MUNGU.
Walifanya hivyo huko Iraq, Afghanistan ,Libya na matokeo yake tuliyaona, wakijaribu huko Iran balaa lake litakuwa kubwa zaidiUS UK na EU zisaidie Regime Change huko Iran kwa kuitoa Islamic Government of Iran na Maayatola wabakie Misikitini na sio kwenye Siasa.
Unachosema ni kweliila israel uwezo huo dhidi ya iran hana rejea maneno ya Donald Trump alipomshambulia Suleiman akasema israel walirudi nyumq wakataka yeye apigane na iran yaani kiufupi israel all out war na iran hawawezi kusurvive wanataka usa afanye hivyo kwa kuwa usa uwezo huo anao na wairan ktk kubalance ndio wamefanya urafiki na russia ili kudilute athari za usa na kumfanya usa afikirie mara mbili kumuengage muiran usa akijichanganya akaenda kuvamia iran kitawaka taiwan ,ukraine na south korea major power wataanza kuliamsha kutengeza alterantive world order na hapo hapo where is europe yenyewe iko kwenye deep sleep kabisa hata haijui inasimamia nini maana ni wa kuburuzwa tukwa sasa hamna taifa ulaya lenye nguvu likaongea kitu na dunia ikasikiliza wao anachosema usa ndio sawa wanakubali wamekuwa kama dodoki.Vita ni mbaya na ina matokeo yasiyotabirika. Hivi unadhani yeye Israel hawezi kutuma makombora kwenda Irani!? Je ,yeye Irani anayo defense system ya kuzuia makombora iwapo Israel ataamua kufanya hivyo!? Unadhani na yeye Irani ataathirika kiasi Gani!?
Mwana wa Mfalme Shah Reza Palhavi yuko teyari kusimika Democratic Secular Government na Maayatola wote watarudi Misikitini na kufundisha Madrasa hawataruhusiwa tena kufanya Siasa.Walifanya hivyo huko Iraq, Afghanistan ,Libya na matokeo yake tuliyaona, wakijaribu huko Iran balaa lake litakuwa kubwa zaidi
Nje ya madaNi katika harakati za kutengeneza stori tu ili waonekane na wao wanampango wa kujibu ila hawatajibu shambulio lolote la moja kwa moja, katika mashambulizi ya moja kwa moja hawamuwezi Iran , Iran anaweza kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia, Air defence system ya Israel ni dhaifu ndo maana juzi Iran kaweza kuichakaza Nevatim base na kuharibu ndege vita zote zilizokua zimejaa pale
Wengine labda waliambulia 72Abraham ndio aliambiwa hivi, ana watoto wengi tu sio waisrael pekee so msijimilikishe baraka za Abraham wakati alikua na watoto zaidi ya 5
Huyo jamaa hana ushawishi mkubwa huko Iran...Mwana wa Mfalme Shah Reza Palhavi yuko teyari kusimika Democratic Secular Government na Maayatola wote watarudi Misikitini na kufundisha Madrasa hawataruhusiwa tena kufanya Siasa.
Wairan wengi wamechoshwa na Islamic Government wengine hata wanataka kurejesha Dini yao ya Zoroastranism.Huyo jamaa hana ushawishi mkubwa huko Iran...
Yeah!...wamechoshwa sawa ila kuna wanasiasa wengi wa mrengo wa kati huko Iran wanaopendwa na raia lakini sio huyo mwanamfalme rafiki wa Marekani na Israel.Wairan wengi wamechoshwa na Islamic Government wengine hata wanataka kurejesha Dini yao ya Zoroastranism.
Kabisa lakini lengo ni kuiondoa Islamic Government ambayo imekuwa ni Sponsor wa Ugaidi katika Ukanda huo.Yeah!...wamechoshwa sawa ila kuna wanasiasa wengi wa mrengo wa kati huko Iran wanaopendwa na raia lakini sio huyo mwanamfalme rafiki wa Marekani na Israel.
Ww ndo unaishi huko Iran au ukisikia CNN inasema hivyo ndo unadakia kama zuzu .huyo raza anapewa airtime na cnn na BBC..ila uwezo wa kupenya mpaka awe kiongozi hilo hakuna majina ya urais lazima yapitiwe na shura ya maimuWairan wengi wamechoshwa na Islamic Government wengine hata wanataka kurejesha Dini yao ya Zoroastranism.
Acha porojo, Russia hii hii inayojikongoja na Ukraine! Zaidi ya kitisho cha Nuclear, hana chochote cha ajabu.Unachosema ni kweliila israel uwezo huo dhidi ya iran hana rejea maneno ya Donald Trump alipomshambulia Suleiman akasema israel walirudi nyumq wakataka yeye apigane na iran yaani kiufupi israel all out war na iran hawawezi kusurvive wanataka usa afanye hivyo kwa kuwa usa uwezo huo anao na wairan ktk kubalance ndio wamefanya urafiki na russia ili kudilute athari za usa na kumfanya usa afikirie mara mbili kumuengage muiran usa akijichanganya akaenda kuvamia iran kitawaka taiwan ,ukraine na south korea major power wataanza kuliamsha kutengeza alterantive world order na hapo hapo where is europe yenyewe iko kwenye deep sleep kabisa hata haijui inasimamia nini maana ni wa kuburuzwa tukwa sasa hamna taifa ulaya lenye nguvu likaongea kitu na dunia ikasikiliza wao anachosema usa ndio sawa wanakubali wamekuwa kama dodoki.
Inawezekana haishi huko ila maisha ya waIrani Yako dictated na Ayatollah na ujinga wowote anaoubariki Ayatollah ndio unaenda.Ww ndo unaishi huko Iran au ukisikia CNN inasema hivyo ndo unadakia kama zuzu .huyo raza anapewa airtime na cnn na BBC..ila uwezo wa kupenya mpaka awe kiongozi hilo hakuna majina ya urais lazima yapitiwe na shura ya maimu
Hilo draft sio kama kunywa kahawa kuuangusha mbuyu kwa shoka hawawezi hata kidogo tatizo wanataka wao kama walivowashika masikio wale waislamu poa ndio wajaribu Irani hio ngoma inawachukua miaka 100+US UK na EU zisaidie Regime Change huko Iran kwa kuitoa Islamic Government of Iran na Maayatola wabakie Misikitini na sio kwenye Siasa.
Unaropoka wewe huijui Russia vizuri.Acha porojo, Russia hii hii inayojikongoja na Ukraine! Zaidi ya kitisho cha Nuclear, hana chochote cha ajabu.