Haiwezekani ndio naamka mniambie bado matokeo hayajatoka. CHADEMA ndio nini hiki

Hakika
 
Mchakato bado unaendelea kuhesabu. Kuhesabu inatakiwa usiwe na papara kuna application of Quadratic, Arithmetic, Fractions and Decimals, Probability, Algebra, Geometry, Trigonometry, Calculus, Number theory, Ratios and rates, Statistics, Sequence and Series, Exponentials and Logarithms and finally but not least National Interest lazima zote zitumike tumpate Mwenyekiti Mbowe..!!
 
Hatukurupuki hatuna haraka tunafanya kitu ambacho kitaamua hatima ya Tanganyika na kuwa mfano wa kuigwa na wengine na kuweka kumbukumbu isiyofutika
 

Mkuu mambo ya mathematics achana nayo
Mbowe hawezi kushinda
 
Hatukurupuki hatuna haraka tunafanya kitu ambacho kitaamua hatima ya Tanganyika na kuwa mfano wa kuigwa na wengine na kuweka kumbukumbu isiyofutika
Freeman Aikaeli Mbowe anaweza kupata kura zaidi ya mia7, my friends ladies and gentlemen.
Ni historia mpya Chadema πŸ’
 
Wakuu habari

Nisiongee sana sijalala tangu jana kura za wajumbe 1200 tu zimeifanya Chadema imekesha.

Walishindwa kupanga ratiba nzuri ya matukio katka jambo lao muhimu kama hili wakamaliza mapema nadhani hata wakipewa nchi wataharibu tu.

Kupiga kura na kuhesabu kura na hata kama kuna kunadi wagombea huwezi kutumia Zaidi ya masaa 14, kiufupi hawa viongozi ni wajinga na wapumbavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…