Unaficha alafu uchangii chochote kwenye familia alafu unamlaumu mtu ambaye anahudumia familia ila baadhi ya assets anakuficha na anaweka jina la mtoto yupi Bora?Kwa hiyo wanawake hawana akili? Hata mwanamke ukiona anachepusha hela na kujenga uchumi wake kwa siri ni wazi kuna kitu ameona hakiko sawa kwenye hiyo ndoa. Kwani hawapo wanaojenga uchumi wa familia pamoja na waume zao? Wanawake wangapi tumewaona wanapoondokewa na waume zao wanaporwa mali na familia ya upande wa kiumeni? Wanawake kama hao wanakuwa waliweka imani kwa waume zao bahati mbaya yalipotokea ya kutokea wanajikuta hawana kitu.
Mwanamke afiche na mwanaume afiche mwisho wa siku mtoto atapata shida. Wekeni mambo wazi.Mkurugenzi wa Mbezi Garden Hotel Bi Haika Lawere jana kwenye Kitchen Party Gala amewafundisha Wanawake kuficha mali zao Wanaume wao wasizijue kwa sababu wanaume ni matapeli hivyo wakizijua watawapeli mali hizo.
Je hii inakubalika, Na Wanaume wakificha mali zao hali itakuwaje, nini maoni yako?
NB: Serikali Ithibiti Hawa Motivational Speakers Wana leta Destruction Na Mgawanyiko Mkubwa Wa Kijinsia Na Ustawi Wa Familia
Cc @
Wote wezi tuUnaficha alafu uchangii chochote kwenye familia alafu unamlaumu mtu ambaye anahudumia familia ila baadhi ya assets anakuficha na anaweka jina la mtoto yupi Bora?
Umejumuisha sanaa, familia nyingi zinasimamiwa na akina mama. Hata akina mama wanaficha kwaajili ya watoto wao, so ni kwaajili ya familia vilevile.Kuficha kwake sio shida je anakuhudumia? Na mpaka Mwanaume anakuficha kaukuona sio mzuri kwenye usimamizi wa hela Ila nyie pesa zenu hazionekani zinaenda wapi huo Sasa ndio ubinafsi
Kuna wanaume ambao haina shida ukiwaonyeshs mali. Pia kuna ambao hawqpaswi kabisa kuonyeshwa na wapo wengi wanajijua.Sasa ukisema unatafuta mali zako au unaficha mali zako wakati mmepanga kujenga familia na mwanaume hio inakuwa kama si ukichaa ni nini? Badala mjenge generational wealth we unawaza kutengeneza mali zako binafsi ili iweje. Maana ya kuwa mwili mmoja ni kitu gani?
Achaaa ni reserve my commentsHuyo ana hasira ya kuachwa na mumewe, mumewe ni director wa IT na ni engineer
Hawa ndio wanaoharibu ndoa za vijana wetu, baada ya kwake kumshinda sasa anasambaza sumu,ndio maana baba Levo aliwasagia kunguni bungeni.Mkurugenzi wa Mbezi Garden Hotel Bi Haika Lawere jana kwenye Kitchen Party Gala amewafundisha Wanawake kuficha mali zao Wanaume wao wasizijue kwa sababu wanaume ni matapeli hivyo wakizijua watawapeli mali hizo.
Je hii inakubalika, Na Wanaume wakificha mali zao hali itakuwaje, nini maoni yako?
NB: Serikali Ithibiti Hawa Motivational Speakers Wana leta Destruction Na Mgawanyiko Mkubwa Wa Kijinsia Na Ustawi Wa Familia
Cc @
Na kwanini unakua nae mwanaume wa namna hiyo?Wanaume wapumbavu wanapaswa kufichwa
Kumbe wewe demu?!🤣🤣🤣👍Maumivu ya kuachwa baada ya kuchepukana kufumaniwa, hii inaleta taswira mbaya sana kwetu wanawake ila mimi binafsi mume wangu anajua kila kitu changu mpaka password.
Tena haswaaa, hasa manesi na walimu wanatapeliwa sanaa mjinii.Yuko sahihi kabisa wanawake kuweni macho matapeli ya kiume yamejaa mjini
Mume wake kaoa binti mdogo yupii? Mbiki msumi ni mdogoo? Lecturer wa Open Universtiy.Huyu maza mme wake kamuacha..
Mmewake kaoa binti mdogo sasa hivi anaweweseka.
Ujuaji huuhuu ndio chanzo cha kuachika
Sas anataka kuwaponza na wenzake
Paxton yuko London, mdogo ake anaekekea YALE university.Phares magessa s.ndyo.mume.wake.au wameachana kwa kwakutapeliana
Kuna mwanae anajua hesabu balaa sijui yuko wapi kwa sasa
Hawa watu hawakutaka kuwaingiza watoto kwenye migogoro yao binafsi, ndio maana watoto wamenyooka.Nilikuwa naiona familia safi sana kwa jinsi tulivyokuwa tunawaona mitandaoni kumbe ndani kulikuwa kunawaka MOTO......Mafahali wawili hawakai zizi moja ,Haika ana mali na Magesa naye ana mali na power lazima ndani pawake moto ,ila wamejitahidi sana kuwapa elimu bora watoto wao ,watoto hawajayumba kutokana na migogoro ya wazazi.
Kabisaa na tunaona mtaani.Mimi naaamini kuna sisita wangu alikuwa vizuri Sana kiuchumi Kabila hajapata Mume lakini saizi ameshuka Sana!!na baadhi ya.mali NI ya wote na mume wake wakati alimkuta vizuri Sana.
Uongooo!!Binti akishagonga 30' value inashuka kama hisa za VODA