Haji Manara ni nani hapa Tanzania hadi kuwadhalilisha Askari Magereza na wafungwa bila kuchukuliwa hatua?

Haji Manara ni nani hapa Tanzania hadi kuwadhalilisha Askari Magereza na wafungwa bila kuchukuliwa hatua?

Huyo Utopolo abanwe makende kwanza hata siku 2 then aachiwe! , watu wakimjalia huwa anatafuta masifa ya kipuuzi sana......" Wenye akili kule wawili tu".
 
Haji manara alishafungwa jela Kwa ubadhilifu wa fedha za ccm mkoa wa Dar es salaam na alivaa uniform kabisa amshukuru Jakaya ndie alimtoa Kwa msamaha
1000315362.jpg
 
Unajua Manara ni mtu mmoja wa ajabu sana, nafikiri wanaosema anatumia ulemavu wake kama kinga wako sahihi,

Yeye akidharirisha watu anaona sawa kabisaa ila akirudishiwa mashambulizi mama yangu ,atalia lia kila kona atapita kila sehemu na kilio kikubwa kaonewa ,kanyanyaswa kanyanyapaliwa ,Wote mnakumbuka saga lake na huyo bwana. Hapo alilianzisha baadae akaanza kulia baada ya Muro kufunga kazi
1000315364.jpg
 
Huwa nawaambia watu, hata kama huipendi ccm kama mimi, kumbuka kadi ya ccm kila unapotoka nyumbani kwako.

Mnaoendesha gari, usisahau magazeti ya uhuru na mzalendi hata kama huyasomi.

Binafsi ccm naichikia, lakini kadi ninayo, magazeti ya ofisi huwa nayatunza nyumbani.

Nchi yao hii kwa muda mrefu sasa.
 
Huyu haji manara mdomo wake ni mchafu anajikuta ana mamlaka ya kumtusi na kumdhalilisha yeyote kama kesi ilikuwa na magereza wafungwa wamefuata nini anasahau naye kesho anaweza kuwa mfungwa.

Na hao kituo cha sheria za haki za binadamu hatusikii wakikemea kitu wafungwa wapo kutumikia makosa yao sasa kama haji kakoromewa na magereza ya nini awadhalilishe na wafungwa

Mtu huyu hastahili huruma kwa ule ulemavu wake achukuliwe hatua tu!

Haji Manara ni nani katika nchi hii!
Mannara ni chizi, simba ndiomaana walimtimua huyo mshenzi
 
Huyu haji manara mdomo wake ni mchafu anajikuta ana mamlaka ya kumtusi na kumdhalilisha yeyote kama kesi ilikuwa na magereza wafungwa wamefuata nini anasahau naye kesho anaweza kuwa mfungwa.

Na hao kituo cha sheria za haki za binadamu hatusikii wakikemea kitu wafungwa wapo kutumikia makosa yao sasa kama haji kakoromewa na magereza ya nini awadhalilishe na wafungwa

Mtu huyu hastahili huruma kwa ule ulemavu wake achukuliwe hatua tu!

Haji Manara ni nani katika nchi hii!
Kwa kweli Hajj anatakiwa kuliomba msamaha Jeshi zima la Magereza. Amewadhalilisha sana na amekosa uungwana. Anawakemea askari na kuwaambia waende kwa wafungwa wenzao? Kwamba askari Magereza pia ni wafungwa? Hivi huyo Manara watu wakiamua kumtukania si atakimbia?
 
Amekosea Sana Manara .

Kujiamini ni muhimu Ila asitumie hilo tatizo lake Kama njia ya kutoa maneno ya dhiaka kwa kila MTU .
 
Dah ndugu yangu kama una ndugu aliwahi fungwa mwambie akueleze kuhusu askari magereza, waone vile vile mtaani wamepooza wanyongeeee ,

Wakiwa kazini kwao/ gerezani ni (wachangamfu) mno mnoo kwanza huwezi kuongea na askari magereza ukiwa umesimama , unachuchumaa kwanza ndio ujieleze

Na hii imetokana tu na nature ya kudili na watu walioshindikana so automatic lazima wawe harsh vile ,

Wale jela wanaitwa BABA elewa neno BABA Zanzibar jeshi la magereza wanaitwa chuo cha mafunzo kwa hiyo hawa askari magereza ni wahadhiri wakubwa tu🤣🤣🤣
Ha ha ha ha
 
Back
Top Bottom