Hivi hizo shule huwa mnaenda kusomea ujinga?Kumshitaki mtu sio kumchukulia hatua, anaweza akakushinda mahakamani halafu wewe uliyeshitaki ukatakiwa ulipie gharama pia..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi hizo shule huwa mnaenda kusomea ujinga?Kumshitaki mtu sio kumchukulia hatua, anaweza akakushinda mahakamani halafu wewe uliyeshitaki ukatakiwa ulipie gharama pia..
utateseka sana na mihemko na makasiriko yako gentleman 🐒Yule askari ni mwanamichezo?
Kuna vitu vinatia shaka kuhusu uelewa wetu.Tukiendelea hivi,kuna watu watabisha kwamba hawana mamlaka kisheria kukamata wahalifu.Watatuambia watawasubiri police.Hivi hizo shule huwa mnaenda kusomea ujinga?
Jana wakati wa mchezo Kati ya Yanga na Prisons, Haji Manara alifanya kitendo kisicho cha kingwana na udhalilishaji kwa jeshi la Magereza kwa kuwaita askari ni wafungwa.
Manara ambae alikuwa anahojiwa na waandishi wa habari huku akiwa amepark gari lake njiani na kuziba njia hiyo magari mengine yasipite, alipotakiwa kulitoa gari lake ili gari la Magereza lipite alimtukana askari huyo na kumuita ni mfungwa hivyo askari wote wa magereza ni wafungwa.
Kitendo hiki kilikuwa cha kidhalilishaji haswa kwani wote tunatambua kuwa kuna utofauti mkubwa Kati ya askari magereza na wafungwa, askari ni muajiriwa wa serikali ambae analinda na kurekebisha wafungwa wakati mfungwa ni mtu aliyepatikana na hatia na kuhukumiwa adhabu na mahakama.
Jeshi la Magereza linatakiwa kumchukulia hatua Haji ili iwe fundisho kwa watu wengine, kama jeshi litaruhusu udhalilishaji wa namna hii na wakakaa kimya basi ipo siku tutashuhudia udhalilishaji zaidi ukifanywa kwa askari.
Mbona hatuoni askari wa jeshi la polisi, Jwtz wakidhalilishwa Kwanini iwe kwa magereza.
Huyu mtu anapaswa kukamatwa ikiwezekana apelekwe gerezani akaone utofauti wa askari magereza na mfungwa.
View: https://youtu.be/F93mZI980ZU?si=sShG-Fz-jyypfYKV
Askari Magereza hana mamlaka ya kukamatwa raiaKuna vitu vinatia shaka kuhusu uelewa wetu.Tukiendelea hivi,kuna watu watabisha kwamba hawana mamlaka kisheria kukamata wahalifu.Watatuambia watawasubiri police.
Sasa kama mgambo wanakamata ndo isiwe kwa askari magereza.Askari Magereza hana mamlaka ya kukamatwa raia
Atasubiri mahabusu na wafungwa
Kosa lake nini hapo? Kipara kumekosa akili, lete mkasa kamili usituletee vipande hapa, kawadhalilisha vipi wafungwa?Utaelewa tu!
Wako ni uchawi, askari magereza ana mamlaka kwa kila raia nchini? Mna chuki za kichawiHilo Sope linajivunia ulemavu wake, ndo maana haliogopi mamlaka.
Mxxxxiiiiieeeew zake.
Kakojoe ulale!Kosa lake nini hapo? Kipara kumekosa akili, lete mkasa kamili usituletee vipande hapa, kawadhalilisha vipi wafungwa?
Machawa mnatumika vibaya
Kwa wewe mjinga usiyejua haki yako ukiona uniform unaona yuko juu ya sheria, eleza kosa ni nini na wapi alivyokosea.Siku moja aje kujibu hivyo hivyo kwa askari wa JW. Atawasimulia.
Anadhalilisha watu kwa dharau sana!
Wewe umeishakojolewa lala sasa ? Usilete chuki za kikeKakojoe ulale!
Haji manara alishafungwa jela Kwa ubadhilifu wa fedha za ccm mkoa wa Dar es salaam na alivaa uniform kabisa amshukuru Jakaya ndie alimtoa Kwa msamahaIla Manara kanihuzunisha sana nategemea muda wowote aje alie lie kuomba msamaha,
Ametumia maneno makali sana kudharirisha jeshi la magereza,
Kuna siku nilisema hapa kama hukuwahi kukaa jela huwezi kuwaheshimu askari magereza ila ukija kukaa wiki tu hata siku ukitoka ukiwaona mtaani utakimbia uvunje mguu,
Nb, Haji asipoangaliwa ipo siku atakuja kuropoka makubwa kila mtu akashika mdomo, nategemea magereza watoe tamko kwa udharirishaji ule ,ikumbukwe huwezi kuwa mfungwa mpaka uhukumiwe nje ya hapo ni mahabusu tu sasa,
Yeye anamuambia askari magereza aende kwa wafungwa wenzie?
Huyo ni kada wa yangaHuyu haji manara mdomo wake ni mchafu anajikuta ana mamlaka ya kumtusi na kumdhalilisha yeyote kama kesi ilikuwa na magereza wafungwa wamefuata nini anasahau naye kesho anaweza kuwa mfungwa.
Na hao kituo cha sheria za haki za binadamu hatusikii wakikemea kitu wafungwa wapo kutumikia makosa yao sasa kama haji kakoromewa na magereza ya nini awadhalilishe na wafungwa
Mtu huyu hastahili huruma kwa ule ulemavu wake achukuliwe hatua tu!
Haji Manara ni nani katika nchi hii!
Uoga jamaa hana ndio maana tunamshangaa Sisi watanzania kwa uoga tumezidi kila mtu mwajiriwa wa serikali anaogopeka kama nini! ukute Askari kuna kitu hajakitenda ipasavyo manara kamkasirikia vizuri tuHana adabu,kwa sababu anajuana na viongozi ndy anajiona yuko juu
Ila ngoja siku aingie kwenye 18 zao atawajuaaa vzr
Ova
Majukumu ya askari Magereza ni yapi kutoka kwenye katibaSasa kama mgambo wanakamata ndo isiwe kwa askari magereza.
Criminal Procedure Act.Ngoja nione inasemaje.Askari Magereza hana mamlaka ya kukamatwa raia
Atasubiri mahabusu na wafungwa
Naam naam, wakimdaka ni watakua wametumia ubabe tuNeno limeacha mlango wa kutokea. Mswahili humdaki hapo.