Haji Manara ni nani hapa Tanzania hadi kuwadhalilisha Askari Magereza na wafungwa bila kuchukuliwa hatua?

Huyo Utopolo abanwe makende kwanza hata siku 2 then aachiwe! , watu wakimjalia huwa anatafuta masifa ya kipuuzi sana......" Wenye akili kule wawili tu".
 
Unajua Manara ni mtu mmoja wa ajabu sana, nafikiri wanaosema anatumia ulemavu wake kama kinga wako sahihi,

Yeye akidharirisha watu anaona sawa kabisaa ila akirudishiwa mashambulizi mama yangu ,atalia lia kila kona atapita kila sehemu na kilio kikubwa kaonewa ,kanyanyaswa kanyanyapaliwa ,Wote mnakumbuka saga lake na huyo bwana. Hapo alilianzisha baadae akaanza kulia baada ya Muro kufunga kazi
 
Huwa nawaambia watu, hata kama huipendi ccm kama mimi, kumbuka kadi ya ccm kila unapotoka nyumbani kwako.

Mnaoendesha gari, usisahau magazeti ya uhuru na mzalendi hata kama huyasomi.

Binafsi ccm naichikia, lakini kadi ninayo, magazeti ya ofisi huwa nayatunza nyumbani.

Nchi yao hii kwa muda mrefu sasa.
 
Mannara ni chizi, simba ndiomaana walimtimua huyo mshenzi
 
Kwa kweli Hajj anatakiwa kuliomba msamaha Jeshi zima la Magereza. Amewadhalilisha sana na amekosa uungwana. Anawakemea askari na kuwaambia waende kwa wafungwa wenzao? Kwamba askari Magereza pia ni wafungwa? Hivi huyo Manara watu wakiamua kumtukania si atakimbia?
 
Amekosea Sana Manara .

Kujiamini ni muhimu Ila asitumie hilo tatizo lake Kama njia ya kutoa maneno ya dhiaka kwa kila MTU .
 
Ha ha ha ha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…