Haji Manara abubujikwa machozi akimuelezea aliyemtweza sababu ya rangi ya ngozi yake,asema anamuachia Mungu

Ukienda kwenye media, unawakuta Kitenge, hando, Zembwela, vilaza watupu, simple mind, ukienda kwenye sport, kuna wale wasemaji wa Yanga na Simba, ukiwasikiliza unajiuliza, are this the best people in sports, simple mind,
Binti wa, Gardner anaenda clouds, kuongelea aliyempachika mimba! Na, hii inaonekana ni mada muhimu kabisa, kuongelewa kwenye chombo cha habari!
Eti baby daddy wako ni nani?
Na, anayeuliza ni mtangazaji, wa kiume!
Mpira, ngono, umbeya,ndio vimetawala kwenye radio zetu,, watu hawaongelei swala la Congo, Palestine, wanaongelea sensentional issues, Yule kaachwa, kabakwa, kaachika na upuuzi, mwingine,
 
Tatizo la ajira nchini lipo ni sababu hatuna competent people
 
Ukiamua kuwa bondia usiogope ngumi za uso
 
Don't let them know your weakness. Damn some weaknesses can't be hidden.
 
Mbona yeye anawasema wazee wafupi wa simba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…