Hai: Waliorusha mawe kwenye mkutano wa Lissu mkoani Kilimanjaro wakamatwa

Jeshi la polisi wamtaje huyo aliyekimbia tuwapelekee.
 
..Tunawataka waliompiga TL risasi, siyo hao warusha mawe.

..HATUDANGANYIKI!!
 
Tukio lilihusihwa na kurushia mawe mkutano wa CHADEMA, wote walio husika wameanza kukamatwa wako ndani na wanachukua maelezo ya viongozi walio kuwa nyuma yao warusha mawe. niishie hapo.
 
Sawa. Tusuburi tuone hao wahusika tujue kina nani na watachukuliwa hatua gani. DC Hai ambaye ndiye MKUU wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya atachomokaje kwenye hili sakata. Tusuburi tuone. Na je Polisi wana ubavu wa kumuhoji bosi wao. Ujinga huu wa kutafuta kiki za kisiasa kwa kutumia akili ndogo mwaka huu hatutaki kusikia.
 
YEHODAYA unachefua sana
 
Polisi ni majambazi yenye kibali cha kikazi - in Langa Kileo voice
 
Nafikiri kichwa cha habari kinajitosheleza kwahiyo sitoandika mengi.

Kama kweli DC wa hai ndiye aliyekuwa anapanga Lissu na wafuasi wake washambuliwe na watu kujeruhiwa kwanini bado yupo kazini? Matukio yaliyofanyika Hai pia yananikumbusha aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda alivyojichukulia sheria mkononi kwa kuvamia kituo cha habari cha Clouds. Makonda pia aliachiwa aendelee na kazi yake bila kuchukuliwa hatua yeyote.

Kitendo cha hao viongozi kuachiwa kuendelea na kazi zao kinaonyesha wazi yule aliyewaajiri hajali au anapendezewa na yale waliyoyatenda.
 
DC HAI ana upeo mdogo sana. Alidhani kufanya hivyo ni kumfurahisha JPM kirahisi. Dume zima kufanya ujinga ili upate kiki kwa mteuzi wako kunadhihirisha uwezo mdogo kiakili na ukosefu wa maadili kiutawala. Hafai.
 
Ndio kitu pekee anachoamini kitamfurahisha Boss......jamaa ni mmoja kati ya viongozi nisiolewa kabisa wanchofanya kwenye ofisi ya Umma.
 
Waziri Mpina nasema Chapa kazi,kwanza mimi kwa kawaida napenda vichaa kama wewe-Mkulu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…