Hata Netanyahu anadai uchaguzi haukuwa free and fair, kama Lissu na Heche tu huku kwetu. Tusonge mbeleWakuu salaaaam. Ndivyo wanavyoonyesha hapa Aljazeera.
Je, kwa hiki kinachoonekana bado tu Netanyahu ameshindwa kama akina Ritz wanavyotaka kutuaminisha?
Alamusiki.
Hahaha low minded people argue without valid reasons and evidenceTatizo kuelewa kwako nii janga kubwa
1) kwanza rudi kasome tena kile nimekiandika kule juu
Nimesema makombora ya Iranian popote yanafika ndani ya Israel na kiongozi yoyote wanaweza kumzika popote alipo!!!
Sasa wewe unanidai marehemu lengo langu ni kweli Iranian ni wenye kuweza kupiga popote ndani ya Israel !!!
manake kiongozi kazi kwake kama anaweza kujificha sehemu salama lkn bado Iranian yupo na uwezo kupiga popote kama kaenda kujificha misikitini nk juu yake!! Je kombora linafika popote mpaka bungeni kwao chooni π€
2)
Kujua je kuna kiongozi wa kisiasa au kijeshi kafa
kwenye kifusi ni jukumu la Serikali husika kutangaza !!
Sasa nimwekwambia ndani ya Israel kumepitishwa Sheria ya kuzuiya habari vita yoyote yenye kumpa nguvu adui yao
Kwaiyo huwezi kupata taarifa za Vifo mpaka wenyewe waone hii taarifa sio mbaya sana kwa kujua
adui yao.
ni Sheria imepitisha na Bunge lao
Mshangao wewe unadai kwangu kafa nani
taja kiongozi yupi Kwao ni siri kuu kiusalama
kama hawafi kwanini wamekimbia Vita baada ya ile Ceasefireβπ€
Sasa tutajuaje Vifo wkt wao wamebana taarifa kisheria kujua maswali yako kwangu!!!
Ungejiuliza kama hawafi kwanini wapitishe hiyo Sheria Bungeni β
Mkuu mbona hii ipo wazi na nimekwambia IDF hutoa taarifa za majeruhi na vifo vya Askari wake wote waliopo mstari wa mbele wa vita Lebanon na GazaHawa wote ni Marehemu ninazo picha nyingi lkn siwezi kutuma tena taarifa zake zinabanwa sana!!!!
Ukisema wanatoa ndio nakwambia baada kuchuja taarifa husikaMkuu mbona hii ipo wazi na nimekwambia IDF hutoa taarifa za majeruhi na vifo vya Askari wake wote waliopo mstari wa mbele wa vita Lebanon na Gaza
Hawaijui historia hao, wapalestina sio uzao wa esauwanazuoni wa biblia wanadai et hao jamaa zilianza kupigwa tangia wakiwa tumboni, kngne kuna bifu la kupora uzao wa kwanza kwa bakuli la mchuzi na kupora baraka za mmoja kutoka kwa baba.
Ha ha haBora netanyau ana huruma yule mwingine nasakia hata mabango yake kapiga hastag za #HURUMASIOMALEZIπββοΈπββοΈ
Sasa mwisho ni nini? Kumbuka Israel wanataka one state solution maana yake wapalestina wote wawe raia ndani ya Israel na ardhi yote ya palestina iwe Israel.Huko hakuwezi kutulia as long as pale kuna Wapalestina. Hakuwezi pale sera ya Israel inaendeleza kile ambacho walikianzisha. Israel hawawezi kubali walipuliwe mabomu wasilipize mara 10 yake. Wapo hivyo. Na wao wanasema wanajilinda pia. We subiri uone moto ambao utawashwa . Huko hakuji kutulia Wapalestina nimeishi nao si watu wa amani.
Ila hapa huwezi ona USA wakilalamikia ukandamizaji wa demokrasia? Ingekua Iran huko wamegomea wayahudi kupiga kura aisee wangeshapigwa nuclearNetanyahu kaapa hawezi kuunda serikali na vyama vya warabu same na Eisenkot. Which means vyama wanavyoongoza Netanyahu na Eisenkot viko tayari kurudia uchaguzi ila sio kushirikiana na vyama vya waarabu kuunda serikali. Hii inatokea katika nchi inayotambulishwa kama muhimili na mfano wa demokrasia middle east. Waarabu wanabaguliwa ndani ya nchi yao ila kitu hiki hiki kikifanywa kwa jews huko katika mataifa mengine waliko itaonekana ni ubaguzi dhidi ya wayahudi na huenda kelele za anti semitism zinaanza. Is this fair?
Mbona Iran kuna wabunge wayahudi? Na jamii za kiyahudi, kikurdi, Balloch, Azeri n.k wanapiga kura kama kawaida na wana wabunge wa kumwaga tu.Waarabu wana vyama na wanapiga kura. Hilo tushukuru. Wangekuwa wayahudi wangekuwa wameishauliwa katika nchi zetu. Labda uwe hufahamu siasa za Mashariki ya Kati.
Basi sawaunashangaa nn kila watu watano israel mmoja ni mwarabu tena wanasema wao ni wapalestina wenye uraia wa israel na wana vyama vyao kabisa na wabunge wanachagua wenzao.
Labda washike Shilling ya iranNetanyahu hawezi kuwa PM lazima Waarabu wahusike
Mtanambia mwisho wa siku kumetokea nini!!!
Mpinzani wake napo ni ivyo ivyo lazika aseme ssalam aleykum shubamit
Waraabu wameshika shilingi π€
Kwamba umekubali tu yaishe au? siamin, n wewe au wamedukua id yako?Basi sawa
Labda washike Shilling ya iran
Lazima walaumiwe jamaa wanamwaga Moto kama dragonNetanyahu apumzike. Aje yeyote yule hata awe nani ila sera za Israel hazibadiliki.
Waziri Mkuu wa Israel ni cheo cha kulaumiwa na Waarabu.
πππ kwanini lakini??Kwamba umekubali tu yaishe au? siamin, n wewe au wamedukua id yako?