Hadi sasa katika harakati zako za ujana maji ya moto, ni kitendo kati ya hivi haujawahi kugusa kabisa?

Hadi sasa katika harakati zako za ujana maji ya moto, ni kitendo kati ya hivi haujawahi kugusa kabisa?

Nina 52 years sijwahi



Nimeenda sio zaidi ya mara 6 maishani mwangu sababu ya wageni wanaopenda disco na nilikuwa mwenyeji wao.



Sijawahi kunywa Pombe yeyote, labda wine kwenye chakula bila kujua



Sijawahi vuta hata Sigara



Sijawahi



Sijawahi, nimewahi Kuwa na GF mdogo kwangu akanisaidia kawaida.



Nimewahi nikiwa chuo baada ya assignment tukiwa na wenzanhgu, peke yangu sijawahi.



Sijui hata infanywaje



Nimewahi baada ya kuishi na mke 7 years huku tendo la ndoa ni kusumbuana, nilimsomesha mpaka chuo kikuu, kaolewa ana watoto na mme wake huko, ni muajiriwa kwa serikali.



Sijawahi wala kuwaza huu ujinga



Maswali ya hovyo haya



I did nikiwa chuo



Sijawahi



Maswali ya hovyo



Nimewahi
Wewe dhambi yako no 12 umesamehewa kwa sababu no 9 itakupeleka moja kwa moja kwa baba😅
 
1: punyeto

2: clubbing/pub

3: unywaji wa pombe/liqour/whiskey/wine/visungura/gongo

4: miharadati (bangi, heroin, meth, cocaine)

5: utumiaji wa makahaba

6: kuwa na sponsor/mshangazi

7: kuangalia pornography

8: betting

9: kuwa na mchepuko

10: group/party sex

11: threesome

12: kutoa mimba/ kushinikiza demu wako atoe mimba

13: kutumia viagra

14: 0713

15: mke wa mtu/mme wa mtu
Ushetani hapo ni mambo uliyoweka katika namba
14, 5, 12, 10, 15 basi, namba zilizobaki ni mtazamo wako au wa mtu binafsi.

Ushetani mbaya zaidi ambao haujaweka kwenye list yako ni
1. Kuiba mali za uma
2. Ufisadi
3. Utekaji na mateso
4. Kufira
5. Mauaji
6. Usaliti kwa nchi (Puppet)
 
Nyeto kila mtu amepg me mala ya Kwanza kupiga nyeto kipindi nipo form one nilimpigia madam mmoja hivi wa history daah alikua amebalikiwa sio mchezo
 
Back
Top Bottom