Haji Manara abubujikwa machozi akimuelezea aliyemtweza sababu ya rangi ya ngozi yake,asema anamuachia Mungu

Nakazia, tena kwa herufi kubwa.
ZERU ZERU. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Una akili mbovu sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyu Haji Manara si ndiye alimtweza Frederick Mwakalebela akimuita kilo 800 kutokana na maumbile yake,pia alisema Wana Yanga wote hawana akili isipokuwa Baba yake na JK tu. Huyu kiboko yake Jerry Murro tu.
 

Attachments

  • VID-20250320-WA0009.mp4
    2.9 MB
Hiv mzee Tozi kwan anasemaje????
Mzee Tozi wa bandarini ndiye alimvua ubingwa huyu Sope, alikuwa anautaka udiwani basi Mzee Tozi akamwambia yeye atamsaidia kuupata ndiya akajisalimisha kwa Mzee na mzee alipomaliza haja zake akampa kisogo, hii habari iliwekwa hadharani na Kigogo 2014 baada ya Haji kumchokoza Kigogo na baada ya Hapo Haji hajawahi tena kumsema Kigogo kwani alivuliwa nguo mchana kweupe.
 
Na hiyo ni project mahsusi ya CCM kuwafanya watu waongelee ujinga ujinga tu masaa yote huku wao wanajipakulia minyama ya keki ya Taifa bila bughdha
 
Yeye mbona aliwatweza "wazee wafupi" wa Simba? Huyo ni albino tu!
 
Yeye anapenda kudharau watu kwa maumbile yao, aliwahi sema Simba imesajili mbilikimo enzi ile ya kina Okra, Phiri, Okwa,
Pia kamkashifu saana jemedary kwenye picha zake
Ajabu akiguswa yy anajifanya kutoa machozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…