Haiwezekani ndio naamka mniambie bado matokeo hayajatoka. CHADEMA ndio nini hiki

Ni kweli hiki unachokisema?
 
Mchakato wa kidemokrasia huu ni tofauti na yale mambo ya Dodoma juzi.
 
Makamanda wanazingua sana, kumbe Magu alikuwa sahihi kuwapelekea moto ili akili Yao ijiseti.
 
Makamanda wanazingua sana, kumbe Magu alikuwa sahihi kuwapelekea moto ili akili Yao ijiseti.

Kuwapelekea Moto ni sahihi
Lakini aina ya Moto hapo ndio itaamua usahihi

Kuteka
Kuua
Kubambikia Kesi
Vitisho
Matumizi ya nguvu
Hiyo kwa Sisi Watibeli ni Big No.

Labda kwa maadui wa nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…