Plan Master
JF-Expert Member
- Jan 1, 2021
- 2,188
- 3,762
[emoji3][emoji3][emoji3]Tatizo Haji Manara alimfunika kabisa Bumbuli ndiyo maana naye kajibu mapigo. Haji mwenyewe anasema siku ile alijua anamsalimia Karia kumbe alikuwa anampaka, sakizi siyo uchawi wa kitoto,ukishahafibu ndiyo akili zinakurudia.
Yeye si huwa anatamba kuwa hela anazo??Ila faini ya milioni 20 aisee sio mchezo...wajumbe hapa kwakweli wamekurupuka.
Miaka 2 mingi kwa mtu mweledi ila kwa Manara kwa sababu ya ushenzi wake anastahili zaidi ya hiyo.
Ila wasomali noma [emoji16][emoji16] HAJAJIFUNZA KWA AL SHABABY
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] muache bumbuli, mwenzio sahivi analala tena kumalizia usingizi wake
Ni kama Jerry tu, sasa hivi hata akirud hawezi kuwa na makali kama enzi zile ambazo hata Haji alikuwa hawezi kutia neno.Asipoangalia anaweza kupotea kwenye game mazima ,maana miaka miwili ikiisha atakuja na kiki ipi na generation inabadilika
Backup kubwa, unamaanisha wanasiasa sio? Nenda kaulize kikichotokea kwenye ligi ya Kenya.Wana[emoji881]wenye wivu Kwa mnara boy wote tutawajueni kwenye hili[emoji848]
Inbon??[emoji23]Wanamaanisha nini kusema asijiusishe na mpira. Huwezi mzuia mtu kuzungumzia mpira na kutoa maoni yake kuhusu mpira popote pale duniani. Hiyo ni inbon right.
@demigod mzee wa kujikuta ana connection na viongozi wa mpira hakuweza kuliona hili likija, yeye aliesema kabisa kuwa ikitokea Manara kaguswa tumuite "mbwa" ila mpaka sasa simuoni.
huyu jamaa hata alipokuwa Simba nilikuwa sipendi aina yake ya usemaji ,mtu gani siku nzima unazungumzia timu nyingine?ule ni usemaji wa kijinga sana , kageuza mpira kuwa taarabu ya kujibizana kwenye press,kujibizana na waandishi kutwa.Ni kama Jerry tu, sasa hivi hata akirud hawezi kuwa na makali kama enzi zile ambazo hata Haji alikuwa hawezi kutia neno.
Kamepewa kelbu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kanajiropokea tu popote.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Byuti ya nyokwe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareeeeeh hiyoooo.Fala wewe[emoji23][emoji23][emoji23]
Humwonei huruma manara[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kapewa za chembe, za uso, achecheeeeh.Hata mzee wa "wape salaaam" atakuwa anacheka sana huko aliko.
Jamaa alianza kumfanyia figisu ionekane kama hakuna haja sana ya Bumbuli kuwepo kwenye kitengo hicho ilihali yeye yupo, kila sehemu akajiweka kimbembele ikafikia hatu yeye ndo akaonekana ni msemaji na Bumbuli awe mhamasishaji, kumbe ni kinyume.
Halafu akajikuta anauchungu sana na Yanga Sc kuliko aliowakuta[emoji23].
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu mjuba eeeh Sakhoo kachukua kiatu cha goal bora.@demigod mzee wa kujikuta ana connection na viongozi wa mpira hakuweza kuliona hili likija, yeye aliesema kabisa kuwa ikitokea Manara kaguswa tumuite "mbwa" ila mpaka sasa simuoni.
Anipisheee mie, wala hanistui kabisaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji38][emoji23]we uyo wa kwenu siye hatumtaki kabisaaAcha apumzike kidogo makelele yamezidi,akimaliza kifungo arudi kwao huko huko Kwa Mikia wenzie
Anapenda kutumia hicho kivuli manara but inshort hanaga adabu Hajji Ila muda wa yeye kushuka umefika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka km chizi.
Na alivyo mwehu atakata Rufaa kisa u takadini wake.
Lol
Ameshaanza kulia huko mitandaoni. Km kawaida yake.Anapenda kutumia hicho kivuli manara but inshort hanaga adabu Hajji Ila muda wa yeye kushuka umefika