Haiwezekani Mungu asimuue Shetani halafu aamuru Watu waue wanaofanya mambo ya kishetani; Haiingii akilini

Hapana sijasoma Makerere nimepita MIT kidogo tu miaka miwili nikarudi bongo. Nimepata ka exposure kadogo kupitia Seminary (8 years) na kusoma vitabu vingi. Ndio maana huwa siyumbishwi kifara.
Ingekua uyumbushwi ungekua umeacha legacy kama wakina einstein au newton ambao vizazi na vizazi wanajifunza tofauti na hapo huna uspecial wowote ambao unataka uaminishe watu

Mtu unaona ufahari kusema umesoma MIT alafu unasema huyumbishwi
sisi wafrika tunayumbwishwa ndo maana hata elimu tunayosoma ni kutoka western mfano wewe unajiita francisco huko tayari ni kuyumbishwa kwanin msitumie jina lako la kibantu mwafrika ana safari ndefu sana katika huu ulimwengu
 
Unafikir mwalimu wako shuleni alishindwa kuwapa matokeo ya A bila kufanya mtihani. Why mlitakiwa kufany mtihani?
 
Yaani isingekuwa kuzikana watu wenye akili timamu wasingekuwa wanaenda kanisani na misikitini
Tunajiunga na hivi vyama vikubwa vya kidini yaani ukristo, uislam na budha kwasababu tunataka kuzikwa kwa heshima sisi pamoja na watoto na ndugu zetu, dini ni kama chama tu kama vile ccm na cuf.
 
Kama unaamin shetani anahusika kweny maovu kwann serikali hutoa hukum ya kunyongwa kwa muuaji why shetani asihukumiwe?

uongeza. Someni dini ndo mje kureason.
 
Unafikir mwalimu wako shuleni alishindwa kuwapa matokeo ya A bila kufanya mtihani. Why mlitakiwa kufany mtihani?
Mkuu kwa hiyo mungu anatufanyia majaribio wakati alituumba mwenyewe, na anajua hatma zetu, hii ina make sense kweli? Yaani mzazi akuzae alafu akujaribu mwanae yaani akuababishie mateso na ana uwezo mkubwa tu wa kukusaidia, nyie pambaneni na huyo mungu wenu mlioaminishwa na wazungu.
 
Kama unaamin shetani anahusika kweny maovu kwann serikali hutoa hukum ya kunyongwa kwa muuaji why shetani asihukumiwe?

uongeza. Someni dini ndo mje kureason.

Nani kasema anaamini hayo?
Mimi nimesema vitabu vya Dini vinasema(vimeandika) wewe unaeleza vitu tofauti na nilichoeleza
 
๐Ÿšฎ
 
Kama Mungu angefanya hivi ingeonekana ya kwamba Mungu ni dhaifu,na anamhofia shetani,Kwa hiyo Ili Mungu endelee kuonenekana mkuu Kwa viumbe vyake amemwachilia shetani mpaka mwisho wa nyakati
 
Unafikir mwalimu wako shuleni alishindwa kuwapa matokeo ya A bila kufanya mtihani. Why mlitakiwa kufany mtihani?

Wewe unaweza kutengeneza roboti alafu ukalipa mtihani kisha roboti likifeli unaliadhibu. Wakati huohuo unajua matokeo kuwa litafeli au litafaulu.

Hiyo kitu inakuingia akilini kweli?
 
Kama Mungu angefanya hivi ingeonekana ya kwamba Mungu ni dhaifu,na anamhofia shetani,Kwa hiyo Ili Mungu endelee kuonenekana mkuu Kwa viumbe vyake amemwachilia shetani mpaka mwisho wa nyakati

Mwisho wa nyakati ndio nini?
Wewe utajuaje huu ni mwisho wa nyakati wakati mwanzo hauujui?
Kwa mfano, Kwa uelewa wako WA mambo ya Muda unaweza elewa muda uliopo ni muda gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ