KateMiddleton
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 4,132
- 5,108
Sasa mtu asikazwe jmnWanawake wanavyovimba utadhani wanajiweza. Huyo haikalawere mwishowe atakuwa na kivulana kinachomchapa nao kumpunguza genye japo kwa siri. Thats the end of Nyodo za kike
Tena haswaaa!!Wanaume tusiokuwa na hela huyo dada ametupiga kwenye mshono.
😂😂😂Sasa mtu asikazwe jmn
Ana kasoro gan
Muacheni Haika jmn
btw mkeo ana mali au unatoa povu tu🤣
Nyie kumiliki haina shidaYaan saiv wanaume tumekua maadui kwa feminists
Mkeo ana mali za kuficha ama mnatuchosha tu hp😇😃Uzuri wake nae ana watoto wa kiume, hayo anayoyatolea mapovu asije akalaumu baadae baada ya vijana wake kufanyiwa hayo anayoyahubiri na wake zao.
Yani watu wamekosa agenda kbs wanatafta private life yake
Ss mapovu ya nin jmn🤣Kwani mna mali gani za kuficha. Nyie wenyewe mnaingia kwenye ndoa/mahusiano kuvizia mali za mwanaume. Wanawake wenye ukwasi bongo hii hata 2% hamfiki.
Yaani 😂😂😂Yani watu wamekosa agenda kbs wanatafta private life yake
Hii mada wanaume(baadhi) wamelia sana🤣🤣🤣🤣
Utadhani wake zao wana mali ss za kuficha
Kuchoshana tu
Sijawahi na leo ndiyo mara ya kwanza kushuhudia mtu akimsifia dear x wake, Mungu vile!Wewe hauna akili bwashee 😃
Kama haujavichunguza sawasawa, hivyo vilio si vya kufichiwa mali tu, bali ni vilio vya kuvunjiwa uaminifu pia.Yani watu wamekosa agenda kbs wanatafta private life yake
Hii mada wanaume(baadhi) wamelia sana🤣🤣🤣🤣
Utadhani wake zao wana mali ss za kuficha
Kuchoshana tu
Wanafurahia pale wanapotafuta mali na wake zao afu majina wanaandika ya mama zao, dada zao, inapotokea wameshindwana mwanamke anabaki kutaabika, wabinafsi sana saivi wanamuona Haika jau kwenye jamii....wapo hawa marioo wa kulelewaga anamsogeza mwanamke karibuuu, taratiiiibu anaanza kumlaghai unashangaa mali inahamishika taratibu mwishowe mwanamke anabaki solembaWanaume nyie waoga sana. Hapa mmepata cha kuongea mtaongea mwaka mzima. Ila bidada yupo sahihi kabisa, waliomuelewa watamuelewa na wasiomuelewa sio lazima wamuelewe.
Wafiche nini ambacho hawana?Wafiche hamna?Anawafundisha maujinga.Wanawake wakijipata ndiyo akili zao.Aliwahi kusikia wapi mwanaume anaficha mali kwa mkewe? Ameanza kukomaa kuelekea uchawiMkurugenzi wa Mbezi Garden Hotel Bi Haika Lawere jana kwenye Kitchen Party Gala amewafundisha Wanawake kuficha mali zao Wanaume wao wasizijue kwa sababu wanaume ni matapeli hivyo wakizijua watawapeli mali hizo.
Je hii inakubalika, Na Wanaume wakificha mali zao hali itakuwaje, nini maoni yako?
NB: Serikali Ithibiti Hawa Motivational Speakers Wana leta Destruction Na Mgawanyiko Mkubwa Wa Kijinsia Na Ustawi Wa Familia
Cc @
Yes nimeona familia nyingi ambazo wazazi wametarakiana watoto wameathirika sana, ila hawa wamejitahidi 100% na hakuna aliyejua ukiacha watu wao karibu kama wameachana mpaka Phares alivyoamua kuweka wazi,Hawa watu hawakutaka kuwaingiza watoto kwenye migogoro yao binafsi, ndio maana watoto wamenyooka.
Ingekua wengine, watoto na future yao ingeishia hapo.
Wewe uliumbwa umliki mwanaume? Nakuuuliza feminist...Nyie kumiliki haina shida
ke akimikili thats where u draw the line sio😇😃