Kama wa-saudia wanavyowaibia wale wanaoenda kuponda shetani mawe.Na je bado mtaibiwa pesa za kwenda hija Israel
KUkiwa waziri mkuu ni Mwaraabu🤠🤠
Ingekuwa demokrasia ya ki-ccm huyo Netanyahu angeisha tangazwa mshindi kitambo na kuzoa viti 118 kati ya 120 na hao wapalestina wangeishauliwa wote.
That's called "Democracy ccm Style."
Sasa hivi jihadists mnaongelea tena uchaguzi kurudiwa wakati mlisema Netanyahu kwishney...🤣🤣🤣🤣Yule Gadi atagomea kuungana na Netanyahu
nadhani kurudia Uchaguzi ndio Suluhu pale Israel!!!
Kama wa-saudia wanavyowaibia wale wanaoenda kuponda shetani mawe.
Dini ni usanii mkubwa sana na laiti kama zingeletwa zama hizi waletaji wenyewe ndio wangebaki waumini, wana bahati sana.
Ningependa kumuona Netanyahu anafurushwaChama cha Netanyahu kina 20.7% pekee usichanganye chama na muungano maana hao wengine wana uhuru wa kuingia serikali ya mpinzani wake.
Kingine upinzani kwa ujumla una majority yaani muungano Gadi's jumlisha Arab parties vitakuwa viti zaidi ya 67 ndio maana nguvu kubwa anayotumia Netanyahu ni kuzuia waarabu kuingia serikalini maana ndio kaburi lake.
Pona ya Netanyahu ni Trump awashawishi kina Naftali Bennet na Yair Lapid wajiunge na Netanyahu otherwise ndio bye bye.
Sasa hivi jihadists mnaongelea tena uchaguzi kurudiwa wakati mlisema Netanyahu kwishney...🤣🤣🤣🤣
Dini ni shida sana, ni jela moja ya hovyo sana afadhali ya Segerea.
Tutajie nchi ya Kiarabu ambayo Wayahudi wana chama chao na wanashinikiza matakwa yao kwenye kampeni.Netanyahu kaapa hawezi kuunda serikali na vyama vya warabu same na Eisenkot. Which means vyama wanavyoongoza Netanyahu na Eisenkot viko tayari kurudia uchaguzi ila sio kushirikiana na vyama vya waarabu kuunda serikali. Hii inatokea katika nchi inayotambulishwa kama muhimili na mfano wa demokrasia middle east. Waarabu wanabaguliwa ndani ya nchi yao ila kitu hiki hiki kikifanywa kwa jews huko katika mataifa mengine waliko itaonekana ni ubaguzi dhidi ya wayahudi na huenda kelele za anti semitism zinaanza. Is this fair?
Huu uchaguzi sioni kama inafika tamati leo wala kesho.Kisheria Rais anatakiwa kumpa nafasi ya kwanza Netanyahu
Netanyahu hakishindwa kuunda Serikali
Rais wao anampa nafasi ya kuunda Serikali Gadi
Kwaiyo ngoma bado mbichi !!!!
Waraabu na chama cha Netanyahu hawana nasaba yoyote
Japo Gadi wanaweza kuyajenga✍️
Aiseeeeeh!Gadi na waarabu wana viti 67 kisheria wanaunda Serikali ✅
Netanyahu yupo na 54 kisheria hawezi kuunda Serikali ❌
Tukisema Netanyahu kashindwa tunayo maana
kushinda ni kuunda Serikali
Kushindwa ni kutokuweza kuunda Serikali ❓
Trump kawaaagiza uchaguzi usirudiwe,ana show yake na Iran baada ya uchaguzi mdogo kwake,na hataki smotrich na ben gvir wawepo serikaliniYule Gadi atagomea kuungana na Netanyahu
nadhani kurudia Uchaguzi ndio Suluhu pale Israel!!!
Huu uchaguzi sioni kama inafika tamati leo wala kesho.
Ni kawaida ya Israel kuwa na chaguzi zenye mshikemshike na sintofahamu sema aliyekuja kuondoa hayo mazoea ni Netanyahu.
Otherwise ni kawaida sana Israel kuja na vitu vipya kila uchaguzi. Sema kwa kizazi cha sasa hawajazoea.
Israel hakunaga ushindi wa kishindo. Ni ushindi wa mbinde.
Mpaka muda huu kombora la Iran limemuondoa Nani kwenye uongozi wa Israel?Kwa Iranian yoyote pale Israel wampe cheo
Mana kombora zake zinaweza kumzika popote alipo
Iranian anaweza kupiga popote kwenye kale kaeneo kadogo !!
Tena yule mwehu ndio wanaemtaka mana
japo ataweza kuchokoza mzinga wa Nyuki
Trump kawaaagiza uchaguzi usirudiwe,ana show yake na Iran baada ya uchaguzi mdogo kwake,na hataki smotrich na ben gvir wawepo serikalini
Mpaka muda huu kombora la Iran limemuondoa Nani kwenye uongozi wa Israel?
Maana upande wa Iran inajulikana uongozi wote ulinyofolewa wakaachwa watu wa 3
Acha kuchanganya mambo wewe umesema wamekufa ehee umetoa wapi hizo taarifa?Mjomba kujua Israel kafa kiongozi yupi ni sawa kusema hujui kitu kuhusu Israel na mipango yake !!!!
pale kuna Sheria ya Usalama wa kitaifa imepitishwa kupitia Bunge lao
Sheria inakataza kutoa Siri mbali mbali moja wapo ni Vifo vyao nk.
tofauti na Iranian wao husema kila kitu ruksa!
Japo ni kweli vifo vingi vya viongozi wa kijesh na kisiasa vimetokea Iranian !!
Lkn napo Israel wamekufa wengi kiasi
Mfano mgombea wasasa mwenye kupambana na Netanyahu kupoteza mwanae wa mwisho!!!
lkn pia kapoteza watoto wawili wa ndugu zake ✍️
Acha kuchanganya mambo wewe umesema wamekufa ehee umetoa wapi hizo taarifa?
Harafu mbona IDF hutoa taarifa za majeruhi na vifo vya Askari wake wote waliopo mstari wa mbele wa vita Lebanon na Gaza na huyo kijana wa Gadi Eisenkot alikufa akiwa Gaza sio kwa mashambulizi ya Iran
Nambie wewe ni viongozi gani wa Israel wameuliwa na Iran?