zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,661
- 40,890
Sio kweli, mtu kama Gadi ni reasonable hata sera zake sio za chinja chinja kama Netanyahu. Amekataa vita anataka nchi iendelee kiuchumi sio mapigano kila siku.Daaaah ... Sisi tulidhani akija mwingine atakuwa soft? Yaani unamaanisha kupeleka moto kwa Iran na Palestine ni sera za Israel? Hii sasa inatisha. Mi nadhani mbaya wetu ni Netanyau tu...
Na kwa Nini na wao wajitenge wasijichanganye na wengine?? Kitendo Cha kuanzisha vyama vyao vya waarabu tupu ni kujibagua pia.
Ni hivi chama cha Netanyahu Likud kina 20.7% pekee ama kusoma hamjui?ndo hivyo,Netanyahu`s block is leading,hayo mengine ni ya kwako wewe
Sasa Mbona Netanyahu anasema wazuiwe kuingia serikalini kama wana haki hizo? Hata upinzani wamekatazwa kushirikiana na waarabu!! Ubaguzi uko pale pale otherwise haufuatilii siasa za israel.Yaani Waisrael wametuvua nguo sisi waarabu weusi. Kule waarabu wanapata haki zote na wanalindwa. Hawa jamaa wana roho nzuri
Fake news, yule anajitambua kuliko Netanyahu sema ni propaganda tu zinasambazwa ili Netanyahu akianguka wasingizie sababu "kapatikana mbabe zaidi". Gadi is a gentleman sio kama hao vichaa kina Smotrich, Ben Gvir na shetan-yahu.Bora netanyau ana huruma yule mwingine nasakia hata mabango yake kapiga hastag za #HURUMASIOMALEZI🏊♂️🏊♂️
Kwa taarifa yako wewe mjinga Israel ni ile ile na sasa hao unaona chuki a kwa chuki za kijinga ndiyo wanaungana na Netanyahu kuunga serikali ya muungano!!! Wewe endelea tu kuleta visingizio-Uchwara. Na Mwaka huu utaharisha sana!!!Fake news, yule anajitambua kuliko Netanyahu sema ni propaganda tu zinasambazwa ili Netanyahu akianguka wasingizie sababu "kapatikana mbabe zaidi". Gadi is a gentleman sio kama hao vichaa kina Smotrich, Ben Gvir na shetan-yahu.
Haitakuwa mara ya kwanza mbona waarabu wameshakuwa sana mawaziri hapo Israel kama ambavyo waisrael wamekuwa mawaziri kwenye nchi za kiarabu kama Morocco Tunisia Egypt
Hata Rais wa Sasa wa Egypt ni myahudi
Wewe ulivyo mjinga unafikiri watu wote ni wajinga Kama wewe? Kawadanganye waarabu-koko wenzako huko msikitini!!Haitakuwa mara ya kwanza mbona waarabu wameshakuwa sana mawaziri hapo Israel kama ambavyo waisrael wamekuwa mawaziri kwenye nchi za kiarabu kama Morocco Tunisia Egypt
Hata Rais wa Sasa wa Egypt ni myahudi
Rais wa Israel Herzog anata upinzani na netanyahu washirikiane kuunda serikali, netanyahu aongoze miaka miwili ajiuzulu,yote hii kuwakwepa waarabu
Habari sana.Bora netanyau ana huruma yule mwingine nasakia hata mabango yake kapiga hastag za #HURUMASIOMALEZI🏊♂️🏊♂️
Kwa hali ilivyo hata akija waziri Mkuu gani ila lengo kuu ni kujenga hekalu la Sulemani ulipo msikiti wa Al sasa, so bado kazi ipo sio kwamba Israel wameanza vita na palestina leo, waliopigana tangu enzi ya kina SamsonDaaah .... Wewe jamaa una roho mbaya sana. Unataka aendelee kufanya uhuni anaotufanyia Iran na Palestine? Ameshatuchakaza sana. Sasa inatosha muwe na huruma nyie watu. Tutamsomea Al badir
Aiseeeeh!Kinyume chake
Mwarabu anaenda kuungana na mpinzani wa Netanyahu
Yumkin ktk Waarabu wakateuliwa kuwa mawaziri Sekta kadhaa ✍️
Ndoto za Mwendawazimu hizo wajinga tu Kama wewe ndiyo wanaweza kuwaua hivyo!!
Mbinu yao lengo kumwacha Netanyahu madarakani
Baada ya miaka m2 Kabla ya kukabidh Madaraka Netanyahu anaweza kuvunja Serikali na kuitisha Uchaguzi mpya ✍️
Huko hakuwezi kutulia as long as pale kuna Wapalestina. Hakuwezi pale sera ya Israel inaendeleza kile ambacho walikianzisha. Israel hawawezi kubali walipuliwe mabomu wasilipize mara 10 yake. Wapo hivyo. Na wao wanasema wanajilinda pia. We subiri uone moto ambao utawashwa . Huko hakuji kutulia Wapalestina nimeishi nao si watu wa amani.Sio kweli, mtu kama Gadi ni reasonable hata sera zake sio za chinja chinja kama Netanyahu. Amekataa vita anataka nchi iendelee kiuchumi sio mapigano kila siku.
Siku akitoka Netanyahu utaona ambavyo kutatulia sio Iran, sio Yemen sio Gaza!!
Na kwa taarifa tu vyama vya kiarabu kwa sasa vina kula ya turufu na kama wakimpa Gadi maana yake lazima atakua soft kwa waarabu ili aendelee kuwa waziri mkuu.
It's that simple
Aiseeeeeeh!Kwa taarifa yako wewe mjinga Israel ni ile ile na sasa hao unaona chuki a kwa chuki za kijinga ndiyo wanaungana na Netanyahu kuunga serikali ya muungano!!! Wewe endelea tu kuleta visingizio-Uchwara. Na Mwaka huu utaharisha sana!!!
Sasa Mbona Netanyahu anasema wazuiwe kuingia serikalini kama wana haki hizo? Hata upinzani wamekatazwa kushirikiana na waarabu!! Ubaguzi uko pale pale otherwise haufuatilii siasa za israel.
Hizi habari umezitoa wapi? Au ni katika jitihada za kujifariji kutokana na Ushindi wa Netanyahu? Anyway Endeleeni kuteseka!!Rais wa Israel Herzog anata upinzani na netanyahu washirikiane kuunda serikali, netanyahu aongoze miaka miwili ajiuzulu,yote hii kuwakwepa waarabu
"Wapalestina nimeishi nao si watu wa amani".Huko hakuwezi kutulia as long as pale kuna Wapalestina. Hakuwezi pale sera ya Israel inaendeleza kile ambacho walikianzisha. Israel hawawezi kubali walipuliwe mabomu wasilipize mara 10 yake. Wapo hivyo. Na wao wanasema wanajilinda pia. We subiri uone moto ambao utawashwa . Huko hakuji kutulia Wapalestina nimeishi nao si watu wa amani.
"Wapalestina nimeishi nao si watu wa amani".