Hadi sasa katika harakati zako za ujana maji ya moto, ni kitendo kati ya hivi haujawahi kugusa kabisa?

Hadi sasa katika harakati zako za ujana maji ya moto, ni kitendo kati ya hivi haujawahi kugusa kabisa?

Punyeto itoe hapo, Punyeto sio jambo baya ni jambo la kheri.

Nje ya mada: Hakuna kitu binafsi nimewahi kufanya hapo katika ujana wangu.
 
Kwangu mie 1.,5,68,9,10,11, 14 hizi ndizo sijawahi kufanya mf. Bangi nimevuta ila sio madawa yakulevya og .
Mume wamtu sio sumu nilikuwa naye ila sio mubaba .
Sijawahi lala na malaya wa kiume ni mchumba ambaye hajatulia .
Goood ibai
 
1: punyeto

2: clubbing/pub

3: unywaji wa pombe/liqour/whiskey/wine/visungura/gongo

4: miharadati (bangi, heroin, meth, cocaine)

5: utumiaji wa makahaba

6: kuwa na sponsor/mshangazi

7: kuangalia pornography

8: betting

9: kuwa na mchepuko

10: group/party sex

11: threesome

12: kutoa mimba/ kushinikiza demu wako atoe mimba

13: kutumia viagra

14: 0713

15: mke wa mtu/mme wa mtu
mimi kama mimi ukitoa namba 7 na 8 zilizobaki sijawahi hata kuzigusa!
 
1: punyeto

2: clubbing/pub

3: unywaji wa pombe/liqour/whiskey/wine/visungura/gongo

4: miharadati (bangi, heroin, meth, cocaine)

5: utumiaji wa makahaba

6: kuwa na sponsor/mshangazi

7: kuangalia pornography

8: betting

9: kuwa na mchepuko

10: group/party sex

11: threesome

12: kutoa mimba/ kushinikiza demu wako atoe mimba

13: kutumia viagra

14: 0713

15: mke wa mtu/mme wa mtu
6,10,11,12
 
2.
4.
5.
6.
10.
11.
13.
Vingine Mungu amesamehe!!
 
1: punyeto

2: clubbing/pub

3: unywaji wa pombe/liqour/whiskey/wine/visungura/gongo

4: miharadati (bangi, heroin, meth, cocaine)

5: utumiaji wa makahaba

6: kuwa na sponsor/mshangazi

7: kuangalia pornography

8: betting

9: kuwa na mchepuko

10: group/party sex

11: threesome

12: kutoa mimba/ kushinikiza demu wako atoe mimba

13: kutumia viagra

14: 0713

15: mke wa mtu/mme wa mtu

MIMI HAPO MAMBO YOTE NILIFANYA ISIPOKUWA KULA KITIMOTO MAANA HIYO NI KHARAMU NA MTU AKILA HAENDI PEPONI.
 
1: punyeto

Nina 52 years sijwahi

2: clubbing/pub

Nimeenda sio zaidi ya mara 6 maishani mwangu sababu ya wageni wanaopenda disco na nilikuwa mwenyeji wao.

3: unywaji wa pombe/liqour/whiskey/wine/visungura/gongo

Sijawahi kunywa Pombe yeyote, labda wine kwenye chakula bila kujua

4: miharadati (bangi, heroin, meth, cocaine)

Sijawahi vuta hata Sigara

5: utumiaji wa makahaba

Sijawahi

6: kuwa na sponsor/mshangazi

Sijawahi, nimewahi Kuwa na GF mdogo kwangu akanisaidia kawaida.

7: kuangalia pornography

Nimewahi nikiwa chuo baada ya assignment tukiwa na wenzanhgu, peke yangu sijawahi.

8: betting

Sijui hata infanywaje

9: kuwa na mchepuko

Nimewahi baada ya kuishi na mke 7 years huku tendo la ndoa ni kusumbuana, nilimsomesha mpaka chuo kikuu, kaolewa ana watoto na mme wake huko, ni muajiriwa kwa serikali.

10: group/party sex

Sijawahi wala kuwaza huu ujinga

11: threesome

Maswali ya hovyo haya

12: kutoa mimba/ kushinikiza demu wako atoe mimba

I did nikiwa chuo

13: kutumia viagra

Sijawahi

Maswali ya hovyo

15: mke wa mtu/mme wa mtu

Nimewahi
 
Back
Top Bottom