Habari zimevuja, Israel ilikua na mpango wa kuishambulia Iran hivi karibuni

Mnyenz

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2014
Posts
2,933
Reaction score
8,112
Inasemekana Israel alikua na mpango wa kuishushia mvua ya mabomu Iran siku hizi mbili.

Israel alikua anashea mpango wake huo wa kuishambulia Iran, lakini kwa bahati mbaya/nzuri zimevuja. Inasemekana kuna intelligence agency mmoja chawa upande wa us amezivujisha habari hizo.

Bado haijajulikana kama israel itaendelea na mpango wake au itasitisha.

Source CNN.

View: https://youtu.be/NeV9eZUNerM?si=wXtWlOACknKybjn8
 
Ni katika harakati za kutengeneza stori tu ili waonekane na wao wanampango wa kujibu ila hawatajibu shambulio lolote la moja kwa moja, katika mashambulizi ya moja kwa moja hawamuwezi Iran , Iran anaweza kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia, Air defence system ya Israel ni dhaifu ndo maana juzi Iran kaweza kuichakaza Nevatim base na kuharibu ndege vita zote zilizokua zimejaa pale
 
Ni katika harakati za kutengeneza stori tu ili waonekane na wao wanampango wa kujibu ila hawatajibu shambulio lolote la moja kwa moja, katika mashambulizi ya moja kwa moja hawamuwezi Iran , Iran anaweza kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia
Thubutu.
Taifa teule lifutwe? Alishindwa farao wa misri? Walishindwa wanefili !Alishindwa nebukadneza ! Alishindwa hitler!

Israel taifa teule ubarikiwe,watabarikiwa wanao kubariki ,watalaaniwa wanao kulaani. Wewe ni mteule maana kwako tumepata masihi mwenye uwezo wa kifalme mabegani mwake Mungu mwenye nguvu.
Ubarikiwe ewe Israel ,vibarikiwe vizazi vyako ,wabarikiwe wanao kubariki.

Amen.
 
Mtu mwenye akili timamu akisoma ulichoandika atagundua umechanganyikiwa siyo akili za mtu timamu
 
Ni katika harakati za kutengeneza stori tu ili waonekane na wao wanampango wa kujibu ila hawatajibu shambulio lolote la moja kwa moja, katika mashambulizi ya moja kwa moja hawamuwezi Iran , Iran anaweza kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia, Air defence system ya Israel ni dhaifu ndo maana juzi Iran kaweza kuichakaza Nevatim base na kuharibu ndege vita zote zilizokua zimejaa pale
Vita ni mbaya na ina matokeo yasiyotabirika. Hivi unadhani yeye Israel hawezi kutuma makombora kwenda Irani!? Je ,yeye Irani anayo defense system ya kuzuia makombora iwapo Israel ataamua kufanya hivyo!? Unadhani na yeye Irani ataathirika kiasi Gani!?
 
Biden admiration is horrible.leaking a serious documents to Iran and then allowing a drone to attack Benjamin Netanyahu!! They think Bibi is a obstacle to ceasefire before November USA election.politicians are evil
 
Ni katika harakati za kutengeneza stori tu ili waonekane na wao wanampango wa kujibu ila hawatajibu shambulio lolote la moja kwa moja, katika mashambulizi ya moja kwa moja hawamuwezi Iran , Iran anaweza kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia, Air defence system ya Israel ni dhaifu ndo maana juzi Iran kaweza kuichakaza Nevatim base na kuharibu ndege vita zote zilizokua zimejaa pale
Naunga mkono hoja...
Mbona mashambulizi mengine hakuwataarifu US nao walishangaa ashashambulia kwanini hii ameshare. Hii ni mbinu tu ya kujikosha.
 
Thubutu.
Taifa teule lifutwe? Alishindwa farao wa misri? Walishindwa wanefili !Alishindwa nebukadneza ! Alishindwa hitler!

Israel taifa teule ubarikiwe,watabarikiwa wanao kubariki ,watalaaniwa wanao kulaani. Wewe ni mteule maana kwako tumepata masihi mwenye uwezo wa kifalme mabegani mwake Mungu mwenye nguvu.
Ubarikiwe ewe Israel ,vibarikiwe vizazi vyako ,wabarikiwe wanao kubariki.

Amen.
Kwa vile ni taifa teule ndio wakamuua Yesu,aliyekuja kuwakomboa?Na mpaka leo wanamuita mtoto wa nje ya ndoa.
 
Thubutu.
Taifa teule lifutwe? Alishindwa farao wa misri? Walishindwa wanefili !Alishindwa nebukadneza ! Alishindwa hitler!

Israel taifa teule ubarikiwe,watabarikiwa wanao kubariki ,watalaaniwa wanao kulaani. Wewe ni mteule maana kwako tumepata masihi mwenye uwezo wa kifalme mabegani mwake Mungu mwenye nguvu.
Ubarikiwe ewe Israel ,vibarikiwe vizazi vyako ,wabarikiwe wanao kubariki.

Amen.
We jamaaa pumba....uteule na ushoga wapi na wapi
 
Back
Top Bottom