Hadi sasa katika harakati zako za ujana maji ya moto, ni kitendo kati ya hivi haujawahi kugusa kabisa?

Hadi sasa katika harakati zako za ujana maji ya moto, ni kitendo kati ya hivi haujawahi kugusa kabisa?

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
1: punyeto

2: clubbing/pub

3: unywaji wa pombe/liqour/whiskey/wine/visungura/gongo

4: mihadarati (bangi, heroin, meth, cocaine)

5: utumiaji wa makahaba

6: kuwa na sponsor/mshangazi

7: kuangalia pornography

8: betting

9: kuwa na mchepuko

10: group/party sex

11: threesome

12: kutoa mimba/ kushinikiza demu wako atoe mimba

13: kutumia viagra/chochote kile cha kukuboresha katika tendo

14: 0713

15: mke wa mtu/mme wa mtu
 
1: punyeto

2: clubbing/pub

3: unywaji wa pombe/liqour/whiskey/wine/visungura/gongo

4: miharadati (bangi, heroin, meth, cocaine)

5: utumiaji wa makahaba

6: kuwa na sponsor/mshangazi

7: kuangalia pornography

8: betting

9:

10:
Dah kuna mtoto wa mtu yote hayo amefanya na bado anasema kuna bingu ataiendea
 
Back
Top Bottom