Haji Manara ahamia Yanga SC yeye na familia yake

Muacheni afanye yake ,Msemaji ni kazi ,kwahiyo ana haki kufanya kazi sehemu yeyote ,wakati alipokuwa simba ulitaka aisifie yanga? Yaani kwamfano wewe unafanya kazi Serengeti then usifie windhoek? Unafanya kazi bongo records kisha usifie mj records au tongwe? unafanya kazi tigo uje kusifia voda? Unafanya kazi Crdb uje kusifia nmb?
 
Naona baada ya kishindo cha jana wengi mnaandika na comments za hasira na chuki mbaya jamani haya ni maisha na tukumbuke waswahili walisema leo kwangu kesho kwako na kutesa kwazamu.

Nawashauri hebu tulieni tungojee hiyo surprise ya mwisho hapo jumapili hapo ndio turudi ubaoni kuchambua.

Hebu kuweni watulivu simnajua ndio wakati sasa mnaanza kupitia kipindi kigumu.
 
Ajabu ni kwamba kauli mbiu yao ni mkia ni mkubwa kuzidi mwili mtu πŸ˜†πŸ˜†

Sasa nashangaa mtu kageuka kuwa tetemeko lwenye timu yao, si waendelee timu yao tu πŸ˜†πŸ˜†
 
Manara anaipenda sana kazi ya Usemaji wa timu.
Mwacheni afanye kazi yake.
Kama kuhama mbona Senzo alihama.
Babra Gozales naye ana Uyanga yanga sana na kunasiku atahamia huko.
 
Huu ujinga tulio ufanya Yanga utatugharim sana Yanga,kwani huwezi mwajiri mtu anayeshindwa kuhifadhi siri za taasisi aliyo ifanyia kazi kwani kaeni mkijua kila taasisi ina udhaifu wake.

Najua tulifurahia sana alivyo wavua nguo Simba so kwa ujinga huu tulio ufanya kesho tujiandae na sisi kuvuliwa nguo.
 
Uliyeumia labda ni Wewe tu na Wapuuzi Wenzako huko Yanga SC kwani wenye Akili Kubwa na zilizobarikiwa na Mwenyezi Mungu tulishamshtukia na kumkataa Kitambo sana Haji Manara na ndiyo maana alipoondolewa tulifurahi na Kuushukuru Uongozi.

Mmepokea Zigo la Mavi livumilieni tu!!!!
 
Yaani Mwanamke umuache mwenyewe halafu aolewe na mwanaume mwingine ww uchukie c ujinga?..nyie mchukueni sisi tulishatimua hiyo Pampers
 
Umenena vema
 
Hadji Manara
Chukua Ushauri Wa Jiwe Alisema
Hapendwi Mtu Inapendwa Pesa
Chukua Pesa Yanga Maisha Yanakwenda Kasi
πŸ˜€πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜ƒπŸ€£πŸ˜πŸ˜‚
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…